msongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. haszu

    Mitandao ya kijamii inaweza fanya mtu ukawa na msongo wa mawazo.

    Wakati nawaza mshahara upaongezeka kidogo japo ufike laki 9 au milini 1, nakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, 🙌🙌 Wakati naitafita miaka 35, sojawahi miliki gari chombo cha moto, kuna jamaa anasema kaagiza gari yake ya kwanza akiwa na miaka 22. Kuna jamaa...
  2. R

    Madereva wa Mwendokasi wengi wana msongo wa mawazo. Waziri kaa na hawa watu uwasikilize itapunguza kuharibu magari

    JPM alipoona Mwendokasi Madereva wanadai maslahi alikwenda kuchukua vijana serikalini na JKT akawapa kazi za ulinzi, kukata tiketi,ufundi na udereva. Walioletwa kwa sababu wanawekwa bila sifa wameendelea kujifunza kazi taratibu lakini wakiwa na msongo mkubwa wa mawazo kuhusu lini watapata...
  3. KikulachoChako

    Msongo wa mawazo unaoletwa na misukumo ya fikra kwenye jamii zinazotuzunguka

    Habari za mida hii ndugu jamaa na marafiki. Sote tunaishi kwenye jamii...jamii ambayo imejaa watu wenye mitazamo, maoni na utashi tofauti tofauti. Katika ya jamii hiyo ambayo tupo kunazaliwa viwango vya kimaisha na vigezo mbali mbali kwa mitazamo yao na kufanywa kuwa ndio vipimo na matarajio...
  4. X

    UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

    Najua wengi wenu mlikuwa mna ndoto za kuolewa na wanaume wenye mali, matajiri na handsome men. Lakini sasa huenda mmeishia kuwa single maza na umri umesonga mmekuwa wasimbe (27+) au mishangazi Kumekuwa na ongezeko la single maza wenye 30+ humu jf wanaotafuta waume kwenye love connect huu ni...
  5. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Miaka michache ijayo Tanzania itaenda kuwa na watu wenye msongo mkali wa mawazo kutokana na madeni

    Ili kuwepo na ustawi ni lazima nchi ikuze hali ya uchumi wa watu wake. Purchasing power lazima iongezeke. Kinyume na hapo ni stress na madeni. Leo kuna viwanja vinauzwa kwa mkopo, kuna wafanyabiashara wanakopesha zana za ujenzi kwa riba, kuna magari ya mkopo na hamna kipato cha uhakika...
  6. Boss la DP World

    Polisi wengi wanatengwa na Jamii na kuishi kwa msongo mawazo

    Utafiti wangu mdogo umebaini Watanzania wengi hawana urafiki na polisi, yaani ule urafiki kama wa mtu na mshkaji wake, mfano kupigiana simu kujuliana hali, kutembeleana, kubadilishana mawazo, kushirikiana katika biashara na kupeana michongo. Mapolisi wengi wanakuwa na urafiki wao kwa wao na...
  7. BARD AI

    Utafiti: Kazi 8 zinazoongoza kwa kuchochea Msongo wa Mawazo

    Kazi zenye msongo wa mawazo zinaweza kutofautiana kulingana na mazingira ya kazi, utamaduni na hali ya uchumi katika maeneo tofauti barani Afrika. Hata hivyo, kuna kazi kadhaa ambazo zinaweza kuwa na uwezekano mkubwa wa kusababisha msongo wa mawazo kutokana na shinikizo la kazi au mazingira...
  8. GoJeVa

    SoC03 Tiba ya msongo wa mawazo

    TIBA YA MSONGO WA MAWAZO. Utangulizi. Msongo wa mawazo ni hali ya mtu kuzongwa na mawazo hasi ambayo mara nyingi hupelekea matokeo mabaya Kwa muhusika hasa pale asiposaidiwa au asipojisaidia kutoka kwenye changamoto hiyo. Tatizo hili limekuwa ni jambo mtambuka Kwa kizazi chetu, na hii...
  9. jastertz

    Kwanini vizazi vya kati ya mwaka 1980 na 2000 wanajulikana kama Kizazi cha Msongo wa Mawazo?

    Ni mambo gani ambayo yamechangia hilo? Kwanza kabisa, hebu tuanze kwa kufafanua zaidi tatizo kubwa katika msongo wa mawazo. Hii inajidhihirisha kama dalili fulani, ambazo tunaweza kuangazia kama unapokuwa na msongo wa mawazo sehemu kubwa ya siku, kupungua kwa shauku katika shughuli ambazo hapo...
  10. MK254

    Dawa za kuongeza nguvu za kiume zakua dili Urusi, wanaume wana msongo balaa

    Maisha yanazidi kuwa magumu Urusi, jameni Putin ameliingiza taifa pabaya.. Putin's invasion of Ukraine IS a flop: Erectile dysfunction pill sales surge in Russia – with young men of conscription age suffering extreme stress Russian spending on erectile dysfunction drugs surged 75 per cent...
  11. D

    Hawa ndio Wanaume watatu wenye msongo wa mawazo Tanzania kwa sasa

    Hawa wote chazo Cha stress zao kinafana. Haji na Mkewe Harmonise na Mkewe (mchumba) Mwaka na Mkewe #Ishini nao kwa akili.
  12. BARD AI

    Maana ya Msongo wa Mawazo (Sonona) na jinsi ya kukabiliana nao

    Maana ya Msongo wa Mawazo (Sonona) Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku. Mtu hupata msongo wa mawazo pale anaposhindwa au kukosa namna ya kukabiliana na jambo linalomsumbua...
  13. JanguKamaJangu

    Utafiti: Kusikiliza muziki kunapunguza msongo wa mawazo

    Utafiti wa Chuo Kikuu cha Vienna umeonesha kuwa mziki unaweza kumrudisha mtu katika hali ya furaha au kawaida pindi anaposikiliza muziki mzuri au wenye kusisitiza furaha wakati wa msongo wa mawazo. Utafiti huo ulifanyika wakati watu wengi walipotakiwa kukaa ndani kutokana na maambukizi ya...
  14. Gwappo Mwakatobe

    Uponyaji wa Msongo wa Mawazo na Upweke au Kukata Tamaa

    Natoa ushauri kwa mtu yeyote aliye katika hali ya kupitia machungu (bitterness), kutelekezwa au kukataliwa (rejection), msongo wa mawazo (stress) au mfadhaiko/upweke (depression), aanze kufanya au kufikiria lolote lililo zuri, lolote lililo safi, lolote lenye haki, lolote lenye staha, lolote...
  15. MK254

    Putin ajisahau na amuwakia waziri hadharani, jamaa ana msongo sana

    Mzee wa watu keshachanganyikiwa, kama amepagawa vile... For several minutes he accused Denis Manturov of bureaucratic delays in ordering civilian and military planes. "Too long, it is taking too long," said the Russian leader, who has never been one to hold back in criticising top officials in...
Back
Top Bottom