Jana nimeota mechi ya ugenini Yanga anashinda 1-2 na nyumbani 2-1

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,552
2,992
Wadau, jana nimeota kuwa Yanga atashinda nje ndani kwa idadi ya magoli 4-2 huku Mudathiri, Pacome na Aucho wakishinda kwenye magoli hayo 2, mara nyingi huwa naota ndoto za kweli huenda ikawa idadi ya magoli ni tofauti ila Yanga anapita hatua inayofata na huenda Watakutana fainali yeye na mwarabu(kundi moja).
 
wadau jana nimeota kuwa yanga atashinda nje ndani kwa idadi ya magoli 4-2 huku mudathiri,pacome na aucho wakishinda kwenye magoli hayo 2,mara nyingi huwa naota ndoto za kweli huenda ikawa idadi ya magoli ni tofauti ila yanga anapita hatua inayofata na huenda Watakutana finali yeye na muarabu(kundi moja).
Mungu asaidie nchi hizi timu mbili zitolewe ila kelele ma radioni na vijueni zieshe ili watu wapate kufanya kazi, unakuta ofisi nzima wanajadili mpira wateja wako nje wanawasubilia.
 
acha tukoshe nafsi zetu maisha yenyewe magumu na mafupi
 
Wadau, jana nimeota kuwa Yanga atashinda nje ndani kwa idadi ya magoli 4-2 hu222ku Mudathiri, Pacome na Aucho wakishinda kwenye magoli hayo 2, mara nyingi huwa naota ndoto za kweli huenda ikawa idadi ya magoli ni tofauti ila Yanga anapita hatua inayofata na huenda Watakutana fainali yeye na mwarabu(kundi moja).
Unaacha kuota kuku wako katotoa vifaranga 12, unaota utopolo. Hovyo kabisa.
 
Wadau, jana nimeota kuwa Yanga atashinda nje ndani kwa idadi ya magoli 4-2 huku Mudathiri, Pacome na Aucho wakishinda kwenye magoli hayo 2, mara nyingi huwa naota ndoto za kweli huenda ikawa idadi ya magoli ni tofauti ila Yanga anapita hatua inayofata na huenda Watakutana fainali yeye na mwarabu(kundi moja).
Ukiona choo usikitumie,mtego huo.
 
Wadau, jana nimeota kuwa Yanga atashinda nje ndani kwa idadi ya magoli 4-2 huku Mudathiri, Pacome na Aucho wakishinda kwenye magoli hayo 2, mara nyingi huwa naota ndoto za kweli huenda ikawa idadi ya magoli ni tofauti ila Yanga anapita hatua inayofata na huenda Watakutana fainali yeye na mwarabu(kundi moja).
Kwa hizi ndoto kuna siku utajinyea
 
Wanaanzia Dar halafu wanaenda kumalizia South Africa. Kama umeota 1-2 halafu ikafuata 2-1, basi hayo ni matokeo ya Mamelodi na si ya Yanga, maana mechi ya kwanza mgeni atakuwa ni Mamelodi
kasema ugenini 1-2 , alafu nyumbani 2-1.. jiongeze
 
Wadau, jana nimeota kuwa Yanga atashinda nje ndani kwa idadi ya magoli 4-2 huku Mudathiri, Pacome na Aucho wakishinda kwenye magoli hayo 2, mara nyingi huwa naota ndoto za kweli huenda ikawa idadi ya magoli ni tofauti ila Yanga anapita hatua inayofata na huenda Watakutana fainali yeye na mwarabu(kundi moja).
Ishia kuota hivyo. Punguza mahaba usije ota PAKOME anafunga kwako goli 2-1 ugenini na nyumbani.

NYUMA MWIKO
 
images (1)-1.jpeg
 
Back
Top Bottom