Ummy Mwalimu, karibu tena Sekta ya Afya. Ukifika Bohari ya Dawa MSD tupia jicho pia kwenye haya...

Kugosola

Senior Member
Aug 7, 2021
191
261
Ndugu Mh. Waziri Ummy - Waziri wa Afya, kwanza kabisa tunakupongeza sana kwa kuaminiwa tena na Mh. Rais Samia kwa kuiongoza tena Wizara ya Afya - karibu sana.

Nakumbuka mara bada tu ya kuapishwa na Mh. Rais kuingoza wizara yetu hii, ulihojiwa na waandishi wa habari na ukaahidi kuitembelea mara moja MSD kutokana na kukithiri kwa uhaba wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara.

Ndugu Mh. Waziri tunashukuru sana kwa uamuzi wako huo wa kuitembelea MSD pamoja na kwamba tunakupa tahadhari kwamba safari zako za kuja hapa MSD zisijekuwa kama za Dr. Dorothy Gwajima ambazo hazikuzaa matunda yoyote pamoja na kwamba ni waziri pekee aliyeitembelea sana MSD ktk historia yake zisizokuwa na tija - nafikili alikuwa anaogopa magwanda ya afande kuchukua hatua.

Ndugu Mh. Waziri Ummy, ukifika MSD tunaomba pia jikitekwenye masuala yafuatayo;

1. Ununuzi wa dawa kutofuata taratibu za manunuzi.

2. Pamoja na kwamba Serikali ya Samia imeleta hela nyingi sana hapa MSD lakini bado uhaba wa dawa ni wa kukithiri.

3. Kwanini hela zinazoletwa kwaajili ya ununuzi wa dawa zinapelekwa kwenye ujenzi wa viwanda? kumbuka hii ni sababu mojawapo iliyochangia kuwa na uhaba wa dawa.

4. Huyu afande amekuwa na tabia ya kuwahamishahamisha watumishi aliowakuta kwa kutumia uchochoro wa Management ya Utumishi wa Umma na kuwaweka watu wake kienyeji ambao wameshindwa kuleta tija kwa shirika, wamekuwa hawacope na shughuli ya taasisi.

5. Kuna watumishi amewatoa ambao walikuwa ni potential kubwa kwa taasisi. Kumbuka siku zote uharibifu wa hii taasisi yetu ya MSD inatokana na management kwa maana ya Wakurugenzi na sio watumishi wa chini, maamuzi ya hovyo ya mgt ndio imekuwa chanzo cha kudorora kwa hii taasisi.

6. Single source procument procurement ya dawa anayoitumia huyu afande imekuwa ikiigharimu sana hii taasisi ikiwa ni pamoja na washitiri kukimbia na pesa ya MSD.

7. Ukifika hapa MSD hebu ulizia special audit iliyofanyika juzi - hii ripoti ni chafu mnoo imejaa madudu kibao

8. Ukifika hapa MSD hebu ulizia ukaguzi ukiofanywa na CAG hapa juzi, nayo ni chafu kabisa

9. Ukifika hapa MSD hebu ulizia kazi anayofanya Mkaguzi Mkuu wa Ndani ambae hajaweza kuyakagua manunuzi yaliyofanyika hapa MSD. Haijaikagua Idara ya Manunuzi kwa miaka 2 sasa mpaka ilipokuja special team kutoka nje. Huyu Mkaguzi Mkuu wa Ndani kashindwa kumsaidia afande na huyu amekuwa haisaidii hii taasisi hata kabla ya kuja afande, kazi yake kubwa imekuwa ni kupiga tu majungu.

9. Ukifika hapa MSD hebu ulizia kazi anayofanya Mwanasheria Mkuu wa taasisi. Huyu nae akiwa ndie mshuhudiaji wa mikataba inayoingiwa na washitiri ikiwa ni pamoja michakato yake amekuwa hamsaidii afande kwa mikataba tata inayoingiwa.

UANZISHWAJI WA KIWANDA HUKO IRINGA.

Pamoja na kwamba MSD imekuwa ikiji-promote sana kwamba imeanzisha kiwanda cha dawa, lakini wamekuwa wakihoji haya yafuatayo ambayo majibu yake hayajaweza kutolewa;

1. Ni Sheria ipi ya Bunge iliyoiongezea MSD jukumu la uzalishaji? kumbuka kwa sheria Na. 13 ya mwaka 1993 iliianzisha MSD kwa majukumu ya; kununua, kuhifadhi na kusambabaza vifaa tiba na vitendanishi vya maabara kwa nchi nzima.

2. Ni bajeti ipi ilipitishwa kujenga hicho kiwanda au zimetumika hela ambayo ilipelekwa MSD kwaajili kununulia dawa za mahospitali ambalo litakuwa ni kosa kubwa sana

3. Je Wizara ya Afya na Bodi ya Wadhamini ya MSD zilipitisha huo mpango wa kujenga kiwanda kwao afande Iringa au ilifanyika retrospective approval kwa badae ili kufunika kombe mwanaharamu apite?

4. Ni upembuzi yakinifu gani ukiofanyika kuanzisha kiwanda cha dawa Iringa na sio mahari pengine?

5. ROI - Return On Investment ya uzarishaji ifakuwa miaka mingapi?, je kuna ripoti ya kitaalamu kuhusu hizo?

6. Je continuity plan ya hivyo viwanda ikoje ili kutoingiliana na shughuli za kila siku za MSD?

7. Hapa juzi tumesikia badhi ya majengo yaliyojengwa kwenye hicho kiwanda yameanza kupasuka, inasemekana inatakiwa wazee wa eneo kilipo kiwanda eti walipwe ndo yataacha kupasuka wakati tatizo ni poor supervision ya kutumia Force Account.

Karibu sana hapa MSD Mh. Waziri.
 
Wewe tunakufahamu vizuri. Wewe upo kundi la kale kajamaa kalikokuwa MD kakaondolewa na kupepelekwa mahakamani. Tunajua ulikuwa mtu wa manunuzi na mkaiba sana na nduguyo MD aliyeondolewa.

Major general ameingia MSD ameisafisha sana lazima wezi mpige kelele. Mlikuwa mnanua dawa nje kwa bei kubwa, amekuja na soln ya kujenga viwanda ili kudhibiti wizi wenu. Kwa taarifa yako Major General is there to stay na wapigaji wote MSD mtaondolewa.
 
Huu ndio uzalendo, yaliyobaki ataamua mwenyewe, japo kwa nchi hii huu ni ulaji kwake, kwa sababu atakaribishwa kwa bahasha nono na mwishowe itaonekana ni majungu tuu.
 
Kilio cha Mzalendo hichi sio kile cha kinafiki cha Uhamiaji kilichojaa husuda dhidi ya Biteko na Watutsi wenzake.
 
Unauhakika gani kama huyu sio Mhanga wa walikatiwa Mirija ya ulaji. Mimi Nina ndugu MSD lakini naye kazi ni Kumlaani huo Mjeshi. Ukiuliza shida ninini hasemi zaidi ya Kusema " Msenzi huyo anazuia Maendelea ya wenzake".

Kiuhalisia Waliozoea upigaji ndio wanaolalamika
 
Khaaaah! Kweli umeamua kupambana. Ngoja aletwe mkurugenzi mwingine halafu na yeye akaze na kuzuia Upigaji halafu uendeleze FITINA NA MAJUNGU TENA.
 
Mbona kuna taarifa kuwa msd tayari wana kiwanda kinachozalisha dawa za binadamu?
 
Wewe tunakufahamu vizuri. Wewe upo kundi la kale kajamaa kalikokuwa MD kakaondolewa na kupepelekwa mahakamani. Tunajua ulikuwa mtu wa manunuzi na mkaiba sana na nduguyo MD aliyeondolewa.

Major general ameingia MSD ameisafisha sana lazima wezi mpige kelele. Mlikuwa mnanua dawa nje kwa bei kubwa, amekuja na soln ya kujenga viwanda ili kudhibiti wizi wenu. Kwa taarifa yako Major General is there to stay na wapigaji wote MSD mtaondolewa.
Screenshot_20220122-084744.png
 
Unauhakika gani kama huyu sio Mhanga wa walikatiwa Mirija ya ulaji. Mimi Nina ndugu MSD lakini naye kazi ni Kumlaani huo Mjeshi. Ukiuliza shida ninini hasemi zaidi ya Kusema " Msenzi huyo anazuia Maendelea ya wenzake".

Kiuhalisia Waliozoea upigaji ndio wanaolalamika
Watanzania wana laana ya wizi, wanaiba hadi wanajiibia wenyewe!
 
Asante sana Mh. Waziri kwa kuitembelea Bohari ya Dawa kama ulivyoahidi na kutoa mrejesho wa kinachoendelea hapa MSD.

Tuna imani kubwa sana na wewe Mh. Waziri kwa kujituma kwako na ufuatiliaji wako wa karibu utaiokoa hii Sekta ya Afya hasa hii MSD yetu ambayo imekuwa ikidorora kila uchao.

Ni matumaini yetu kwamba hoja zote zilizotolewa hapo juu zitafuatiliwa kwa karibu na kuwa addressed as appropriate and promptly.

Lengo kubwa ni ili kuleta tija na ufanisi kwa Serikali yetu pendwa chini ya Mh. Rais Samia katika kupeleka huduma bora kwa wananchi.
 
Kama dawa hakuna, MSD wameshindwa kutekekeza hilo jukumu, ninashangaa mshahara tunaolipana hapa MSD hela zinatoka wapi kama sio kwamba tunakula mtaji!!

Kwasababu kila Tsh.1,000,000/= iliyoletwa na Serikali hapa MSD kwaajili ya dawa ya vituo vya afya Tsh. 200,000/= ilikuwa ni margin ya MSD kwaajili ya ku-cover operating costs za taasisi ikiwa ni pamoja mshahara.

Sasa dawa hakuna which means hata usambazaji wa dawa kwenda kwenye vituo vya afya hakuna, sasa hela kwaajili ya uendeshaji zinatoka wapi??, au hela za wateja zinakatwa hata kabla ya dawa zao kununuliwa? au kamtaji kadogo kaliopo kanaliwa??

Hili jambo liangaliwe seriously kabla mambo hayajaharibika zaidi.
 
Wewe tunakufahamu vizuri. Wewe upo kundi la kale kajamaa kalikokuwa MD kakaondolewa na kupepelekwa mahakamani. Tunajua ulikuwa mtu wa manunuzi na mkaiba sana na nduguyo MD aliyeondolewa.

Major general ameingia MSD ameisafisha sana lazima wezi mpige kelele. Mlikuwa mnanua dawa nje kwa bei kubwa, amekuja na soln ya kujenga viwanda ili kudhibiti wizi wenu. Kwa taarifa yako Major General is there to stay na wapigaji wote MSD mtaondolewa.
Inawezekana Mkuu. Maana hii mitandao si kila kinachoandikwa ni sahihi. Japo nafurahia kiwanda kuwapo kwa ndugu zangu wabena hapo Makambako, lakini kwanini iliamuliwa kijengwe Makambako na si sehemu yoyote nyingine Tanzania? Ni swali muhimu.
 
Makambako ipo Tanzania. Itoshe kusema faida ya kiwanda ni kwa watanzania wenzetu.
 
Kama hujui sababu usiseme tu kisa Makambako ni Tanzania, ni sawa na wale wanaotetea Uwanja wa ndege wa Chato kisa tu Chato ni Tanzania.
 
Back
Top Bottom