Vijana wa ovyo sana, yani Muumba amewaagiza wao wajishughulishe nao wamekuja kuwa viranja sahivi wanatuagiza sie tujishughulishe.....mbona pale Eden kila mtu alipewa jukumu lake.Hatutaki.
Wacha tuendelee kuwafaidi sisi madomo zegee
Kwakweli hatutaki, watuache tu 😂😂😂Vijana wa ovyo sana, yani Muumba amewaagiza wao wajishughulishe nao wamekuja kuwa viranja sahivi wanatuagiza sie tujishughulishe.....mbona pale Eden kila mtu alipewa jukumu lake.
Nakazia hatutaki
🤣🤣🤣🤣🤣Kwani ushapona ugonjwa wa kutosimamisha dushe mkuu?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa sijui anafaidi nini!!
Daaaah kweli kuna ukweli sahihi kabisaSiku ya Ijumaa ndio siku inayo ongoza kwa mizinga na hasa jioni.
Mwanzoni nilikuwa na shangaa ila ndio nikaja kujua,wengi Jumamosi wana Vikoba.
🤣🤣🤣🤣🤣🙌Kwani ushapona ugonjwa wa kutosimamisha dushe mkuu?!
Jamani nisaidieni niwapate hao wa madeninya vicoba niwale