The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 5,059
- 8,179
Salaam....
Ni vijana wengi sana wamepanga lakini wanakaa vijistoo yaani wanashindwa kupanga vyumba vya hadhi yao au nyumba nzima.
Kwa mimi binafsi yangu napendekeza kijana atoke kukaa kwenye chumba kimoja kwani atachelewa sana kwenye mafanikio na fikira za kimaisha.
Wewe ni Graduate au Mwalimu, au mwajiriwa jaribu kuishi nyumba ya hadhi yako ikitokea ukapata ugeni na status yako ya kimaisha inapanda na ni rahisi kuaminika na kushikwa mkono.
Upgrade youself kwenye kila kimoja uone kama hutafanikiwa.
Nimeweka chumba cha laki sababu ni hizi
# chumba na sitting room kizuri tena vingine na choo ndani,
# kibaraza cha nje,
# fence na gate kali, cctv camera, n.k unakipata baadhi ya sehemu......ukiweza kuishi ushuani pia ni vizuri....
Zingatia chumba chako kiwe na choo kizuri cha kisasa.
# Madirisha ya aluminium/ PVC.
# Floor With Clean Tails...and Wall Painted Wallpapers.
# Gypsum boarding.
Hakikisha una furnitures za kueleweka bila kusahau TV yako ya inch 40' 42' hata 32' sio mbaya na bufa ya maana.
Angalizo usije ukatafuta nyumba bila mkataba na ukiipata ukaipenda, lipia kuanzia miezi 12 meaning if its 100k per month, pay it annually about 1.2M once. Hii itasaidia wewe kupambana na mengine na kusave budget zako, ukitaka uone dunia chungu lipa miezi 3 😁😁😁
Vijana tujitahidi kuishi karibu na ndoto zetu, sio lazima ujenge, ikiwa kujenga bado hujajiwekea malengo.
Ondoa dhana ya kukwepa gharama kwenye kila kitu kwenye haya maisha it will cost you.