Miradi ya Sekta ya Afya Iliyopata Fedha Jimbo la Igunga kwa Mwezi Februari, 2023

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,902
944
MIRADI YA SEKTA YA AFYA ILIYOPATA FEDHA JIMBO LA IGUNGA KWA MWEZI FEBRUARI 2023

1. Zahanati ya Mtunguru (Kata ya Mtunguru) - Tshs. 46,600,000/-

2. Zahanati ya Igogo (Kata ya Nanga) - Tshs. 27,600,000/-

3. Zahanati ya Mwamashimba (Kata ya Mwamashimba) - 29,600,000/-

4. Zahanati ya Itunduru (Kata ya Itunduru) - 44,850,000/-

5. Hospitali ya Wilaya Igunga (H/Mji Mdogo Igunga) - 100,000,000/-

6. Zahanati ya Isugilo (H/Mji Mdogo Igunga) - 27,850,000/-

7. Zahanati ya Bukoko (Kata ya Bukoko) - Tshs. 28,600,000/-

8. Zahanati ya Mwabakima (Kata ya Mbutu) - Tshs. 28,600,000/-

9. Zahanati ya Igurubi (Kata ya Igurubi) - Tshs. 38,600,000/-

10. Zahanati ya Mwayunge (H/Mji Mdogo Igunga) - Tshs. 10,000,000/-

11. Zahanati ya Itumba (Kata ya Itumba) - Tshs. 34,000,000/-

12. Zahanati ya Isakamaliwa (Kata ya Isakamaliwa) - Tshs. 26,600,000/-

13. Zahanati ya Mwanyagula (Kata ya Kining'inila) - Tshs. 25,100,000/-

14. Zahanati ya Mwanshoma (Kata ya Nguvumoja) - Tshs. 54,050,000/-

"Kazi na Maendeleo"

Imetolewa na:
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Igunga
19 Februari 2023

WhatsApp Image 2023-02-19 at 16.31.21.jpeg
 
Back
Top Bottom