man city

  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Man City anapigwa leo na Everton! Arsenal tunatangaza ubingwa mapema!

    Pickford golini leo hatoruhusu chuma iingie. Beto ataweka chuma tunamaliza mchezo.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Manchester City 2-1 Arsenal | EPL | 19.04.2026 | Etihad

    MANCHESTER CITY DHIDI YA ARSENAL: PAMBANO LINALOAMUA MSIMU ⚔️ Uchambuzi wa Mdau: Manchester City Rayan Cherki: Ndiye mchezaji wa kwanza kufikisha pasi 10 za mabao (assists) katika msimu wake wa kwanza wa Ligi Kuu tangu Dimitri Payet afanye hivyo msimu wa 2015-16. Rekodi ya Nyumbani...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT | Arsenal 0-2 Man City | Fainali Kombe la Carabao | Wembley | Man City Bingwa!

    Leo katika dimba la Wembley inapigwa fainali ya Kombe la Carabao. Arsenal (The Gunners) dhidi ya Manchester City (The Citizens). Arsenal mara ya mwisho kubeba Kombe ilikuwa msimu wa 2019/2020 hivyo wana miaka sita bila Kombe. Je, leo watatwaa Kombe hili ama tabu kuendelea? Mchezo huu...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Leo Chelsea, Man City na Man U wapo vikaangoni - EPL!

    Ngoja tusubirie Matokeo.
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Leo kati ya Liverpool, Man City au Chelsea chochote tu kitokee!

    EPL inazidi kunoga. Watetezi wa kombe wanapelekewa moto huko. Wakati City tunategemea leo kusumbuliwa na Chelsea.
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Liverpool na Manchester City Mtauanza Mwaka Mpya kwa Maumivu Makali

    Man City leo hamtoki kwa Sunderland na Liverpool mtashangazwa na Leeds United hapo Anfield. Mtamjua Calvert Lewin ni nani leo?
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Weekend nyingine mbaya kwa Man City na Liverpool. Huu mwaka wa Arsenal. Period!

    “Hali inazidi kua mbaya. Ata baada ya mapunziko marefu ya EPL bado kuna team zinapwetapweta. Walibebwa sana misimu iliopita na system ila sasa ukweli unajiweka wazi. “ -Kuna mlevi anaongea hapa. Nimemnukuu.
  8. Acehood

    JamiiForums Tanzania Msaada wa link ya Patch 2025/26 ya Pes 2017 yenyewe ipo updated. (Isak-liverpool, Donarruma - man city)

    Naomba msaada wa website gani naweza kupata hii patch. Nimeitafuta sana lakini napata ambazo haziko updated.
  9. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Kipa wa Man City, Ederson ahamia Fenerbahce ya Uturuki

    Kipa wa Brazil, Ederson, amekamilisha uhamisho wa kudumu kutoka Manchester City kwenda klabu ya Fenerbahce ya Uturuki. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 ameondoka City baada ya miaka minane, kipindi ambacho aliisaidia timu hiyo kutwaa mataji sita ya Ligi Kuu ya England na ubingwa wa Ligi ya...
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Kevin De Bruyne atangaza kuondoka Man City mwishoni mwa msimu

    Kevin De Bruyne announces he will LEAVE Man City this summer in emotional statement - and now big money deal in Saudi or US beckons Kevin De Bruyne has confirmed he will leave Manchester City this summer, bringing an end to his decade-long stay at the Etihad. De Bruyne's contract is due to...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wanayopitia Man City & Man U ingekuwa Yanga au Simba sijui ingekuwaje?

    Jinsi Simba na Yanga zinavyoendeshwa kisiasa, hali ya uduni wa uchezaji na uhaba wa matokeo ya ushindi wanayokumbana nayo Manchester United na Manchester city, ingekuwa Kwa timu hizo za Kariakoo sijui ingekuwaje🤔 Mawaziri mpaka Rais angeingilia kati. Simba na Yanga zinaua Mpira wa Tanzania kwa...
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Magoli ya Mbappe aliyowapiga Man City yana-prove kwamba bado ni world class

    https://youtu.be/zpieZkvFnlE?si=35jBhPRwAJ3yx-CG Tunashukuru sana kwa kuwaburuza matapeli wa soccer.
  13. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Full Time: Real Madrid 3 - 1 Man City | UCL | Knock out stage | Estadio Santiago Bernabeu | 19.02.2025

    Leo kuna mchezo wa marudiano baina ya Real Madrid vs Man City. Ni mchezo wa aina yake mara baada ya mechi ya kwanza ambapo Real Madrid aliibuka na ushindi wa 3-2. Je Man City wafanyeje ili waweze kufuzu? Mechi ni saa 5:00 usiku
  14. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania EPL: Golikipa wa Man City, Ederson afikisha assist ya tatu ya msimu katika ligi hiyo sawa na Odegaard wa Arsenal

    Golikipa wa Man City, Ederson jana alitoa assist kwa Omar Marmoush wakati Man City ikiiua Newcastle Goli 4-0 katika EPL. Assit hiyo ya Ederson inakuwa ni assist ya 3 kwa msimu huu katika EPL huku akilingana na baadhi ya wachezaji wanaocheza ndani. Kipa Ederson, analinganaa na kiungo hatari na...
  15. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Hata Ulaya wanataniana; Ona namna Man City ilivyompiga kijembe Vinicius Jr kuhusu Ballon d’or

    Man city walimpiga dongo Vinicius Jr kuhusu Ballon d’or jana katika mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya. Bado Vini akapafomu katika kiwango cha hali ya juu na kuisaidia timu yake ya Real Madrid kuibuka na ushindi wa mabao 3-2. Hata ulaya vijembe na utani wa hapa na pale upo bhana🤣🤣
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Peo Guardiola avunjiwe mkataba akauguze majeraha ya talaka,ataipoteza Man City

    Najua inauma hela ulizotafuta kwa jasho miaka yote kuchukuliwa pasu kwa pasu na mwanamke. Sisi timu Man City tunakuomba utupishe ukauguze majeraha ya kibuti. Soma Pia: Arsenal 5-1 Manchester City Sisi wakufungwa goli 5 na Arsenal kweli
  17. A

    JamiiForums Tanzania Wakati Arsenal na Man city zimecheza mechi 23 za ligi, Zote Zina penalties 2 tu, Simba mechi 16 penalties 8..Tafakarini

    Tuweke Ushabiki kando. Hii ligi yetu inaelekea wapi. Timu za Arsenal na Manchester City tunazozifahamu wengi wetu. Ni timu zilizo kwny nafasi za juu kwenye ligi ya Uingereza. Ni timu zilizo na falsafa ya kuchezea na kumiliki mpira wakati mwingi. Sasa Inakuwaje timu hizo hadi leo hii zimepewa...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Erling Haaland asaini mkataba mpya kubaki Man City mpaka 2034

    MSHAHARA WA ERLING HAALAND NDANI YA MAN CITY Thamani ya Mkataba Jumla £260,000,000 (Tsh. Bilioni 798.6) Kwa Mwaka £26,000,000 (Tsh. Bilioni 79.8) Kwa mwezi £2,166,666 (Tsh. Bilioni 6.6) kwa Wiki £500,000 (Tsh. Bilioni 1.5) Kwa siku £71,428 (Tsh. Milioni 219.4) Kwa Saa £2,976 (Tsh. Milioni...
  19. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kiuhakika nina enjoy sana magumu ya Man City

    min -me Oil money fc a.k.a tuhuma 130 za utapeli anapigwa na villa huko Safi sana.. Ahssante "fraudiola"
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola: Jose Mourinho anatamani Man City ishushwe daraja

    Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema anaamini Jose Mourinho ambaye kwa sasa ni Kocha wa Fenerbahçe anaitakia mbaya City na ikiwezekana ishushwe daraja Awali, Guardiola alinukuliwa akisema yeye alibeba mataji sita ya Premier League tofauti na Mourinho aliyebeba matatu, kauli ambayo...
Back
Top Bottom