Wadau shikamooni.........Nadhani hii dhana ya kujitambua siyo ngeni kwako. Kujitambua ni uwezo wa mtu kujielewa kwa undani, ikiwa ni pamoja na kutambua tabia zake, uwezo, udhaifu, hisia, maadili, na malengo yake maishani.
1.Kutambua uwezo wako – Kujua vipaji, maarifa, na mambo unayoweza kufanya...