Nshakupa majibu,Kujua wapiga kura nyingi au la angalia composition balance ya watu kwenye mikutano
Je age groups zote ziko represented almost equally? Vijana wengi wapo,watu wazima wengi wapo?
Pili jiulize gender je wasichana na akina mama wapo wengi? Hili LA muhimu sababu akina kwa sensa ndio wengi kuliko wanaume.Mikutano ikikosa wanawake wengi ni kiashiria tosha kuwa uwezekano wa mgombea kupata kura chacche ni mkubwa mno.Sababu akina mama ndio wapiga kura wengi
Lisu mikutano yake wanawake hana ambalo ndilo kundi kubwa mno ambalo ushindi ndipo upo
October 28 kura za akina mama zinaenda mpiga chini Lisu .Hiyo ni population kubwa ambayo CCM inayo tele .Ukienda mikutano ya CCM asilimia kubwa akina mama na wasichana
Lugha rahisi: MFA MAJI...Mkuu uliwajuaje wale wote mkuu?
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lissu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura
Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana
Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno
Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo
Pili sio kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura na hawana vitambulisho vya mpiga kura sana vya taifa tu
Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.
Tafsiri ingine ni kuwa Lissu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana.
Na wanakataliwa kwelikweli hadi huko vijijini sema habari hazirushwi tuuMkuu mnalo jambo mwaka huu. Wananchi wamewakataa na hata mbingu imewakataa. Kundi la vijana ndilo lenye kuweza kufanya maamuzi, na hasira za wazazi wao hudhihirika kupitia wao.
Sera za kukumbatia maendeleo ya vitu, imeawaathiri vipato vya wazazi wengi kutokana na mzunguko wa fedha kuwa mdogo. Jambo hili huathiri mno maisha ya vijana kwa kuwa ni kundi ambalo linapenda starehe na burudani zaidi.
Vipato visivyokuwa vya uhakika ktk familia zao huwafanya nao kuwa na maisha yasiyokuwa yenye furaha, na hivyo kuhamishia hasira zao kwa watawala. Kwa hiyo basi tegemea kabisa na uwe ujasiri wa kukiona kile ambacho pengine kwa sababu unazozijua wewe mwenyewe hupendi kitokee, kwa kuwa vijana hao wanaompenda sana shujaa wao Lissu wana jambo lao siku ya tarehe 28-10-2020.
Du!! wamewafundisha watoto tabia mbaya, ndo kucheza gani huko? Baada ya kampeni za mwaka huu, habari za watoto kubakana zitatawala wakijaribu kupractice walichojifunza kwa wasanii kwenye kampeni za ccmpolepoleHawa hapa ndiyo wazee na watu wazima?
View attachment 1586438View attachment 1586439View attachment 1586440
Mshana Jr Mshana Jr, hii ilikua wapi wajemeni? hawaoni ndege hawa wananchi wenye hasira kali?
Mbali na hivyo tu sheria ya vyama vya siasa inazuia kutumia watoto kwenye shughuli za kisiasa sema kwa sababu ni ccm wako exempted na sheria hiyo.Du!! wamewafundisha watoto tabia mbaya, ndo kucheza gani huko? Baada ya kampeni za mwaka huu, habari za watoto kubakana zitatawala wakijaribu kupractice walichojifunza kwa wasanii kwenye kampeni za ccmpolepole
Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
Vijana wadogo ni asilimia 70 ya watanzania wote na ushindi wa Lissu ni huo 70%. Asante kwa kikiri mafuriko CDM. CCM wana kesi ya kuwalazimisha watoto wa chekechea kwenda kwenye mikutano ya siasa.Wanaofurika mikutano ya Tundu Lissu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura
Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana
Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno
Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo
Pili sio kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura na hawana vitambulisho vya mpiga kura sana vya taifa tu
Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.
Tafsiri ingine ni kuwa Lissu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana.
Watanzania watachagua Rais ila siyo huyoo jamaa yenu. Wee fuatilia comed zake tu hasa akiwa anahutubia, halafu niambie kama kweli unaweza dhani ni mgombea uraisi. Yaanii kiufupi hakuna mwenye akili timamu atamchagua.Wenye mamlaka ya kumchagua rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania ni nani?
Vumilia tu dadangu hata kama inakuuma ndo dawa inakuingia uzuriWakati mwingine muwe mnapost basi vitu vyenyekueleweka.
Hahahahha kwa english hii tu sioni haja ya kudebate na ww.Magufuli ni superbland in the wold wide.
Hao ndiyo walio jazana ndani ya CCMHahahahha kwa english hii tu sioni haja ya kudebate na ww.