Ratiba ya mechi zijazo za Yanga na wapi atakuwa anacheza

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,022
144,379
Naomba anaeweza kuweka ratiba aiweke huku akizingitia kuonyesha ni wapi mechi husika zitachezwa kwa maana ya home and away.

Kama ilivyo kwa timu nyingine, bila shaka zimebaki mechi ambapo mbili ni za nyumbani na mbili za ugenini.

Nyumbani ni dhidi ya Medeame na CRB na ugenini ni dhidi ya Ahly na Medeame ya Ghana.

Ratiba please ili niweze kujua nini hatima ya Yanga kwa mechi zilizobaki.
 
IMG_20231202_223856.jpg
 
Al Ahly atafuzu mapema, hivyo Yanga atakuwa na faida ya kucheza na timu ambayo itakuwa teyari imefuzu na hii ni fursa kwa Yanga kwassbabu Al Ahly wanaweza kubweteka na zaidi watakuwa hawaitaji ushindi.

Pia, Yanga ana mechi mbili za nyumbani na timu anazochezanazo anaweza kuzifunga kwa Mkapa na hii inaongeza possibity ya Yanga kuingia robo.

Muda utathibitisha.
 
Yaan CR belouzdad umfunge kwa mkapaa? Labda sare tena ya kutafuta.
 
Hapo nawapa alama 3
Alama taraaa
Alama trois
Alama three na hizo mtazipata taifa Na medeama

Mkishindwa kushinda hapo
Tuseme bai bai

Wazee wa ma mvp
😁😁😁 tukutane shirkisho na kina berkane
 
Al Ahly atafuzu mapema, hivyo Yanga atakuwa na faida ya kucheza na timu ambayo itakuwa teyari imefuzu na hii ni fursa kwa Yanga kwassbabu Al Ahly wanaweza kubweteka na zaidi watakuwa hawaitaji ushindi.

Pia, Yanga ana mechi mbili za nyumbani na timu anazochezanazo anaweza kuzifunga kwa Mkapa na hii inaongeza possibity ya Yanga kuingia robo.

Muda utathibitisha.
Swali fikirishi he wamempata mbadala wa mayele? kwenye dirisha dogo maana minong'ono ni mingi
 
Al Ahly atafuzu mapema, hivyo Yanga atakuwa na faida ya kucheza na timu ambayo itakuwa teyari imefuzu na hii ni fursa kwa Yanga kwassbabu Al Ahly wanaweza kubweteka na zaidi watakuwa hawaitaji ushindi.

Pia, Yanga ana mechi mbili za nyumbani na timu anazochezanazo anaweza kuzifunga kwa Mkapa na hii inaongeza possibity ya Yanga kuingia robo.

Muda utathibitisha.
Uto shughuli umeisha tayari, hayo mengine ni kutiana moyo.
 
Hapo nawapa alama 3
Alama taraaa
Alama trois
Alama three na hizo mtazipata taifa Na medeama

Mkishindwa kushinda hapo
Tuseme bai bai

Wazee wa ma mvp
tukutane shirkisho na kina berkane
Utaratibu ulibadilika, hakuna shirikisho tena. Wakutema bungo CL wanarudi kwenye ligi ya madafu kupambana na Mashujaa.
 
Ila mi nimepunguza matarajio lolote linaweza kutokea kufuzu au kutofuzu Cha muhimu nafasi nne za mwakani zimepatikana
Kwa Sasa kocha arudishe nguvu na akili kwa kombe la FA na ligi maana ngao Kolopwinyo walipewa zawadi pale Tanga
 
Back
Top Bottom