Wakuu habari , thread hii nimeanzisha makusudi kwa lengo la kusaidia walimu na wanafunzi wa kidato cha nne ambao wanajiandaa na mtihani wa TAIFA (NECTA).
Here we go!.
Mimi nitatoa hints au vidokezo katika masomo yafuatayo.
Civics
History
English
Kiswahili
Karibu Sana , tuwasaidie vijana...
Mimi ni Kijana wa mwaka 1995 .
Nimeamua kuanzisha Movement inaitwa "Time for Youth"
Lengo la hii movement ni kuondoa mifumo yote ya kitapeli iliyopo Tanzania .
Kisiasa .
Kijamii
Kiuchumi
Ikiwa wewe haujazaliwa mwaka 1995 Ila unataka kushiriki kutoa mawazo yako unakaribishwa.
Ni jambo bora sana kuwapa maua yao watu waliowainua wengine iwe nikwakujua au kutokujua. Wale waliotazamwa kama njia kwa wengine, wale walio washika wwngine mkono wakafanikiwa .
Kazi kwenu wakipita waone umuhimu wao naanza na wachache
1. Mkubwa Fela
2. Naseeb Abdul Diamond
3. Ruge Mutahaba
4...
Hapa ni pale ambapo mambo ya utani sio tu yataonekana bali yataonekana kutendeka. Watanzania wanatumia utani katika kufanikisha na kurahisisha maisha yao, kufikisha ujumbe mzito kule unakotakiwa ufike hata kama uwe mbaya, waaibu au wahatari kiasi gani. Uko utani wa makabila, kisiasa na michezo...
Part 1:
Hawa boda boda nilikuwa nawachukulia poa sana ila kuna siku jamaa alifanya jambo positive sana kwangu nikaona kumbe zile speed zao muda mwingine wanawahi kusave maisha ya watu.
Jamaa nilimuagiza apeleke dawa sehemu ambayo najua kwa gari huwa natumia 1hr na ikiwa public hata masaa 3...
Habari zenu,
Tumekuwa tukijadiliana sana kuhusu mchezo wa mpira na tumesahau kuwa binadamu ili uwe na afya njema yakupasa kufanya mazoezi kila siku bila kuchoka. Sasa nimeona nilete huu uzi kwa ajili ya watu wapenda mazoezi wote.
Hii kwetu sisi watanzania sio kawaida na ni kama tunadharau hili...
Katika uhalisia wale wote walio masingle wamekuwa na upweke sana kwenye jamii hata hivyo ni kundi kubwa lenye mchango mkubwa kwenye jamii katika nyanja mbalimbali.
Kwa kutambua uwepo wao na mchango wao mkubwa katika jamii huu ni Uzi maalum kwa wale wote walio masingle hawajaowa wala kuolewa...
Salaaam...
Tupo katika kipindi ambacho Waislamu na Wakristo kwa pamoja tupo katika mfungo.
Hata hivyo ndani ya kipindi hiki, si wote tutafunga/ tunafunga na hii ni kutokana na sababu mbalimbali aidha kiafya na nyinginezo ambazo hazitaruhusu uwe katika mfungo.
Uzi huu ni maalumu kwa wale...
Tupia picha ikionesha watu,wanyama au chochote katika Hali ya upendo
Ni eidha upendo wa baba na mAma,baba na mtoto,mamaa na mtoto,familia,jamii au popote pale
Tupia picha yeyote inayoonesha ukichakalika kazini iwe mgodini,dukani,sokoni,ukichunga mifugo,au popote pale karibunipicha: shamba la tumbaku katika moja ya kata mkoani tabora
Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa
Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo
Yemen tayari keshaandaa wanajeshi laki 4
Iraq kuna wanajeshi laki 2 na nusu
Hezbollah wapo zaidi laki...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Karibuni tupeane
Raila Odinga:
"Young people now begin the day checking the phone battery and data bundles. Something to wear, something to eat and a place to sleep come much later. Battery, bundles and the phone are the new basic needs"...
Wadau hamjamboni nyote?
Mimi binafsi kwa kuongozwa na roho wa Bwana naanza kwa kuwaomba radhi wote niliowakosea mwaka huu 2024
Niwatakie siku njema wapendwa wangu
Kutokana na uzi wa mkuu Nikifa MkeWangu Asiolewe nimevutiwa kuanzisha hii maada ili watu wengine wajifunze kwenye hii maada kua watu wanapambana usiku na mchana,
Upambanaji upo na watu wanapambana kufa na kupona ili waondokane na umaskini,
Kwenye upambanaji kuna mambo mengi Sana masaibu...
Ndugu watanzania kupitia Uzi huu nitakuwa Kila siku Alfajiri ninatuma mstari maalumu wa maombi Kwa wale waombaji wa asubuhi. Ufunguapo Uzi huu kuanzia saa nane kamili usiku utakutana na maneno yatakayokuongoza na kuchochea nguvu ya maombi.
MSTARI WA KUSIMAMIA
Zaburi 90:14 "...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.