Kaa is a fictional character from The Jungle Book stories written by Rudyard Kipling. He is a giant snake.
In the books, Kaa is an ally of main protagonist Mowgli, acting as a friend and trusted mentor figure alongside Bagheera and Baloo. However, screen adaptations of The Jungle Book usually portray him as a secondary antagonist who attempts to eat Mowgli.
Kuna very reliable trusted sources viungani ubalozi Sweden. Ni vijana wangu wana ni brief kila mara maswala sensitive ya taifa le kuwa Kitila Mkumbo akae standby.
Ikumbukwe Kitila ndo alikuwaga choice ya mama lakini Yuda akalazimishwa.
Bado nasubiri updates zingine kutoka kwa vijana wangu...
Kampuni ya apple imeamua kuja na iphone 18 promax.
iPhonee 18 Pro Maxx ndiyo simu ya kisasa zaidi ya Apple, naam ya kisasa haswa inayotarajiwa kutangazwa rasmi kwenye Apple Event mnamo Tarehe 8 au 9 Septemba, 2026, na kuanza kuuzwa madukani katikati au mwishoni mwa mwezi huo wa Septemba...
Ni lini machozi ya mwanaume yaliwahi kuthaminiwa?
Ni mwanaume gani anahisi au anawaza kuwa tegemezi?
Hivi unajua ,unathaminiwa na kuhurumiwa ukiwa mtoto tu,lakini baada ya hapo lazima ustruggle?
Hivi mnajua mwanaume hupaswi kudeka,kuringa wala kutaka kuonewa huruma?
Iko...
Daa hii nchi Toka MO29, sidhani kama itakuwa sawa. Kate Ferdnand ni mke wa mchezaji Ferdinand ambae Yuko Tanzania Kwa mwaliko wa Makonda.
Mwanadada huyo kwenye post zake za Instagram uwa anapata comments kama 20-50, Cha kushangaza ndani ya siku mbili amekutana na moto wa Gen Z, walio comment...
Biashara ni upambanaji, ukilala na biashara nayo inalala.
Ila kwa mwajiriwa, ata akilala mwisho wa mwezi utasoma.
Usitegemee mtu aliyeajiriwa akupe ushauri chanya kwa kitu ambacho yeye kimemshinda kufanya.
Jenga urafiki na wafanya biashara wenzako, hawa walioajiriwa watakupoteza; wanakauli...
The modernization of Jomo Kenyatta International Airport has taken a major step forward after the Kenya Airports Authority (KAA) conducted a comprehensive pre-bid site visit for prospective investors.
The exercise, held on April 9, brought together bidders interested in the design, development...
Hadithi ya Mtakatifu Francis Xavier na Kaa
Mnamo mwaka 1546, Mtakatifu Francis Xavier alikuwa akisafiri kwa njia ya bahari kuelekea Malacca (katika Malaysia ya leo). Safari iliyoanza kwa utulivu ilibadilika ghafla na kuwa ya kutisha. Mawingu meusi yalitanda, upepo ukavuma kwa nguvu, na mawimbi...
Wahenga walisema, vita vya panzi, ni furaha kwa kunguru, ama vita vya kuku ni furaha kwa mwewe alie karibu!
Hii ni misemo ya wahenga,
Sote tunakumbuka yaliyotokea October 29 hadi dec 2...ile lockdown ya siku takribani 3-4 hivi ilivyogeuzwa fursa!
Wagagagigikoko waliigeuza ile kuwa Fursa...
"Watanzania wote heri ya miaka 64 ya uhuru, uhuru wetu ndo maisha yetu. Watanzania siku hii ya uhuru tutafakari safari yetu, tutafakari nchi yetu, tuilinde nchi yetu. Kataa kushiriki matendo ya kuvunja sheria, matendo ya uvunjifu wa amani, sisi ni watanzania. Tanzania kisiwa cha amani kuna faida...
Tahadhari kabla ya hatari
Ukishaonja damu mara moja, huwezi kuacha, inakua kiu ya kila siku
Hamu ya damu waliyokunywa itabaki milele, na ikifika muda wakakosa na kiu ikabana watakunya kwako au kwa watoto wako.
Chukua tahadhari kabla ya hatari
Walahi miye sijui hehee. Gwajima nilipokea shukrani zako miye sina baya wanijua. Walahi usingehama pale wangekukula kichwa.
Leo nimepita mule Tengeru mayii wanahaha. Wapagawa vile vibaya. Kesho tuwe Babati bro. Wajua nafulahi mini. Kesho desemba. Nye nye nye poti wakagua id Kila road. Usitoke...
Kwenye biashara na uwekezaji skill pekee ambayo ni muhimu kuliko zote ni 'The art of deal making'
Na mtanzania pekee ambae naona anafaa kuwa rolemodel wa wengine kwenye hilo si mwingine bali ni Rostam Aziz.
Sasa wewe kijana au mzee mfanyabiashara au mwekezaji endeleza ushabiki wa kisiasa...
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki
4. Wezi wanakoficha pesa
5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini
6...
Wakuu,
Naona Padre anagussa mule mule " Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya, kuna watu wema waliotulia tu, wanajihisi na kujidhani wamekaa kwa amani".
Ni wakati wa Watanzania kutambua ukimya si suluhisho kwa maovu yanayoendelea nchini.
Imeshakuwa kawaida sana kuona status za wanawake wa kilokole wakimweka mhungaji wao na kumuandika "DADDY" yani BABA YANGU.
Wachungaji wa kilokole ni hawa wanaosifika kwa miujiza ya Gesi, Keki za Upako, kufufa maiti, n.k. ukishaona mwanamke wako kakamatwa masikio na aina hii ya wachungaji...
Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.”
Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
Huyu Ndugu Byabato , anavyosema anaweka Mbunge anayemtaka anakuwa anamaanisha nini?
Je ikiwa yeye hakuwa Mgombea alipata kiburi wapi cha kusema Mimi "Naweka Mbunge ninayemtaka"
Naomba Ccm Kagera na Ccm TAIFA wafatilie hili Swala .
Ashraf Hakimi , mchezaji wa timu ya PSG ya Ufaransa, unaweza kusema ni Mungu anampenda, pia maombi ya mama yake yanamsaidia.
Kwa mara nyingine mwamba amenusurika kufanyiwa umafia na mpenzi wake mpya baada ya chat za mwanamke huyo alizokua anachat na group lake la wadada wanaowafanyia uhalifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.