Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,115
2,771
Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani?

Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na mamake zitatuangamiza. Chagueni viongozi ambao hawatatuangamiza. Kuweni macho na hizo pesa. Mkavhagueni viongozi wanaowaamink, siyo wanaowaonga.

Tunapohangaika kufanya mikutano ya hadhara, hatuna hela. Tunaposwekwa ndani, hakuna hela. Kwemye chaguzi, hizi pesa zinayoka wapi? Kuweni macho na hizi pesa chafu za yuda Iskarioti.

========

Tundu Lissu akiwa mkoani Iringa uwanja wa Mwembetogwa jana May 03, 2024 ametahadharisha kuhusu pesa nyingi ndani ya chama hicho kuelekea chaguzi za ndani nchi nzima.

Tundu Lissu: Kuna mtafaruku mkubwa sana wa uchaguzi ndani ya chama chetu, kuna pesa nyingi ajabu kwenye uchaguzi huu. Hela ambayo tukisema tufanye mikutano, tutafute vyombo vya matangazo, huwa haipo.

Leo kwenye uchaguzi kuna hela ya ajabu, nyie mnafikiri hii hela ni ya wapi? Nyie mnafikiri hii hela ni ya nani? Mnafikiri hii hela itatuacha salama?

Ukitaka kujua tu kwamba hatuko salama, fatilia mitandaoni. Sasa nayazungumza haya kwa wananchi, na nayazungumza viongozi wayasikie, hizo pesa kwanza sio za Chadema kwasababu sisi huwa hatuna hela siku zote.

Kwahiyo hizi hela ni za nani? Kama sio za Abdul na mama yake! Nyie mnafikiri ni za nani? Na zinavyosambazwa hivi ni kwaajili ya manufaa ya chama chetu?

Sasa nyie wananchi wa Iringa mimi nawaombeni, kwasababu niliambiwa nisije kuzungumza kwenye mkutano huu, nisije kabisa, niliambiwa nisubiri uchaguzi upite ndio nije, yaani nisubiri mchafuane na kukatana mapanga na kutukanana, kuraruana halafu mkishararuana vya kutosha ndio nije.

Nawaombeni sana muwe macho na hizi pesa, nimesema ni za Abdul na mama yake, zitatuangamiza tusipoangalia na sio Iringa peke yake, ni kila mahali.

====

Pia soma
- Inadaiwa hasira za Lissu zinatokana na kunyimwa gari na Rais Samia
- Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Ramia, asema hajawahi kuomba 'favor' yoyote kutoka kwake
 
Halafu ndo upinzani wawatoe CCM , wote wale wale tu watu wa kwenye system tunachezeana tu mazingaombwe,,,unaweza kuta hao wote wana godfather mmoja
 
02 May 2024
Iringa, Tanzania

Fedha nyingi badala ya kujenga demokrasia ndani ya chama dola kongwe CCM zimepenyezwa kujaribu kuvuruga chaguzi za ndani za CHADEMA.

Viongozi ndani ya CCM ngazi za wajumbe wa nyumba 10 wanalia njaa lakini hawapewi fedha hizo ila zinaelekezwa kuvuruga.

=======

Tundu Lissu akiwa mkoani Iringa uwanja wa Mwembetogwa jana May 03, 2024 ametahadharisha kuhusu pesa nyingi ndani ya chama hicho kuelekea chaguzi za ndani nchi nzima.

Tundu Lissu: Kuna mtafaruku mkubwa sana wa uchaguzi ndani ya chama chetu, kuna pesa nyingi ajabu kwenye uchaguzi huu. Hela ambayo tukisema tufanye mikutano, tutafute vyombo vya matangazo, huwa haipo.

Leo kwenye uchaguzi kuna hela ya ajabu, nyie mnafikiri hii hela ni ya wapi? Nyie mnafikiri hii hela ni ya nani? Mnafikiri hii hela itatuacha salama?

Ukitaka kujua tu kwamba hatuko salama, fatilia mitandaoni. Sasa nayazungumza haya kwa wananchi, na nayazungumza viongozi wayasikie, hizo pesa kwanza sio za Chadema kwasababu sisi huwa hatuna hela siku zote.

Kwahiyo hizi hela ni za nani? Kama sio za Abdul na mama yake! Nyie mnafikiri ni za nani? Na zinavyosambazwa hivi ni kwaajili ya manufaa ya chama chetu?

Sasa nyie wananchi wa Iringa mimi nawaombeni, kwasababu niliambiwa nisije kuzungumza kwenye mkutano huu, nisije kabisa, niliambiwa nisubiri uchaguzi upite ndio nije, yaani nisubiri mchafuane na kukatana mapanga na kutukanana, kuraruana halafu mkishararuana vya kutosha ndio nije.

Nawaombeni sana muwe macho na hizi pesa, nimesema ni za Abdul na mama yake, zitatuangamiza tusipoangalia na sio Iringa peke yake, ni kila mahali.
 
Lissu: Ni pesa za Abdul na mamake.

Swali: Pesa hizo zimeingia kupitia mlango upi, au zimepitia dirishani?

Bado natafuta jibu.

Kwako Erythrocyte
 
02 May 2024
Iringa, Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=hAmMicfjF0s
Fedha nyingi badala ya kujenga demokrasia ndani ya chama dola kongwe CCM zimepenyezwa kujaribu kuvuruga chaguzi za ndani za CHADEMA ... fedha hizo zinatoka kwa ...

Viongozi ndani ya CCM ngazi za wajumbe wa nyumba 10 wanalia njaa lakini hawapewi fedha hizo ila zinaelekezwa kuvuruga ...

Timesmajira
https://timesmajira.co.tz › wenyevi...
Wenyeviti wa mitaa walia na Halmashauri kuhusu posho

11 Nov 2023 — WENYEVITI wa Serikali za mitaa wa chama cha CCM waliopo Mamlaka ya mji mdogo Igunga mkoani Tabora wameilalamikia Halmashauri ya wilaya ya Igunga....

DIWANI WA CCM ACHARUKA, APIGIWA SHANGWE AKILILIA POSHO - "WABUNGE CCM WAMETUZIDI PAREFU"

View: https://m.youtube.com/watch?v=7PyFnP64bhQ

Diwani wa Kata ya Mninga na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Festo Mgina ameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kuwaongezea posho kwani hazikidhi mahitaji yao kutokana na kazi wanazozifanya...

8 Sept 2023 — wabunge wacharuka Sakata la posho za madiwani na wenyeviti wa vijiji limeibuka kwa mara nyingine bungeni leo Ijumaa Septemba 8, ...

March 2024
Walimu wilaya ya,Korogwe waidai Halmashauri mamilioni ya fedha za malimbikizo ya nauli,likizo,masomo na posho za kujikimu...

Safi sana
 
Katika hali halisi Chadema ni hatari mno kwa CCM, na hasa kwa mgombea wa ccm akibaki kuwa Hangaya, kwahiyo njia pekee ni kwa ccm kupenyeza watu wao, ndio maana Lissu kaanika mambo hadharani, Nakusanya Taarifa na nitaliweka hadharani hivi punde
 
Katika hali halisi Chadema ni hatari mno kwa CCM, na hasa kwa mgombea wa ccm akibaki kuwa Hangaya, kwahiyo njia pekee ni kwa ccm kupenyeza watu wao, ndio maana Lissu kaanika mambo hadharani
Au ana mpango kuja kugombea CDM nn!!
 
02 May 2024
Iringa, Tanzania

Mazito yawekwa hadharani pesa za Samia na Abdul .... hazipelekwi kunakohusika zimeelekezwa CHADEMA kwanini wakati viongozi wa ngazi za chini CCM walio maelfu wanalia njaa ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=hAmMicfjF0s
Fedha nyingi badala ya kujenga demokrasia ndani ya chama dola kongwe CCM zimepenyezwa kujaribu kuvuruga chaguzi za ndani za CHADEMA ... fedha hizo zinatoka kwa ...

Viongozi ndani ya CCM ngazi za wajumbe wa nyumba 10 wanalia njaa lakini hawapewi fedha hizo ila zinaelekezwa kuvuruga ...

Timesmajira
https://timesmajira.co.tz › wenyevi...
Wenyeviti wa mitaa walia na Halmashauri kuhusu posho

11 Nov 2023 — WENYEVITI wa Serikali za mitaa wa chama cha CCM waliopo Mamlaka ya mji mdogo Igunga mkoani Tabora wameilalamikia Halmashauri ya wilaya ya Igunga....

DIWANI WA CCM ACHARUKA, APIGIWA SHANGWE AKILILIA POSHO - "WABUNGE CCM WAMETUZIDI PAREFU"

View: https://m.youtube.com/watch?v=7PyFnP64bhQ

Diwani wa Kata ya Mninga na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Festo Mgina ameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kuwaongezea posho kwani hazikidhi mahitaji yao kutokana na kazi wanazozifanya...

8 Sept 2023 — wabunge wacharuka Sakata la posho za madiwani na wenyeviti wa vijiji limeibuka kwa mara nyingine bungeni leo Ijumaa Septemba 8, ...

March 2024
Walimu wilaya ya,Korogwe waidai Halmashauri mamilioni ya fedha za malimbikizo ya nauli,likizo,masomo na posho za kujikimu...

Dalili za kuweweseka.Lisu umezaliwa kuwa looser na hii huwezi badili 😁😁
 
Back
Top Bottom