Mwajiri wangu amegoma kunisainia fomu yangu ya uzazi kwa ajili ya mafao ya uzazi NSSF

mwenyehekima

Member
Oct 16, 2014
21
11
Naombeni ushauri mwajiri wangu amegoma kunisainia fomu yangu ya uzazi kwa ajili ya mafao ya uzazi Nssf kwa sababu hajapeleka michango yangu kwa muda, naombeni ushauri hatua za kufanya.

Nilienda NSSF wanisaidie wakaniambia nirudi kwa mwajiri, sasa sijapata msaada na muda wa mafao ya uzazi unakaribia kuisha.
 
Nasoma comment mbona siku hizi wanafatilia sana kila mwezi wanawekewa mchango
Sijajua kwa nini hawaja fuatilia shirika letu, tena nilipoenda nssf wameongea mbele yangu kuwa mwajiri wangu ni kimeo (anasumbua,) sasa sijui kwa nini wasimchukulie hatua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom