unakatika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwande na Mndewa

    Meya wa Kinondoni alalamika hakuna maji, hakuna sukari, Umeme unakatika katika

    Meya wa Kinondoni alalamika hakuna maji, sukari na Umeme unakatika katika, mambo hayo yalikuwa hayapo wakati wa Magufuli na wahusika hawatoi majibu wanachengachenga na viongozi hao wapo kwa ajili ya Wananchi jee kwanini hawatoi majibu?
  2. peno hasegawa

    Tanesco wilaya ya Chunya kama tumewakosea mtusamehe! Umeme unakatika kila siku!

    Kila siku chunya umeme unakatwa! Tanesco kama tumewakosea mtusamehe! Tupatieni umeme kama mmetusamehe!
  3. Lycaon pictus

    Haiwezekani nyumbani kukawa na betri zinazochajiwa na umeme wa TANESCO na zikatumika wakati umeme unakatika katika?

    Kwenye umeme wa solar umeme unaozalishwa wakati wa jua huwa unatunzwa kwenye betri na mwingine unaendeela kutumika. Ikifika usiku wakati wa giza, ule uliotunzwa kwenye betri unaanza kutumika hadi pale jua litakapotokea tena. Haiwezekani hivi kwenye umeme wa TANESCO. Mfano hapa panq mgao wa leo...
  4. The Eric

    Fursa za nishati mbadala zitumike, umeme wa shirika kila siku unakatika

    Wenye side B kwenye sola na nishati nyingine hivi sasa ni muda wa kutumia hizo energy. Kama nilipo sasa ivi hakuna umeme washakata kurudi ni jioni au usiku kabisa.
  5. SAYVILLE

    Huu umeme wetu unakatika kama Angel Nyigu

    Naona finally kama yalivyokuwa matarajio yao, Watanzania tumenywea kama nini sijui. Tuko busy kujadili Harmonize kuachana na Kajala. Na embu tuchukulie kweli hili tatizo liko nje ya uwezo wa serikali kulitatua, embu tuchukuliè tu ni kweli. Hivi kwa nini sijawahi kuona serikali ikihamasisha watu...
  6. Maghayo

    Umeme ulikuwa unakatika sana tu awamu ya nne watu mmesahay. Nimeambatanisha na ushahidi

    Mzuka Wanajamvi! Mkumbuke awamu ya 4 kulikuwa hamna ukame na mvua zilikuwa zinanyesha za kutosha lakini kila wakati umeme ulikuwa unakatika. Bofya kwenye hizo linki za thread za malalamiko zilizoletwa humu JF -...
  7. Nyankurungu2020

    Mambo ya ajabu yamelighubika taifa letu. Umeme unakatika ovyo huku Waziri mwenye dhamana anadai kuna Megawatts 14000 za ziada

    Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme. Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku. Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
  8. S

    Rais Samia: Makamba kwenye nishati atakufelisha! Umeme unakatika mno!

    Kama unapenda aendelee kuwa waziri sasa unaweza kumbadilisha vizara ila kwa wizara ya nishati kusema kweli ni changamoto kubwa: Watu wanalia kila kukicha lakini wewe kuna uwezekano hupati taarifa sahihi,ila naomba ujue hali sio nzuri! Gharama za maisha zimepanda watu wa ofisi ndogondogo kama...
  9. Analogia Malenga

    Rais Samia: Hata Washington umeme unakatika ingekuwa Tanzania, Makamba angetukanwa

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia watanzania walioko Marekani amesema alishangazwa na umeme kukatika nchini humo ambapo amesema ingekuwa Tanzania, January Makamba angetukanwa
  10. Faana

    Upepo Ukipuliza Waya Zikagongana Pale Ubungo Umeme Unakatika

    Mada inajieleza, hayo maneno yalisikika yakitoka kinywani mwa mtu mwenye dhamana ya kutupa moto mara moja, nimejiuliza maswali; Wakati wa ujenzi wa hizo line, wahandisi, designers wa hizo power lines hawakujua kuwa kuna upepo hivyo wazingatie spacing ya waya? Miaka yote upepo umekuwa ukivuma na...
  11. mbenge

    TANESCO isifiche kuhusu mgao wa umeme

    TANESCO wawe wawazi kuwa kuna mgao wa umeme unaoendelea hapa nchini kwa hivi sasa. Pengine itakuwa ni jambo jema zaidi kama ingetoa ratiba ya mgao huu ili watu waweze kujipanga zaidi kutokana na athari zinazojitokeza. Tumeshuhudia busara kubwa iliyofanyika kupitia taarifa iliyotolewa na...
  12. instagram

    Tangu awamu hii imeingia madarakani umeme unakatika ovyo

    Tangu awamu ya pili iingie madarakani nchi hii imekuwa na changamoto mbalimbali za umeme kiasi kwamba umeme umekuwa kama anasa vile kama bia na sigara. Yani kila siku nchi yetu inafanya juhudi mbalimbali kuhakikisha kwamba anasa hii ya umeme haiwafikii wananchi kwa wakati. Kila kukicha ni...
Back
Top Bottom