Sikiliza, moja ya sifa ya mwanamke ni wana hisia sana kuliko wanaume.
Nikisema neno hisia linamaana pana sana unapaswa kufikiri kwa kina.
Intuition, beauty, mwanamke ndio chanzo cha uzuri ndani ya nyumba, hata kama ni house girl tu na sio mkeo bado yeye ndio kioo au Mng'ao wa nyumba yako kuu...