Sekta ya Afya imepewa kipaumbele

Nyabukika

JF-Expert Member
Jun 15, 2022
1,402
942
Mwelekeo wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassam ni ubora wa huduma na sio bora huduma. Watoa huduma za afya watapimwa kwa muda wa utoaji wa huduma za matibabu, vipimo na upatikanaji wa dawa, pamoja na utoaji wa huduma bora kwa wakina Mama na Watoto.

Serikali inajenga wodi za wagonjwa wa dharura 75 katika Halmashauri za Wilaya 75 nchini. Hapo nyuma wodi hizi zilikuwa kwenye baadhi ya Hospitali chache za Mikoa, za Kanda na Taifa, chini ya Rais Samia Suluhu Hassan tunajenga wodi hizo katika Halmashauri 75 nchini.

Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inatekeleza ahadi yake ya kutoa afya bora kwa kila Mtanzania.
 
Back
Top Bottom