nssf

NSSF
The National Social Security Fund (NSSF) is the government agency of Tanzania responsible for the collection, safekeeping, responsible investment, and distribution of retirement funds of all employees in all sectors of the Tanzania economy that do not fall under the governmental pension schemes.

The NSSF was founded in 1997 as the successor to the defunct National Provident Fund (NPF).
  1. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania Kwa hii scenario kipi kinachelewesha nisipate mafao ya NSSF?

    Nilifukuzwa kazi mwezi wa 3, mwajiri Wangu alinipa Kila documents,nikafatilia mafao ya kukosa ajira NSSF, baada ya usumbufu wa hapa na pale nilkamilisha mchakato na kuambiwa ntapokea sms ya muamala ndani ya mwezi. Baada ya kama siku 25,bila kuona muamala nilifatilia tena, mtumishi mmoja mama...
  2. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Askofu Ruwaichi: Unajua kuwa NSSF, DCI, DPP na PCCB wanatumia Msimbazi Center kama "Kidnapping Center" ya wadeni wa NSSF tangu jana?

    Askofu Jude Thadeus Ruwaichi, JImbo Kuu la Dar es Salaam kilipo Kituo cha Msimbazi Nchini Tanzania, utekaji haramu ni kosa la jinai chini ya kifungu cha 253 cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 16, Toleo la 2022. Kifungu hiki kinasema kwamba: “Mtu yeyote ambaye anamteka mtu mwingine kinyume...
  3. machala

    JamiiForums Tanzania Mafao yangu siyaoni kwenye akaunti ya benki

    Habari za asubuhi ndugu zangu mimi nachangamoto moja niliandikisha madai ya mafao yangu nssf yanaonesha yameshalipwa siku ya tatu leo lakini bado sioni amaunt kusoma kwenye akaunti yangu ya benki, shida inawezakuwa nini?
  4. machala

    JamiiForums Tanzania Nssf mafao

    Habari za mchana wadau samahani ningependa kujuzwa madai ya mafao ya nssf yakiandika approved claim status ina maana gani na je uwainachukua mda gani mdai kulipwa mafao yake maana claim Status tangu isome approved ni wiki sasa na akaunti inasoma amount 0.00 lakini bado sijalipwa shida inaweza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya kazi NSSF Geita/ niunganishe na unayemfahamu anafanya kazi hapo

    Habari wanajukwaa. Naomba Kama unafanya kazi NSSF Geita njoo PM Kuna kitu ningependa nikuulize, au Kama unamfahamu anayefanya kazi hapo naomba uniunganishe naye. Natanguliza shukrani.
  6. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Kuishitaki kampuni kwa kutokulipa mishahara na kuchangia NSSF

    Habari za muda huu wana JF, Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni mhanga wa kutokulipwa mshahara kwa muda wa miezi 3 sasa na kampuni moja inayojihusisha na utoaji elimu msingi kwa lugha ya Kiingereza, yaani English Medium. Shule hizo ndio kama waanzilishi wa mfumo...
  7. Godi haule

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la riba kwenye mfuko wa hifadhi NSSF

    Kwanini NSSF Wasiweke Mfumo wa Riba Kwenye Michango ya Wanachama Wao? NSSF chini ya sheria yake inamuagiza mwajiri kuwasilisha 20% ya ujira wa kila mfanyakazi wake kila mwezi, ambapo sheria inaeleza mfanyakazi hatakiwi kuchangia zaidi ya 50% ya kiwango hicho. Fedha hizi huwekezwa kwenye...
  8. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Taasisi kama TRA, ualimu, NSSF, Tanroads, TARURA, BOT, n.k wanatakiwa waajiriwe kwa mkataba wa miaka 10 baada ya hapo waajiriwe wengine

    Ukitoa wanaofanya kazi kwenye kada zifuafazo Udaktari Ufundi kama tanesco Walimu wa vyuo vikuu na shule ya msingi Polisi Wanajeshi Hawa wanatakiwa waendelee kuajiriwa kwa mfumo wa sasa kwa sababu umri unavyozidi kwenda ndo wanakua na utaalamu wa juu Walioajiriwa kwenye kada zifuatazo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya bunge yakagua mradi wa nyumba NSSF mtoni kijichi, Kikwete asifu ustahimilivu NSSF

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii wametembelea na kukagua Mradi wa Nyumba za Mtoni Kijichi awamu ya Tatu unaomilikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) leo Machi 16, 2025 Jijini Dar es salaam. Akizungumza Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Fatma Toufiq amesema...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa NSSF: Dhamira ya Serikali ni Kuhakikisha Wananchi Walioajiriwa Wananufaika na Hifadhi ya Jamii

    MKURUGENZI MKUU WA NSSF: DHAMIRA YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA NI KUHAKIKISHA WANANCHI WALIOJIAJIRI WANANUFAIKA NA HIFADHI YA JAMII. Awapongeza wananchi kwa muitikio wa kujiunga na kuchangia ili kujiwekea akiba kwa maisha bora ya sasa na ya baadaye kupitia kampeni ya NSSF Star Mchezo Mkurugenzi...
  11. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Unyonyaji wa sheria ya mifuko ya jamii hasa NSSF kuhusu manufaa ya michango kwa wachangiaji

    Wakuu, NSSF BUNGE la Jamhuri wa muungano wa Tanzania Kama mada ilivyo hapo juu wachangiaji wananung'unika masuala yafuatayo:< 1. Kwanini riba ya mfuko kwa mchangiaji imefanywa kwa asilinia ndogo cha 2% kwa mwaka kiasi ambacho hakisaidii chochote kumnufaisha mchangiaji? 2. Kwanini riba ya...
  12. A.MTALE

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuelimishwa, baada ya kufungua madai NSSF, Total Contributions inasoma Zero, Statement hakuna kitu

    Wakuu habarini!. Naomba kupata ufafanuzi ikiwa status ya madai yangu ya mafao status inasoma PENDING lakni nikiangalia statement salio inasoma 0.00, na Contributions inasoma NO Contributions.
  13. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mwajiri amegoma au kushindwa kukuingizia hela yako ya NSSF na tayari mkataba wako umeshaisha na mmeagana kwa amani nini hasa unabidi kufanya?

    Wakuu , naomba muongozo ni hatua gani sahihi za kuchukua endapo mwajiri hataki kukuwekea pesa yako NSSF na tayari mmeachana vizuri. Umri wa mwajiriwa umeshafika 60 yrs Ila mwajiri hataki kuingiza pesa NSSF?
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Trump atawaumbua NSSF na PSSF

    Maelfu ya watanzania watakaokosa kazi kutokana na Amri ya Rais wa Marekani Donald Trupm, itawaumbua CCM jinsi wanavyoendesha serikali Kwa kutegemea kukopa toka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii. Siku maelefu hayo ya watanzania watakapokwenda kuchukua fedha zao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii...
  15. Milonji

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Naomba TAKUKURU iwachunguze Viongozi na Wafanyakazi wa NSSF Dodoma maana binafsi nahisi Kuna viashiria vya Rushwa

    Wakuu habari za Leo? Naomba kwanza kusema ya kuwa Mimi nilikuwa ni Mwajiriwa wa Kanisa la Anglican Tanzania na nilikuwa nikifanyia Diocese ya Central Tanganyika (DCT) pale Dodoma. Nimefanya nao KAZI kwa muda mrefu takribani Miaka 15+ kwa mkataba mfupi mfupi mpaka pale wao (DCT) walipoamua...
  16. Scaramanga

    JamiiForums Tanzania NSSF rekebisheni daraja la Kigamboni

    Pamoja na kuwa tuna kilio kwa serikali kutuondolea malipo ya kuvuka daraja la Kigamboni, niwapongeze NSSF kwa kujaribu kuweka urataribu wa kulipa malipo ya awali kabla ya huduma ya kuvuka na kuweka njia maalum gate namba 5 litumike. Mwanzo utaratibu huu ulipoanza kiukweli ulileta tija kwa...
  17. Kyamiki

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki(Tanga) walipe madeni ya walimu wa Bangala na Lwandai sekondari

    Uongozi wa Kkkt Dayosisi ya kaskazini mashariki (KKKT-DKMS) wasidhulumu haki za watumishi wa Lwandai sekondari na Bangala seminari n.k Ni miaka kadhaa umepita tangu uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri-DKMs ubadilishwe toka kwenye uongozi wa Dr. Munga kwenda kwa Ask. Dr Mbilu Msafiri, na...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania NSSF Kutekeleza Mradi wa Uwekezaji wa Jengo la Ofisi na Jengo la Kitega Uchumi Dodoma

    NSSF KUTEKELEZA MRADI WA UWEKEZAJI WA JENGO LA OFISI NA JENGO LA KITEGA UCHUMI DODOMA *Ni katika eneo la Njedengwa, kujenga hoteli ya nyota 5 *Mkuu wa Mkoa asema uwekezaji huo utachochea uchumi na utalii Na MWANDISHI WETU, Dodoma. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), unatarajia kufanya...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania NSSF hawajakoma? Baada ya kujenga maghorofa ya Dege Kigamboni, yakadoda, Ubungo Plaza, Hoteli Mwanza, sasa wanajenga hotel ya nyota tano Dodoma.

    Katikati ya tetesi za mapendekezo ya watumishi kustaafu wakiwa na miaka 65 ili kuiokoa mifuko hii ya hifadhi ya jamii., mifuko hii ambayo kimsingi ni mahututi, NSSF wanakuja na hoja ya kujenga hotel ya nyota tano Dodoma. Ni ujinga mwingine.
  20. M

    JamiiForums Tanzania NSSF ituruhusu tulioajiriwa serikalini kuchukua mafao yetu NSSF tuliojiwekea wakati tukifanya kazi private

    Mwanzo ilikua ukimaliza mkataba wako secta binafsi unaruhusiwa kuchukua mafao yako yote. Lakini sasa upo utaratibu ambao nashindwa kujua kwa nini umeletwa. Mimi nilifanikiwa kuweka michango yangu kwa miaka kadhaa nssf wakati nafanya kazi secta binafsi. Baada ya kupata ajira ya serikali nilikua...
Back
Top Bottom