taasisi za dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    TAKUKURU: Rushwa katika Taasisi za Dini hutokea wakati wa Uchaguzi wa Viongozi

    Rushwa katika Taasisi za Kidini ipo hasa katika Uchaguzi wa Viongozi. Wanaoenda kugombea ni watu wanaotoka katika Jamii ambayo inaelekeza kwamba huwezi kuchaguliwa bila kutoa Hongo, hivyo analazimika kutoa hela ili achaguliwe. Wakati huo huo Mgombea mwenza naye hupata taarifa kuwa Mwenzako...
  2. Mwl.RCT

    SoC03 Mchango wa Taasisi za Dini katika Kuimarisha Utawala Bora: Jinsi ya Kushirikiana na Taasisi za Dini

    MCHANGO WA TAASISI ZA DINI KATIKA KUIMARISHA UTAWALA BORA: JINSI YA KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI Imeandikwa Na: Mwl.RCT UTANGULIZI Je, unajua kuwa taasisi za dini zina mchango mkubwa katika kuimarisha utawala bora nchini Tanzania? Taasisi za dini ni mojawapo ya nguzo muhimu za jamii...
  3. J

    Waziri Bashungwa: Serikali imetatua changamoto za ubia na Taasisi za Dini

    SERIKALI IMETATUA CHANGAMOTO ZA UBIA NA TAASISI ZA DINI- BASHUNGWA Eliud Rwechungura - OR TAMISEMI Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imeimarisha Ushirikiano na Taasisi na Mashirika ya kidini zinazotoa huduma ya Afya msingi kwa wananchi kwa kutatua changamoto zilizokuwepo baina ya...
  4. Mparee2

    Taasisi za dini zianzishe utarabu wa kuwaunganisha vijana/ndoa

    Kutokana na mabadiliko makubwa ya Sayansi na Teknologia, Kumekuwa na changamoto kubwa sana kwa vijana wa kike na kiume kupata wenza sahihi wa kuoa/kuolewa na kwa wakati sahihi; Hii ni kutokana na mfumo mzima wa Elimu nk Nashauri Makanisa na Misikini ianzishe utaratibu rafiki (wa faragha) ambao...
  5. N

    Taasisi za dini, zinazoomba zisitozwe kodi ni wezi, Serikali msikubali kwa hilo

    Mara kwa mara, taasisi za kidini zimekua zikiomba serikali kutowatoza kodi kwenye huduma wanazotoa, wakidai kwamba wao hawafanyi biashara bali wanatoa kusaidia jamii, Huu ni wizi fatilia shule, hospitali na vyuo vya kidini wanatoza gharama kubwa kuliko hata vya watu binafsi, vyuo vingi vya...
  6. comte

    Kuongezeka kwa matukio ya mauaji na mmonyoko wa maadili ni kielelezo cha kushindwa kwa taasisi za dini

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa kidini na kimila kuwa chanzo cha kudhibiti mauaji yanayotokea mara kwa mara nchini, kwa kutoa mafunzo ya maadili yatakayosaidia kurejesha utu na hofu ya Mungu. Ameyasema hayo leo Februari 22 alipohutunia katika maadhimisho ya miaka 25 ya Jubilee ya...
  7. T

    Teuzi ziende hadi kwenye taasisi za dini

    Hatupigi hatua kama taifa kiutendaji kwa kuteuana kimzunguko wa sura,majina,makundi,uchawa nk Nafasi zingine twende kwa watumishi wa mashirika ya dini nao wateuliwe wakalisimamie taifa. Kuna watawa ni wataaluma wazuri tu katika fani mbalimbali,mbona wanawajibika mashuleni,mahospitalini,mifumo...
  8. kasanga70

    Biashara ya Giza kwenye Usajili wa Taasisi za Dini

    Kuna mambo hii nchi ukitafakari sn unaweza kukosa majibu. Taasisi husika zinazosajili institution nyeti kama za Dini Ni vijiwe vya kupigia hela tu, waziri yupo miaka nenda Rudi, msajili yupo nk. Ukienda pale kwa msajili wa Taasisi hizo kwanza unakutana na majimama fulani yanakuchanganya kwa...
  9. M

    Viongozi wa dini hamjashtuka bado suala la usajili wa miaka mitano?

    Kwamba tangazo limetoka kuwa mrudishe vyeti vya usajili vya kudumu mpewe vya miaka mitano mitano! Hamjashtuka bado? Mpo usingizini bado? Mkiamka mtakuta mmefutwa. Serikali inaona njia rahisi ya kufuta usajili wa Kanisa kama la Gwajima na makanisa yale wasiyotataka ni hiyo. Waliwahi kutishia...
  10. pakaywatek

    Wiziri Simbachawene: Usajili sasa utahusu vyama vya kijamii pekee siyo taasisi za dini

    SIMBACHAWENE: MABADILIKO YA HADHI YA VYETI VYA USAJILI WA JUMUIYA KUHUSISHA JUMUIYA ZA KIJAMII PEKEE BADALA YA TAASISI ZA KIDINI _ Na Mwandishi Wetu, MOHA. _ WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema zoezi la...
  11. D

    Sekta ya afya yavamiwa na “viwavi jeshi”

    SEKTA YA AFYA YAVAMIWA NA “VIWAVI JESHI” Kila binadamu anahitaji kuwa na afya njema ili aweze kuishi maisha marefu yenye furaha na fanaka. Afya maana yake ni hali ya kutokuwa na ugonjwa kimwili, kiakili, kiroho na kijamii. Wizara ya afya ndio pekee iliyopewa jukumu la kusimamia afya za...
  12. F

    Taasisi za dini hasa za Kikristo zipo kibiashara zaidi

    Imani ni jambo ambalo hupaswi kuigiza au kuingiza siasa ndani yake. Zaidi ni ukweli wa kiimani unajengwa ndani ya roho kwakuamini bila kuwekwa ushahidi wa dhahiri juu ya Hilo. Ukienda kanisani siku ya Jumapili, utakutana na msululu wa michango kwa mwanajumuiya na harambee ambazo wengine...
  13. kidereko

    Rais Samia: Taasisi za Dini zinazotoa huduma ya Afya na Elimu baadhi zinatozwa kodi kwa sababu zinafanya biashara

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameeleza kuwa Serikali inazitoza kodi taasisi za dini zinazotoa huduma za afya na elimu kwa sababu baadhi zinafanya biashara na si kutoa huduma. Rais Samia ameeleza hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 wakatia akifungua mkutano mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristo...
Back
Top Bottom