Le Mutuz case: Ubovu wa Sekta ya Afya Nchini

Teknocrat

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
3,816
8,470
Kutokana na taarifa za tukio la kifo cha nguli wa mitandao ya kijamii nchini Ndugu William Malecela ajulikaye kama Le Mutuz.

Nini hatma ya sekta ya Afya nchini katika kuwa na uwezo wa kuwa na wataalamu wa magonjwa ya moyo na vifaa vya kukabiliana na magonjwa ya dhararu kama magonjwa ya moyo.katika kila kituo cha afya nchini hususani katika majiji makubwa nchini ikiwemo mji mkuu wa nchi(ndio ukweli wenyewe) kama Dar Es Salaam.

Inasemekana na kuthibitishwa na Le Mutus mwenyewe kuwa alikuwa anasumbuliwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo na pia kuweza kupata kusafiri nje ya nchi kupata matibabu ya moyo nchini India na South Africa.

Habari za kifo cha William Malecela A.K,A Le Mutuz, zinasemekana alikutwa na aidha walinzi au majira kuwa ameanguka ghafla huku akiwa hoi bin taabani na kwa mshtuko wa walioweza kuwa eneo la tukio, na katika kutathmini haraka kutokana na eneo alipokutwa na akiishi, kituo kilicho karibu zaidi kwa kuweza kumpeleka kupata huduma ya matibabu haraka na ya dhararua ilikuwa ni Hospitali ya Mnazi Mmoja.

Katika kumbukumbu zangu za utotoni na kwa kuwa nilikulia katika jiji la Dar es Salaam, nimeshawahi kupelekwa kwenye Hospitali ya Mnazi Mmoja kupata huduma ya matibabu katika miaka ya 80 na kwa kweli , japo hiki kituo kipo katikati ya jiji la Dar es Salaam lakini hali ya mazingira na huduma ilikuwa inatolewa pale hasa ukizingatia ni kituo cha afya kinachomilikiwa na serikali, ilikuwa siyo ya kuridhisha kwa hata mimi na umri wangu kung.amua hivyo baada ya kukaa masaa kadhaa bila kuonwa na mtaalamu yeyeto wa afya, na baada kupata fursa, nilionwa na Nesi tu, ambayo alienda kumtafuta daktari, lakini alirudi na cheti kutoka kwa daktai ambaye hakuniona kinasema nipigwe sindano za PPF kutokana jeraha niliopata baada ya kuanguka na baiskeli.

Turudi sasa kwa Ndugu yetu LeMutuz, baada ya kukutwa katika hali aliyokuwa nayo, na uamuzi wa kutokana na eneo anapoishi, ikaonekane akimbizwe katika hii hospitali ya Mnazi Mmoja ilikuwa kama ni kwenda kuandikiwa cheti cha kifo, maana inasemakana baada ya kufikishwa ktuoni hapo, kulikuwa hakuna hata daktari yeyeto aling'amua kuwa mgonjwa kutokana na historia ya afya yake inawezekana amepatwa na Cardic arrest, ugonjwa ambao huduma yake kwanza ilitakiwa kuwa ni matumizi ya Defibrillator (kifaa kinachotumika kuamsha au kusahihisha mapigo ya moyo kwa kuchakachua hali ya afya ya moyo (automatically) kujiseti chenyewe ili kumchoma mngonjwa na nguvu ya umeme ili kurekebisha mwenendo wa mapigo ya moyo), hiki ni kifaa cha msingi kinachotakiwa kuwepo sio katika kila kituo cha afya, kwa wenzetu nchi zilizoendelea kipo kila sehemu hata sokoni, mahoteli makubwa na vituo vya mabasi au treni.

Je katika Hosptali ya Mnazi Mmoja walikuwa na hata na hiki kifaa?

Sasa tunaomba wana Jamii Forum ambao ni wataalumu wa afya yaani madaktari wa ukweli(no ameatures) wanaofanya kazi katika aidha huu mfumo wa sekta ya afya wa vituo vya serikali au binafsi watuaelimishe na kutufafanulia.

Je, kuna uwezekano kuwa kama kungekuwa na wataalamu na vifaa sahihi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja katika siku ya tukio, kungewezesha kuyaokoa maisha ya Le Mutuz?
 
Kutokana na taarifa za tukio la kifo cha nguli wa mitandao ya kijamii nchini Ndugu William Malecela ajulikaye kama Le Mutuz.
Nini hatma ya sekta ya Afya nchini katika kuwa na uwezo wa kuwa na wataalamu wa magonjwa ya moyo na vifaa vya kukabiliana na magonjwa ya dhararu kama magonjwa ya moyo.katika kila kituo cha afya nchini hususani katika majiji makubwa nchini ikiwemo mji mkuu wa nchi(ndio ukeli wenyewe) kama Dar Es Salaam.

Je kuna uwezekano kuwa kama kungekuwa na wataalamu na vifaa sahihi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja katika siku ya tukio, kungewezesha kuyaokoa maisha ya Le Mutuz?
Naunga mkono hoja Tribute to Mwana JF Mwenzetu William Malecela Le Mutuz, Alikuwa Mtu wa Watu
P
 
Kiongozi muda wake Boma yee ulikua umefika, tusitafute mchawi nani Mungu angetaka Le mutuz awepo angekuwepo tu, so tumuombee apumzike kwa amani.
Waafrica tulikwisha kata tamaa ya maisha kwa sababu ya ujinga na umaskini. Kufariki dunia ni natural, Ila ni wajibu wa binadamu kukichelewesha kifo.

Vifo vingi vinavyotupata Watz, vinatupata prematurely na Vinaweza kuzuiwa.
 
Wewe ukishakuwa na tatizo la Moyo issue ya kufa ni sekunde au wewe ukishasikia nani amepona magonjwa ya Moyo?

Kama Miaka ya karibuni ndio serikali walau imejenga emergency departments kwenye hospital za Wilaya na Mkoa Zenye vifaa sembuse huko chini kwenye Vituo vya Afya?

Mkiambiwa lipeni tozo Serikali iwekeze kwenye Afya mkasema walamba asali wanakula Sasa ngoja Kila mtu apambane na Afya yake.
 
Wewe ukishakuwa na tatizo la Moyo issue ya kufa ni sekunde au wewe ukishasikia nani amepona magonjwa ya Moyo?

Kama Miaka ya karibuni ndio serikali walau imejenga emergency departments kwenye hospital za Wilaya na Mkoa Zenye vifaa sembuse huko chini kwenye Vituo vya Afya?

Mkiambiwa lipeni tozo Serikali iwekeze kwenye Afya mkasema walamba asali wanakula Sasa ngoja Kila mtu apambane na Afya yake..
Pathetic
 
Kutokana na taarifa za tukio la kifo cha nguli wa mitandao ya kijamii nchini Ndugu William Malecela ajulikaye kama Le Mutuz.
Nini hatma ya sekta ya Afya nchini katika kuwa na uwezo wa kuwa na wataalamu wa magonjwa ya moyo na vifaa vya kukabiliana na magonjwa ya dhararu kama magonjwa ya moyo.katika kila kituo cha afya nchini hususani katika majiji makubwa nchini ikiwemo mji mkuu wa nchi(ndio ukeli wenyewe) kama Dar Es Salaam.

Inasemekana na kuthibitishwa na Le Mutus mwenyewe kuwa alikuwa anasumbuliwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo na pia kuweza kupata kusafiri nje ya nchi kupata matibabu ya moyo nchini India na South Africa.
habari za kifo cha William Malecela A.K,A Le Mutuz, zinasemekana alikutwa na aidha walinzi au majira kuwa ameanguka ghafla huku akiwa hoi bin taabani na kwa mshtuko wa walioweza kuwa eneo la tukio, na katika kutathmini haraka kutokana na eneo alipokutwa na akiishi, kituo kilicho karibu zaidi kwa kuweza kumpeleka kupata huduma ya matibabu haraka na ya dhararua ilikuwa ni Hospitali ya Mnazi Mmoja.

Katika kumbukumbu zangu za utotoni na kwa kuwa nilikulia katika jiji la Dar es Salaam, nimeshawahi kupelekwa kwenye Hospitali ya Mnazi Mmoja kupata huduma ya matibabu katika miaka ya 80 na kwa kweli , japo hiki kituo kipo katikati ya jiji la Dar es Salaam lakini hali ya mazingira na huduma ilikuwa inatolewa pale hasa ukizingatia ni kituo cha afya kinachomilikiwa na serikali, ilikuwa siyo ya kuridhisha kwa hata mimi na umri wangu kung.amua hivyo baada ya kukaa masaa kadhaa bila kuonwa na mtaalamu yeyeto wa afya, na baada kupata fursa, nilionwa na Nesi tu, ambayo alienda kumtafuta daktari, lakini alirudi na cheti kutoka kwa daktai ambaye hakuniona kinasema nipigwe sindano za PPF kutokana jeraha niliopata baada ya kuanguka na baiskeli.

Turudi sasa kwa Ndugu yetu LeMutuz, baada ya kukutwa katika hali aliyokuwa nayo, na uamuzi wa kutokana na eneo anapoishi, ikaonekane akimbizwe katika hii hospitali ya Mnazi Mmoja ilikuwa kama ni kwenda kuandikiwa cheti cha kifo, maana inasemakana baada ya kufikishwa ktuoni hapo, kulikuwa hakuna hata daktari yeyeto aling'amua kuwa mgonjwa kutokana na historia ya afya yake inawezekana amepatwa na Cardica arrest, ugonjwa ambao huduma yake kwanza ilitakiwa kuwa ni matumizi ya Defibrillator ( kifaa kinachotumika kuamsha au kusahihisha mapigo ya moyo kwa kuchakachua hali ya afya ya moyo (automatically) kujiseti chenyewe ili kumchoma mngonjwa na nguvu ya umeme ili kurekebisha mwenendo wa mapigo ya moyo), hiki ni kifaa cha msingi kinachotakiwa kuwepo sio katika kila kituo cha afya, kwa wenzetu nchi zilizoendelea kipo kila sehemu hata sokoni, mahoteli makubwa na vituo vya mabasi au treni.
Je katika Hosptali ya Mnazi Mmoja walikuwa na hata na hiki kifaa?

Sasa tunaomba wana Jamii Forum ambao ni wataalumu wa afya yaani madaktari wa ukweli(no ameatures) wanaofanya kazi katika aidha huu mfumo wa sekta ya afya wa vituo vya serikali au binafsi watuaelimishe na kutufafanulia,
Je kuna uwezekano kuwa kama kungekuwa na wataalamu na vifaa sahihi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja katika siku ya tukio, kungewezesha kuyaokoa maisha ya Le Mutuz?
Usiandike kiingereza tena aisee.
Hukijui.
 
Royal families huwezi kuziona zahanati ya mnazi mmoja,wao GPs wao wapo Ottawa, New York, London, au jhb, sasa wewe endeleza utopolo wako humu,na wengi wanaojibia humu ni tiss ambao walitakiwa wawe front line kuipigania nchi kama tiss ya Mzena, zahanati ya mnazi mmoja miaka nchi Ina heshima na adabu ilikua ni super, sasa ni uozo mtupu
 
Back
Top Bottom