kinga

 1. K

  Swali fikirishi: Kiapo au kinga kwa wanasiasa na viongozi wakuu?

  Nini maana ya KIAPO? Nini maana ya KINGA? Viongozi wetu wa mihimili yote mitatu na wakuu wakisiasa huapa huku waendako kutumikia kukiwa na kinga. Mwananchi anafaidika au anapunjwa kisheria. Wabobezi karibuni na nini kifanyike.
 2. Good Father

  Uliwahi ku-date na mtu wa aina hii?

  Kwa ufupi sana, niliwahi kudate na mwanamke flani miaka ya nyuma mkoa flani sitautaja. Tukapotezana kwa maana ya kuonana, ila mawasiliano yalikuwepo kwa simu. Juzi kati amekuja mjini kwa biashara zake, kaniahidi tutaonana kweli kafika tukaonana ilikuwa jioni sana. Tukapata msosi tukaelekea...
 3. M

  Mlonge: Dawa ya asili inayoongeza kinga ya mwili

  Dawa ya asili inayoongeza kinga ya mwili Ongeza kinga yako ya mwili kwa kutumia mlonge Kumbuka, ile hali ya kuonekana umezeeka au mwili wako kuonekana umechoka mara zote huwa kuna uhusiano wa moja kwa moja na kushuka kwa kinga yako ya mwili hali ambayo inauacha mwili wako kushambuliwa kirahisi...
 4. 2019

  Huu mchanganyiko wa kuboost kinga dhidi ya UVIKO-19 kuna una kazi nyingine kwa wenye ndoa

  Juzi koo lilikereketa sana, kama kawaida kuchukua tahadhari nikasema wacha nikachanganye mavitu nijidunge pema. Nikaoda kwa mke gengeni alete 1. Malimao 2. Tangawizi 3. Kitunguu saumu 4. Pilipili mbuzi Nikaviandaa nikablend vyote, nikachukua maji ya moto nikatia chumvi kidogo nikazimua ule...
 5. Shocker

  Corona haina kinga kwa maana ya Chanjo - Jikinge kwa hali na mali chukua tahadhari

  Ndugu wananchi wenzangu napenda kuwaambia tu na huko mitandaoni kumejaa habari na jipya,jamaa amepata chanjo za dozi mbili kasafiri amerudi kupimwa ameoneka positive almanusura azimie. Hizi chanjo zipo kwenye majaribio na safari hii zinapelekwa direct kwa binadamu, ndio ikasemwa haata...
 6. Sam Gidori

  Tumaini la kupata dawa ya UKIMWI laongezeka baada ya 4% ya watu kugundulika kuwa na kinga ya asili nchini DRC

  Ugunduzi wa kundi kubwa la watu ambao miili yao inaweza kupambana na kudhibiti Virusi vya UKIMWI nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaleta matumaini ya kupata tiba ya virusi hivyo. Utafiti umebaini kuwa asilimia 4 ya watu waliokuwa na maambukizi ya virusi vya UKIMWI nchini humo wameweza...
 7. kavulata

  Miiko ya kuvaa barakoa

  Miili yetu inafanana na magari yanayotumia mafuta ya petrol na diseli kutembea pole pole na kutembea haraka. Ili gari litembee lazima itafutwe namna mafuta na hewa ya oxygen vitakutana na cheche ya moto ili vilipuke na kutoa nishati itakayolitembeza gari. Hivyo ni lazima uwe na tank lenye...
 8. J

  Lushoto wapata dawa ya kinga ya Corona, mganga wa tiba mbadala ndugu Shaban ameseme wabunge wengi wameshakunywa!

  Mganga wa tiba mbadala ndugu Shabani wa Lushoto mkoani Tanga amesema amegundua dawa ya kinga ya Corona ambayo imewasaidia watu wengi mkoani Tanga. Shabani amesema dawa hiyo ni kinga kwa magonjwa yote ya mfumo wa kupumua na kwamba hadi sasa wabunge wengi wameshakwenda hapo Lushoto kunywa kikombe...
 9. yuda75

  Je, baada ya kufanya mapenzi bila kinga na mtu usiyemwamini(tegemea) ulikuwa na hali gani?

  Hakuna kitu kinaumiza kichwa kama kuuza mechi mana mawazo yanakuja mengi sana na kuogopesha haya mambo haya jamani tuyaache. Nina msongo wa mawazo wa kutosha.
 10. Mwanamayu

  Je, ugonjwa wa changamoto ya kupumua (UCHAYAKU- 2021) ulioibuka Tanzania unasababishwa na nini, una tiba au chanjo, na kinga na dalili zake ni zipi?

  Sasa imefika wakati wataalam wa afya waueleze juu ya hili gonjwa jipya kabisa hapa Tanzania, na halipo kwengineko, liitwalo 'changamoto ya kupumua.' Watuambie gonjwa ili linasababishwa na nini, dalili zake, kinga yake, chanjo, na tiba? Pia tofauti yake na COVID-19 au UVIDO-19 kwa kiswahili. Kama...
 11. E

  Chonde Chonde Chonde Watanzania tukatae kinga kimya kimya

  Watanzania tuwe makini sana na haya mambo ya kinga, mengi yanasemwa kuhusu huu ugonjwa wa C ya 19 kuhusu chimbuko lake lakini watanzania tuwe makini tusijiweke 'front line' kupinga hii kitu na kuieleza dunia sisi tunaipinga. Tutambue Dunia hii haiendeshwi kwa mijadala huru bali ni mabavu ya...
 12. Jokajeusi

  Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

  Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako Habarini Wakuu. Naweza kuwa tofauti na wengi, Naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa. Lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. ni suala litakalo iweka...
 13. B

  Tuwafahamu viongozi wenye kinga ya kushtakiwa

  Ni kwanini viongozi wa Tanzania wanakinga ya kushtakiwa? Hadi Sasa viongozi wangapi Wana kinga hiyo? Wao wanautofauti gani na viongozi wa Mataifa mengine ambayo kila mtu anashtakiwa? Je, tafsiri ya kikatiba kwamba kila mtu ana haki sawa inatekelezwaje katika mazingira haya ya kinga? Je utawala...
 14. J

  Hotuba ya Mkurugenzi wa Kinga; Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee, Siku ya Maadhimisho ya Mtoto Njiti, tarehe 17 Novemba 2020

  Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema hadi kufika hapa siku ya leo, napenda kuwashukuru nyote kwa kuja, tunapoungana kwa ajili ya kuadhimisha siku ya mtoto njiti Duniani leo tarehe 17 Novemba 2020. Aidha ninayo furaha kuwa sehemu ya maadhimisho haya, jambo...
 15. Mystery

  Kumbe kulazimisha kupitisha Sheria ya Kinga ya Kushtakiwa kwa Spika wa Bunge na Jaji Mkuu, sababu zake zilikuwa hizi?

  Kwenye nchi yoyote duniani, inayoweza kusema inaendesha utawala bora, ni lazima iruhusu mfumo wa mihimili 3 mikuu ya nchi, ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama kujiendesha katika kutoingiliana katika uendeshaji wa shughuli zao, katika kile kinachoitwa "checks and balance" Hali ni tofauti kubwa...
 16. M

  Hivi kwanini Wabunge wa Vyama vya Upinzani wasiwe na kinga ya kubaki Bungeni kama sisi watu wa Kanisa kwani tunafanana sana kwa mambo mengi?

  Kwa upande wa kanisa kunavituko vingi sana vya ajabu makanisani lakini hakuna mahara pa kusemea kwa sisi waumini labda kubadilisha kanisa lakini kwa wanasiasa na taifa kwa ujumla kila baada ya miaka 5 kuna sehemu ya kusemea hivi kwanini na hawa wanasiasa wa upinzani nao wapewe kinga kama ya...
 17. Ibrah

  Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

  Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
 18. D

  Kusema uwongo (purjury) ni kosa kubwa sana (felony) hapa duniani na mbinguni. Je, Wagombea wana kinga ya kosa hili?

  Kusema na kueneza uwongo hapa hasa ukiwa chini ya kiapo ni kosa kubwa sana (felony) kwenye nchi yo yote hapa duniani. Na baya zaidi hasa uwongo huo unaweza kusababisha uvunjifu wa amani. Hata vitabu vitakatifu vya biblia Qurani vinaliorodhesha kosa hili kuwa kati ya dhambi kubwa ambalo adhabu...
 19. VON BISMACK

  Ushauri kuhusu kinga ya UKIMWI

  Thread is deleted
 20. Miss Zomboko

  Mtaalamu: Hofu iliyopitiliza husababisha kinga ya mwili kushuka

  MTAALAMU wa masuala ya saikolijia kutoka Chuo Kikuu cha Iringa, Baraka Mushobozi, amesema madhara ya hofu iliyopitiliza kwa binadamu ni pamoja na kushuka kwa kinga za mwili na kuruhusu mwili kushambuliwa na magonjwa. Akizungumza na MTANZANIA katika Mahojino Maalum jana, alisema watu wengi...
Top Bottom