kherson

Kherson (Ukrainian: Херсо́н, pronounced [xerˈsɔn] (listen); Russian: [xʲɪrˈson]) is the administrative centre of Kherson Oblast in the south of Ukraine, and it is a major economic centre. Kherson is an important port on the Black Sea and on the Dnipro River, and the home of a major ship-building industry. It is the centre of Kherson Raion and hosts the administration of Kherson urban hromada, one of the hromadas of Ukraine.Since March 2022, the city has been occupied by Russian forces during its invasion of the country as part of the Kherson military–civilian administration. As of 2021, it had a population of 283,649 (2021 est.) The great majority, according the last (2001) census, were ethnically Ukrainian. The Ukrainian authorities estimate that since the invasion 45% of inhabitants have fled the city.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Jinsi Bakhmut na Kherson zinavyo andaa mashambulizi yajayo (counteroffensives) ya Ukraine

    Msimu huu wa kiangazi, kuna harufu ya counteroffensive inanukia nchini Ukraine, kwani matukio yanayotokea Kherson na Bakhmut yanatazamiwa kusambaa kote nchini na kuunda mkondo wa mashambulizi yajayo. Kama wewe ni mwanajeshi wa jeshi la Urusi na unataka kusalimu amri kwa jeshi la Ukraine...
  2. Shujaa Mwendazake

    Baada ya kuonjeshwa dozi, Ukraine nayo imeanza kuondoa watu huko Kherson

    Baada ya kuonjeshwa dozi kidogo tu Waukraine wamenza kuondoa watu huko Kherson, Russia ilisema mazingira ya mji mdogo wa Kherson si mazuri katika mazingira ya kupigana makombora. Tactical withdrawal ilikuwa muhimu sana...!! Soma: Watu wanaweza pia kuhamishwa kwa mabasi kwenda Odessa, Nikolayev...
  3. MK254

    Machozi ya furaha na mikumbatio Kherson bada ya huduma ya treni ya kuunga Kyev kurejeshwa

    Urusi walipopiga mabomu na kuteka mji wa Kherson, walisema wameukomboa, ila baada ya wazalendo wa Ukraine kutembeza kichapo cha kuwaondoa, wananchi wamepokea na furaha sana maana ndio ukombozi haswa.. Tears as first Kyiv train arrives in freed Kherson Tears as first Kyiv train arrives in freed...
  4. MK254

    Kuna mliotuaminisha kwa Urusi kukimbia Kherson ni mtego, haya Rais Zelensky afanya ziara Kherson

    Haya tuone kama rais atanasa kwenye mtego wenu, mlisema Urusi ametoroka ili kuwavuta Ukraina waingie kichwa kichwa kwenye mtego, fanyeni sasa. Nakumbuka hata wakati Warusi wanaikimbia Kyev mlisema ni mtego fulani hivi...hii mitego lini itanasa, maana kila Mrusi akitoroka sehemu mnasema mtego...
  5. M

    Zelensky anafurahia majeshi yake kuingia Kherson: Ukweli ni kwamba hawajaukomboa lakini Urusi imeamua kuuachia

    Rais Zelensky wa UKraine na mataifa ya magharibi kwa ujumla wanashangilia sana majeshi ya ukraine kuingia kwenye mji wa kherson wakidai wameukomboa. Lakini ukweli ni kwamba hawajaukomboa ila majeshi ya urusi yalitangaza kitambo kuwa yatauachia mji huo. Kwanza Ukraine wal;ikuwa hawaamini kama...
  6. Webabu

    Jeshi la Ukraine lawafutia vibali baadhi ya wanahabari wa vyombo vya magharibi kuripoti kutokea Kherson

    Waandishi wa habari wa CNN NA SKynews wamevuliwa wadhifa kwa kuripoti kutokea mji wa Kherson unaotajwa kukombolewa na Ukraine. Ukiacha waandishi hao mashirika mengi mengine ya Ukraine na nchi za nje yamewakemea waandishi wao kwa kosa hilo hilo. Kisingizio kilichotolewa na mashirika hayo ni...
  7. Messenger RNA

    Kwa shangwe hili la Kherson hapana

    Nahisi waliopiga kura kujiunga na urusi ni mamluki wale 70000 waliohamishwa kwenda urusi maana sasa shangwe kila kona kushangilia ushindi wa kutwaa tena kherson kutoka mikononi mwa wavamizi.
  8. crankshaft

    Majeshi ya Urusi yaukimbia mji wa kherson.

    Wizara ya ulinzi ya urusi imesema majeshi yake yanajiondoa katika mji huo ili kupunguza madhara kwa vikosi vyake na kuokoa maisha ya raia wake. urusi iliuchukua mji huo kutoka ukraine kupitia kura ya maoni mwezi uliopita ya kujitenga na ukraine. ukiani haiitambui kura hiyo na imesema itatumia...
  9. M

    Mji wa KHERSON umekumbwa na giza totoro

    Mji wa KHERSON ambao Ni miongoni mwa majimbo 4 yaliyonyakuliwa na Urusi umekumbwa na mashambulizi makali ya Maroketi kutoka kwa wanajeshi wa Ukraine. Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Njia tatu za usafirishaji umeme na maji na kusababisha mji huo kukosa umeme na maji. Hayo yanajiri huku...
  10. eliakeem

    Kichapo kikali chatarajiwa Kherson mji mashuhuri Kusini mwa Ukraine

    Afisa mmoja mwandamizi wa Ukraine amesema Urusi inajiandaa kwa "mojawapo ya mapambano makali" katika eneo la kimkakati la Kherson lililoko kusini mwa Ukraine. Haya yanafanyika wakati ambapo Urusi inajiandaa kuutetea mji mkubwa ulio chini ya udhibiti wake nchini humo. Wanajeshi wa Urusi...
  11. MK254

    Urusi yaendelea kuondoa maafisa wa kijeshi Kherson na kuacha makapuku wanywa gongo wajifie

    Ili kuepuka kupoteza maafisa wa kijeshi kwa moto unaokuja wa wazalendo wa Ukraine, imeamua kuwaondoa na kuacha wanywa gongo waliosaili juzi wajifie ili watumike kuchelewesha mapigo ya Ukraine...... Russian military officers have withdrawn from Kherson as Moscow prepares for a Ukrainian...
  12. MK254

    Warusi waikimbia ngome nyingine kaskazini kwa Kherson, kama kawa Ukraine waendeleza kipigo

    Hakuna kuachia, moto ni ule ule.... Ukrainian troops have broken through Russian positions on the Dnieper river north-east of Kherson, a strategic Russian-held city in southern Ukraine. The advance was reported by the Russian military and Russian-installed officials in the region. There is...
  13. G'taxi

    Rais Vladmir Putin asaini kuichukua rasmi mikoa minne ya Ukraine kuwa sehemu ya Urusi

    Muda huu Putin ana-sign kuzikalia mikoa minne iliyo ndani ya Ukraine. Hii inaonyesha wazi Russia ni taifa lenye nguvu sana dhidi ya watu wa ugaibuni, wangekua waafrika au waarabu, America ingesha wachakaza vibaya. Putin ni mwenye uwezo mkubwa wasiouweza ama utakao wasumbua sana. ===========...
  14. MK254

    Ukraine wasimika bendera yao Kherson baada ya kutembeza kichapo cha HIMARS

    Jameni Ukraine wanapambana na kunifurahisha hadi naumwa, kainchi kadogo saizi ya mkoa wa Urusi ila wanajituma kama mchwa, wamekubali kujitoa mhanga ili wakomboe ardhi yao kwa ajili ya vizazi vya kesho. Habari zimfikie Putin popote alipo kwamba hata akiua mamilioni ya wa-Ukraine, lazima wafike...
  15. MK254

    Harakati za kuikomboa Kherson, Urusi wapoteza vifaru vingine 25 na magari 37

    Himars kwa kwenda mbele, On Saturday, the Ukrainian armed forces said on its Facebook page that Russia had lost an additional 25 tanks, taking the total number of such vehicles reportedly destroyed since the start of the full-scale invasion on February 24 to 2,034. In its daily update, Ukraine...
  16. MK254

    Urusi amepoteza vifaru 23 na helikopta kwa vita vya siku moja kwenye kuukomboa mji wa Kherson

    Na humo wameuawa kweli kweli pamoja na zana zingine lukuki, ni mwendo wa mbele kwa mbele, Ukraine wanajitoa mhanga vizazi vya kesho vitaendeleza jamii ila lazima wakomboe ardhi yao.... HIMARS zinarindima balaa. Mrusi anajutia kishenzi, hajui pakutokea maana wanajeshi wenyewe wa Urusi hawana...
  17. MK254

    Msongo wa mawazo, Mwanajeshi Mrusi auwa maafisa wa FSB kule Kherson, kisa ulevi

    Hali inazidi kuwa balaa, Kherson kunawaka moto, Warusi wameingiwa na msongo wa mawazo hawajui wanachopigania kwenye nchi ya watu, huyu kalewa mipombe na kufanya yake kwa wenzake...... A Russian soldier shot dead two FSB officers in occupied Kherson after he was caught swigging alcohol while in...
  18. mtarimbo

    Kherson imegeuka kuzimu

    Moto unaowaka Kherson siyo mdogo, yaan sijui watu wanapataje data za waliokufa ,na vifaa vilivyoaribika. Mahojiano yalifanywa kwa wanajeshi 7 wa Ukraine ambao walipata majeraha na wako katika uangaliz wa kiafya. Mambo waliyofichua ni mazito, wanadai kiukweli hali ya vita Kherson ni kama...
  19. MK254

    Picha: Makao makuu ya Urusi yalipuliwa kwenye operesheni ya kuirejesha Kherson

    Urusi baada ya kuteka mji wa Kherson, walipata jeuri hadi ya kusimika makao makuu na kujichimbia, sasa kibao kimegeuzwa, operesheni fagia fagia na kufyatua, Ukraine wanakomboa ardhi ya mababu zao..... makombora ya HIMARS yanachana anga. AUkrainian strike in occupied Kherson on Tuesday morning...
  20. MK254

    Operesheni ya kurejesha mji wa Kherson yazaa matunda, Warusi 82 wauawa na zana kulipuliwa

    Kibao kimegeuzwa, Mrusi aanza kupokea mapigo kwenye nchi aliyokua anajaribu kuparamia....mbele kwa mbele...hongereni Ukraine, hata kama mtauawa ila ni nchi yenu, taifa lenu, ardhi yenu, bendera yenu....vizazi vijavyo vitasoma kwenye historia namna mashujaa mlipambana na kumfukuza...
Back
Top Bottom