sekta ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mvuvimvivu

    SoC03 Mapinduzi ya Kiteknolojia katika Sekta ya Afya nchini Tanzania

    Utangulizi: Sekta ya afya ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na uchumi wa Taifa lolote. Katika Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya mabadiliko ya kiteknolojia ili kuleta mabadiliko chanya katika uwajibikaji na utawala bora katika sekta ya afya. Kwa kuzingatia umuhimu huo, takwimu...
  2. Teknocrat

    Le Mutuz case: Ubovu wa Sekta ya Afya Nchini

    Kutokana na taarifa za tukio la kifo cha nguli wa mitandao ya kijamii nchini Ndugu William Malecela ajulikaye kama Le Mutuz. Nini hatma ya sekta ya Afya nchini katika kuwa na uwezo wa kuwa na wataalamu wa magonjwa ya moyo na vifaa vya kukabiliana na magonjwa ya dhararu kama magonjwa ya...
  3. Stephano Mgendanyi

    Serikali Iangalie Maslahi ya Watumishi Sekta ya Afya

    MBUNGE FESTO SANGA - SERIKALI IANGALIE MASLAHI WATUMISHI SEKTA YA AFYA Mbunge wa Jimbo la Makete, Festo Sanga aomba Wizara ya Afya kuangalia maslahi ya watumishi sekta ya Afya, wanafanya kazi ngumu na katika mazingira ambayo wengi wetu hatuwezi. Wanapigania Uhai wetu, maslahi yao yaangaliwe...
  4. M

    TAMISEMI siyo vibaya kama mtasema ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itatoka

    Ifahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015. Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya!
  5. B

    Dkt. Mollel kuunguruma UTV kueleza maboresho sekta ya afya Mei 8, 2023

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel atakuwa mubashara kesho Jumatatu Mei 08, 2023 kwenye kituo cha Azam TV kueleza maboresho makubwa kwenye sekta ya Afya. Usikose kutazama UTV katika kipindi cha Morning Trumpet kujionea maboresho katika Sekta ya Afya kuanzia saa 01:05 asubuhi.
  6. TheForgotten Genious

    SoC03 Kuwe na Wahasibu Maalumu katika Sekta ya Afya

    UTANGULIZI Kwa miaka mingi sasa sekta ya afya, masuala ya usimamizi wa fedha na kihasibu, manunuzi na mengineyo yamekuwa yakisimamiwa wa wahasibu ambao niwa kawaida kwa ajili ya biashara za uzalisha ambao wanatambulika kama “CERTIFIED PUBLIC ACCOUNTANT (CPA)”, kwa namna moja ama nyingine...
  7. Stephano Mgendanyi

    Miradi ya Sekta ya Afya Iliyopata Fedha Jimbo la Igunga kwa Mwezi Februari, 2023

    MIRADI YA SEKTA YA AFYA ILIYOPATA FEDHA JIMBO LA IGUNGA KWA MWEZI FEBRUARI 2023 1. Zahanati ya Mtunguru (Kata ya Mtunguru) - Tshs. 46,600,000/- 2. Zahanati ya Igogo (Kata ya Nanga) - Tshs. 27,600,000/- 3. Zahanati ya Mwamashimba (Kata ya Mwamashimba) - 29,600,000/- 4. Zahanati ya Itunduru...
  8. L

    Mchango wa China katika sekta ya afya ya umma barani Afrika unaendelea kutukuzwa na wenyeji

    Afya ni muhimu na ina thamani kubwa sana kwa binadamu. Bila ya mtu kuwa na afya njema hataweza kufanya chochote kile. Ndio maana nchi mbalimbali duniani zinaipa kipaumbele sekta ya afya ili kuhakikisha afya za watu zinakuwa imara, na endapo unatokea ugonjwa ziweze kukabiliana nao kwa haraka na...
  9. P

    Sekta ya afya yazidi kuimarika chini ya Serikali ya Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita imekua na mwendelezo mzuri sana sekta ya afya, imejenga zahanati 786, na vituo vya afya 471, pia imekarabati na kuboresha huduma katika hospitali za almashauri 154, Bila kusahau mkoa wa kigoma ambao kimaendeleo ulisahaulika sana, nao umepata mashine ya CT-scan kwa mara...
  10. The Sunk Cost Fallacy 2

    Benki ya Dunia yaidhinisha Mkopo wa Shilingi Trilioni oni 1.8 kwa Tanzania kwa ajili ya Sekta ya Afya na kuimarisha Uchumi

    Habari wadau. Benki ya Dunia kupitia dirisha la kusaidia Nchi masikini la IDA ,imeidhinisha mkopo nafuu wa dola za Marekani Milioni 775 sawa na shilingi Tilioni 1.8 kwa ajili ya Tanzania.. Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na WB na kinukiliwa na gazeti la daily news,mkopo huo Ni kwa ajili ya...
  11. N

    Bima kwa wote: Tanzania kuweka rekodi Barani Afrika katika Sekta ya Afya

    Baada ya kuwezesha suala la Elimu bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha Sita na Mikopo ya Elimu ya Juu kwa wanaohitaji. Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kuweka rekodi nyingine Barani Afrika. Wananchi watakaotambuliwa kutokuwa na uwezo wataendelea kupatiwa huduma kwa...
  12. Hamza Nsiha

    SoC02 Kilio changu katika sekta ya Afya

    Kilio changu katika sekta ya Afya. Ndugu zangu watanzania, leo hii ninawaandikia uzi huu nikiwa na lengo la kuonesha kilio changu katika sekta yetu muhimu ya Afya kuhusuiana na baadhi ya mambo ambayo yamekuwa kizungumkuti katika jamii yetu kwa ujumla. Sekta ya afya ni moja kati ya sekta nyeti...
  13. N

    Sekta ya Afya imepewa kipaumbele

    Mwelekeo wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassam ni ubora wa huduma na sio bora huduma. Watoa huduma za afya watapimwa kwa muda wa utoaji wa huduma za matibabu, vipimo na upatikanaji wa dawa, pamoja na utoaji wa huduma bora kwa wakina Mama na Watoto. Serikali inajenga...
  14. beth

    Mabadiliko ya TabiaNchi na athari zake kwenye Sekta ya Afya

    Mabadiliko ya TabiaNchi tayari yanaathiri Afya kwa njia nyingi ikiwemo kuvurugika Mifumo ya Chakula, kusababisha Magonjwa na Vifo kutokana na ongezeko la vipindi vya Hali mbaya ya Hewa. Kati ya Mwaka 2030 na 2050 Mabadiliko ya TabiaNchi yanatarajiwa kusababisha takriban vifo 250,000 zaidi kwa...
  15. K

    Ummy Mwalimu, karibu tena Sekta ya Afya. Ukifika Bohari ya Dawa MSD tupia jicho pia kwenye haya...

    Ndugu Mh. Waziri Ummy - Waziri wa Afya, kwanza kabisa tunakupongeza sana kwa kuaminiwa tena na Mh. Rais Samia kwa kuiongoza tena Wizara ya Afya - karibu sana. Nakumbuka mara bada tu ya kuapishwa na Mh. Rais kuingoza wizara yetu hii, ulihojiwa na waandishi wa habari na ukaahidi kuitembelea mara...
  16. Kamanda Asiyechoka

    Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

    Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa. Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini...
  17. Miss Zomboko

    #COVID19 Sekta ya Afya yaanza utafiti ikiwemo kubaini waliochanjwa wamepata Kinga kiasi gani

    Sekta imeanza kufanya tafiti sita (6) kuhusu tabia za virusi za virusi vya Korona kwa kuangalia 1) askari wa kinga mwili (antibodies); 2) uelewa, mtazamo na utendaji (KAP Study); 3) utafiti wa kimatibabu (Clinical trials); 4) kuchunguza mpangilio wa vinasaba (Gene sequencing); 5) hali ya kimelea...
  18. D

    Sekta ya afya yavamiwa na “viwavi jeshi”

    SEKTA YA AFYA YAVAMIWA NA “VIWAVI JESHI” Kila binadamu anahitaji kuwa na afya njema ili aweze kuishi maisha marefu yenye furaha na fanaka. Afya maana yake ni hali ya kutokuwa na ugonjwa kimwili, kiakili, kiroho na kijamii. Wizara ya afya ndio pekee iliyopewa jukumu la kusimamia afya za...
  19. G

    Kuna aina ya viongozi na watu ambao wangeishi zama fulani tusingekuwa na maendeleo wala ugunduzi wowote katika sekta ya afya

    Ndugu wanajukwaa Nimejaribu kuwaza aina ya mawazo na fikra za baadhi ya viongozi na raia walizonazo kwenye karne ya 21 , zikanipa shida kidogo Najiuliza Kama wangeishi zama za milipuko ya magonjwa mbalimbali tusingekuwa na chanjo Wala dawa yoyote, maana fikra zingekuwa hizihizi. Ni watu wepesi...
Back
Top Bottom