hii kufokafoka kwake inachangiwa na mambo mengi, mathalani funza waliomo kichwani mwakeMgombea uraisi wa CCM anafanya kampeni zake kwa hasira na kufokafoka kwani bado hajaamini jinsi watu wanavyomkubali tundu lissu.
Pesa za ruzuku walipeleka wapi?Nikiri wazi kwamba tangu Tundu Lissu arejee na kupitishwa na tume ya taifa ya uchaguzi ameweza kubadilisha upepo wa siasa hapa nchini.
Nimefuatilia kampeni za CCM na CHADEMA tangu kampeni zianze nimejifunza mambo yafuatayo...
Wabumbe walikuwa wanachanga fedha kwa ajili ya kuimarisha chama na siyo vinginevyo! Ndiyo maana unaona chama kimeimarika mara dufu.Pesa za ruzuku walipeleka wapi?
Pesa za wabunge kwa akiri ya uchaguzi zipo wapi?
Kurusha kampeni mbona anaonekana online TV?
Kama sio lolote msiibe kura muone kama mtatoboa, maana ndio jeuli yenu hiyoNinyi mnaompaka mafuta TAL kwa mgongo wa chupa mna mpango gani naye?
TAL mwenyewe anajua wazi kwamba hawezi kushinda hata nukta moja, ninyi mnamvimbisha kichwa weee kwa kitu kisichowezekana kabisa kwake. Ukitaka kujua haya niyasemayo, nenda vijijini kaulize kama hata anafahamika....
Mzee Makamba nae kaishia wapi,na vipi Kinana?Naona Kikwete ameamua akae pembeni, wananchi hawaelewi kabisa, wako na T. Lisu
Ulichelewa sana kuli 'Note' hili.
Lissu ni habari ya nyingine inayoelekea kumtia 'sonono' ya kudumu 'Mr kufokafoka'
Na maombi yako yatimieKuna mgombea anaweza kuaga dunia kwa Pressure anayopewa na mtu aliyemwona si lolote....!!!
Kila siku anasikiliza Lissu kasema Nini ili apate kujibu hoja zake....!!
lipieni airtime,acheni kulia liaCHADEMA inafanya kampeni katika mazingira magumu sana kwani mikutano yake haiko mubashara kama ya chama tawala.
Nothing will stop Tundu Lissu to white house
View attachment 1571010View attachment 1571011View attachment 1571012
Mpeni salam huyo mkimbizi , hii ni mleba tukielekea Kagera , mwambieni Ikulu ataisikia mdomoni tuu mpak atakaposhuka kaburini