urafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. L

  Kama nchi inakuthamini, urafiki unakuwa wa kudumu

  Na Fadhili Mpunji Niliposoma maoni ya Rais Xi Jinping kwenye barua aliyoiandika tarehe 14 Septemba kukumbuka mchango wa Bw. Edgar Snow, Bw. Shafick George Hatem, Bw. Louis Eli, na Bw. Israel Epstein nilifarijika sana. Kilichonifanya nifarijike ni kwamba bila kujali wewe ni nani, uliotoa mchango...
 2. L

  Marekani yathibitisha tena kwamba maslahi yake ni ya maana zaidi ya urafiki

  Hivi karibuni, Marekani, Uingereza na Australia, chini ya uongozi wa Marekani, zilitangaza kuanzisha ushirikiano mpya wa usalama wa pande tatu, huku lengo kuu likiwa ni kuisaidia Australia kuanzisha vikosi vya nyambizi za kinyuklia. Australia ikavunja makubaliano yake na Ufaransa kuhusu kununua...
 3. S

  Rais Samia kwenda Zambia na Kikosi cha Viongozi wa CCM ni mkakati wa kujenga Urafiki na kilichokuwa chama Pinzani?

  Rais Samia kwenda Zambia na Kikosi cha Viongozi mbalimbali wa CCM Je, ni mkakati wa kujenga Urafiki na kilichokuwa chama Pinzani? Leo Rais Samia anatarajia kuondoka nchini kuelekea nchini Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa nchi hiyo Hakainde Hichilema , miaka yote tumezoa Rais...
 4. S

  Rais Samia kuwa makini na Rais Paul Kagame

  Majira haya ya asubuhi hii Rais Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK), nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK...
 5. T

  Story of Change Simu imekuwa kama Nyoka kwenye Mahusiano, Mapenzi na Urafiki. Sumu yake ni hatari sana

  Wana JF, salaam nyingi. SUMU YA SIMU NA SUMU YA NYOKA: “Naongea na simu”. Siku hizi simu zinatoa sumu kali sana, hadi kuua zinaua. Hebu tulia kidogo, kisha fananisha kidogo simu yako na nyoka. Vipi, simu yako mara ya mwisho kutoa sumu ni lini? Nyoka asipotoa sumu hana madhara, lakini akitoa...
 6. R

  Urafiki kati ya Jinsia Tofauti

  🔏 Urafiki unawezekana bila ngono? Naomba kuyaweka mezani Maswali Haya: Je, rafiki ni nani? Ili mtu awe rafiki yako mambo gani ni ya msingi kutimia? Je, rafiki wa jinsia iliyop tofauti na yako ana tofauti gani na rafiki wa jinsia yako? Je, kuna uwezekano wowote wa kuwa na urafiki na mtu wa...
 7. Juandeglo

  Urafiki katika maisha yetu

  Hello friends. Leo katika story na sista wangu, nikagundua kuna shida ya mahusiano yabkirafiki inayopata wengi. Akanieleza jinsi ambavyo amekuwa hana bahati ya marafiki wa kweli, kqamba kila rafiki wa kike anayempata wanakuwa masnitch, wanafiki, wana wivu and all the like. Akanieleza jinsi...
 8. The Garang

  Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

  Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee. Wakuu imepita takribani miezi kadhaa hivi tangu ni fahamiane na huyu dada, nikiri kwa hii hali iliyofikia mie ndiye wa kulaumiwa. Ilikuwa majira ya jioni nimetoka pindi nikechoka nikaona sio mbaya nitafute mtu stranger nipige naye story nimzingue...
 9. Mchochezi

  Hivi ilikuaje hadi urafiki wa baba na jirani yake tolu kuvunjika?

  Wakati wa uhai wake, marehemu baba aliwahi kuwa na urafiki na majirani zake, mmoja wapo ni tolu. Hata pale baba alipopata uongozi wa kijiji ushauri mwingi aliutoa kwa jirani tolu. lakini katika siku za mwisho za uhai wake hapa duniani, baba alikosana mno na jirani yake tolu, wakawa hata...
 10. Infantry Soldier

  Unataka urafiki wenu uendelee kudumu? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako

  Good afternoon JamiiForums. Je, unataka urafiki wenu uendelee kudumu miaka na miaka? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako. Usifikiri mkijenga majirani ndio mtadumisha urafiki wenu mkuu. Hapana kwa sababu kuu moja kwamba, wewe na yeye mnaweza kuwa "best friends" lakini wake...
 11. J

  CCM yatangaza kuachana na siasa za kibabe na kurudi kwenye siasa zake za asili za Upendo na Urafiki mwema!

  Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amesema CCM haitajiingiza katika siasa za kibabe na visasi bali itajikita kwenye siasa zake za asili zilizosheheni Upendo na Urafiki. Huu ni mwanzo mzuri sana kwa sekretarieti mpya ya CCM na vyama makini vya upinzani ikiwemo ACT wazalendo wamepongeza. Kazi...
 12. CONTROLA

  Tengeneza Urafiki na watu wanaofanya biashara unayoifanya au utakayotaka kuifanya "utafanikiwa"

  Kufanya biashara kila mtu anaweza ila shida inakuja kwenye kudumu katika biashara mtu anayofanya na si tu kudumu ila kufanikiwa katika biashara aliyodumu akiifanya. Watu wengi ni wafanyabiashara ila ni wale watu shika hiki acha shika kile acha (mapepe) kuna mtu anafungua biashara ila hana...
 13. Kansigo

  Urafiki na Rwanda vs Urafiki na Kenya upi una Manufaa Kwa Tanzania?

  Kumekuwa na maneno na hofu kutoka kwa baadhi ya Watanzania hasa baada ya Raisi Samia kufanya juhudi za kuurejesha tena uhusiano na Kenya ambao ulidhoofika sana awamu ya Tano. Awamu ya Tano iliona Ni muhimu zaidi kuikumbatia Rwanda ya Kagame kuliko Kenya. Ikafikia wanyarwanda hadi wanakuwa...
 14. Ncha Kali

  Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke

  Tuliweke sawa hili. Mimi nasema HAKUNA urafiki wa namna hiyo. Ukisikia mwanamke anasema ana marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike, ujue kuna namna anawatumia hao wanaume. Ananufaika big time. Na wanaume sio wajinga, katika huo urafiki hata ikiwa mwanamke ameolewa au ana bwan’ake ujue wapo...
 15. Mboka man

  Hivi unawezaje kujenga urafiki na Ex wako aliyekuacha kwa maumivu makali?

  Kuna wakati nakosa majibu lakini pia kuna wakati kuna huwa ninawashangaa unakuta mtu kaachwa lakini bado analazimisha urafiki Ex wake ambaye amemuumiza na kumkosesha raha lakini bado anamfuatilia. Inafika wakati Ex wake anampiga mizinga hatari halafu anachokipata anahonga mpenzi wake mpya...
Top Bottom