NSSF - KENYA

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
2,592
4,279
Nilisikiliza mjadala wa NSSF Kenya - LIVE, nikaona kikokotoo chao kina endana endana na vya Nchi za wenzetu...
Fikiria Mfanyakazi wa Kenya hukatwa 5% ya Mshahara na muajiri humchangia 5% kufanya jumla ya michango iwe 10% lakini akistaafu hupata wastani wa pension ya nusu ya Mshahara wake kila mwezi
Hapa kwetu mfanyakazi huchangia 10% na mwajiri 10% kufanya jumla ya 20% (mara mbili ya Kenya); tungetumia kikokotoo kama cha Nchi za wenzetu, wastaafu wangefaidika sana na michango yao pamoja na uwekezaji wa michango yao tofauti na sasa...
 
Nilisikiliza mjadala wa NSSF Kenya nikaona kikokotoo chao kina endana endana na vya Nchi za wenzetu...
Fikiria Mfanyakazi wa Kenya hukatwa 5% ya Mshahara na muajiri humchangia 5% kufanya jumla ya michango iwe 10% lakini akistaafu hupata wastani wa pension ya nusu ya Mshahara wake kila mwezi
Hapa kwetu mfanyakazi huchangia 10% na mwajiri 10% kufanya jumla ya 20% (mara mbili ya Kenya); tungetumia kikokotoo kama cha Nchi za wenzetu, wastaafu wangefaidika sana na michango yao pamoja na uwekezaji wa michango yao tofauti na sasa...
Tanzania ni nchi ya kipuuzi na kipumbavu sana. Huwezi kufananisha upumbavu wa Tanzania na nchi yoyote ile hapa ulimwenguni.
 
Back
Top Bottom