Maisha ya siku hizi yana changamoto nyingi—kazi, biashara, familia, masomo na mipango ya maisha. Kila mtu ana namna yake ya kupambana na msongo.
Tushirikishane uzoefu. Huenda ushauri wako ukawa msaada mkubwa kwa mtu mwingine anayepitia kipindi kigumu.
Weekend ya leo tulivu, nilikuwa naperuzi kwenye magroup ya psychology nimekuta post nzito sana, nimeitafsiri na kuiweka kwenu wadau kwasabababu haya mambo tumekuwa tukiyatafsiri ndivyo sivyo.
Mifano ni mingi, kuna magonjwa na aina ya ulemavu hayana solution hadi sasa kama HIV, majeraha ya uti...
Kila mmoja wetu hupitia nyakati ngumu. Wapo wanaopoteza wapendwa wao, hukatishwa tamaa, husalitiwa, hukosa kazi, hupitia matatizo ya kifamilia au ya kifedha. Wakati huo, kila mtu hutafuta njia yake ya kupata utulivu.
Wengine husali na kumtegemea Mungu. Wengine husoma vitabu, husikiliza muziki...
Hakika leo nimekumbwa na msongo kisa mbu. Nimeamka asubuhi nikakuta mbu ndani ya neti. Kitu cha kushangaza ni kuwa alikua ametuna tumbo mpka kupaa ilikuwa tabu kwake. Yaani kaninyonya damu mpaka basi.
Nimeumia sana kwa kumwona. Na hadi sasa nipo kazini roho inaniuma nikiwaza alipata upenyo upi...
Kama kuna mtu au watu waliopo karibu na Diva The Boss, ningeshauri wawe karibu naye zaidi katika kipindi hiki na wampatie usikivu, ushauri na msaada wa kihisia.
Kutokana na baadhi ya viashiria vinavyoonekana hadharani, kuna dalili zinazoweza kuashiria kuwa anapitia changamoto kubwa za kihisia...
Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar kupitia Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Zanzibar, ilikuwa inafanya Uchunguzi wa Shauri la KUJARIBU KUJINYONGA linalomhusu Raia wa Kigeni ajulikanae kwa jina la ASHLEY JENNAE ROBINSON, Raia wa Marekani, mwenye umri wa miaka 31. Tukio lililotokea tarehe...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna uwezekano Mkubwa sana mtu anayejiita Kaka Yake Humphrey polepole Akawa na Matatizo ya akili pamoja na Msongo Wa Mawazo. Ni mtu ambaye ukimsikiliza vizuri na kwa umakini unabaini wazi kabisa ni mtu ambaye hayupo sawa kichwani na pengine ameelemewa na msongo wa mawazo...
Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamepatiwa mafunzo maalum yanayolenga kuwajengea uwezo wa kutambua, kuepukana na kudhibiti msongo wa mawazo unaotokana na mazingira yao ya kazi pamoja na changamoto za kijamii wanazokutana nazo majumbani.
Mafunzo hayo yamenyika leo...
Habar wana JF natumaini wote wazima poleni pia na majukumu yanayo wakeep busy .
Nilisha wahi kupewa nisimamie mradi wa misitu ya serikali mwaka fulani, lakin kwa bahati mbaya zilidaka moto kwenye heka 150, zilipona heka 40 ambazo ndo zilikua kwenye matazamio ya uzalishaji , na ndo ilikua kama...
Mpaka sasa nahisi dishi langu limeyumba na Chanel hazisomi kabisaa wanawane..
Tangu October 29 na sasa D9 Hadi Leo nimekua nikikesha na kubugia pombe nakunyandua singo mazasi . kwa kifupi nimekua zezeta kama Lucas Mwashambwa .Yaan kila nikiwaza miaka mingine mitano ijayo chini ya mfalme juha na...
Walianza oohh katiba ya chama na nchi vimepuuzwa. Ukiwaambia tuwekee hapa vipengele vya katiba ya chama na nchi vilivyopuuzwa hawana jibu.
Waliposhindwa kushinikiza wajumbe wa CCM wafanye matakwa yao wakaamua kuungana na wapinzani kutaka kumpindua wakiwahamasisha wananchi kuwa polisi wako...
Wakuu leo kwenye pitapita zangu huko nikakutana na video ya Bwana Polepole kipindi hiko akiwa anapambani katiba mpya mwaka 2014.
Wakati akizungumza alisema kuwa wakati wanakusanya maoni ya katiba mpya aliambiwa kuwa Polisi wana shida nyingi sana, hali zao za kimaisha si nzuri sana.
"Polisi...
Yu Donglai, mwanzilishi na mwenyekiti wa kampuni ya Pang Dong Lai, hivi karibuni ametambulisha sera mpya ya kazi anayoita “likizo ya kutokuwa na furaha.”
Kupitia sera hii, wafanyakazi wanapewa uhuru wa kuchukua mapumziko wakati wowote wanapojisikia wamechoka, wamesongwa na mawazo, au...
Habari wanajamiiforum.
Muda huu ninaona ni vyema nitoe dukuduku langu ili nipate msaada na ushauri nasaha
Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo).kipindi hicho nilikuwa mdogo kiasi lakini nilikuwa naona vitendo vya hali ya kunyenyekewa sana
Pale...
Msongo Wa Mawazo ni tatizo kubwa barani Afrika, lakini bado haupewi uzito unaostahili. Watu wengi wanateseka kimya kimya kwa hofu ya kuhukumiwa, wakibeba maumivu ya kiakili yanayoharibu afya zao, familia zao, na maisha yao kwa ujumla.
Jamii zetu zimezoea kuficha mateso ya ndani kwa maneno kama...
Daktari bingwa wa watoto kutoka Hospitali teule ya Kibosho Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro, Magreth Joseph Swai (30) ameripotiwa kujiua kwa kujinyonga kwa kutumia waya wa antena.
Akizungumza kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa...
“Wakati mwingine unafika sehemu maisha yanakuonesha sura yake halisi. Nimekuwa nikipambana kuinusuru biashara yangu bila mafanikio, rasmi nimefilisika Sina Msaada Kwa mtu yoyote, hakuna mtu mbele yangu ambae namtumainia kama Msaada Kwa kipindi hiki.
Nina familia ya mtoto mke na mtoto mmoja...
Mwanajeshi wa Israel Daniel Edri, ambaye alishiriki katika mauaji makubwa ya halaiki huko Gaza na Lebanon, alijikuta katika msongo mkubwa wa mawazo (PTSD).
Kiasi cha kuchukua maamuzi ya kujichoma moto akiwa ndani ya gari lake, ambalo liliungua katika msitu karibu na mji wa Safed uliokaliwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.