msongo wa mawazo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Nimetoswa hadi na Marry! Nina msongo wa mawazo jamani mkiona nacomment ujinga kwenye nyuzi zenu nisameheni tu ni POMBE.

    Ninamzigo wa mawazo ambao haupimiki kama mnavoniona. Mimi na pombe pombe na mimi. Nimekuwa mtu wa kudance popote ninapokuta sebene. Suti zangu hazinipendezi tena kama zamani Nikiona watu na wapenzi wao roho inaniuma hata kama hayanihusu. Hali yangu imefikia huku sasa. Nisiwasumbue...
  2. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Msongo Wa Mawazo: Athari za msongo wa mawazo kwa mwanamke

    Msongo Wa Mawazo Ni Nini? Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku. Kwa kawaida mtu hupata msongo wa mawazo pale anaposhindwa au kukosa namna ya kukabiliana na jambo linalomsumbua...
  3. Prayallthetime

    JamiiForums Tanzania Vijana Tuzitunze Afya Zetu Maana Ndiyo Mtaji Wetu , Nimejawa Na Msongo Wa Mawazo Mwenzenu

    Poleni na majukumu ndugu zanguni . Ni siku nyingine tena tunakaribia kuifunga Mwenyezi Mungu ametujalia kwa tuliobahatika kuiona na tunapoelekea kuifunga . Mimi ni kijana umri wangu miaka 30 , mpaka sasa nina watoto 02 kila mtoto na mama yake , mtoto kwanza ilikuwa enzi za ujana wangu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maudhi ya watu ukiwa unayapa uzito utakuwa mtu wa msongo wa mawazo kila saa!

    Ulivyo wewe sivyo alivyo mwingine hivyo mtihani wa kwanza wa kupambana nao ni jinsi ya kuishi na watu bila wao kukuharibia siku yako. Huu ni mtihani kwako kwa sababu wewe ndio unatakiwa ujifunze kuishi nao na sio wao wajifunze kuishi na wewe hivyo hawana habari utaumia au la ila wataishi vile...
  5. Chuo Cha Tafakari

    JamiiForums Tanzania Safari ya Akili Huru: Tafakuri ya Maisha, Fikra na Uhuru wa Ndani

    SAFARI YA AKILI HURU: Mwaliko wa Kufikiri kwa Uhuru Na: Mwandishi Wako Swali hilo, japo rahisi kwa matamshi, linatetemesha msingi wa maisha ya kila mmoja wetu. Lakini kwa bahati mbaya, wengi wetu hatupendi kujiuliza. Tunashughulika, tunakimbizana, tunatii... ila hatufikiri. Karibu sana...
  6. dogman360

    JamiiForums Tanzania Usisome Master's kabla ya kupata experience ya kazi . Utakufa na msongo wa mawazo

    .
  7. Introver

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishinda hali ya msongo wa mawazo

    Msongo wa mawazo ni nini? Ni shinikizo au mfadhaiko wa kiakili, unaomkumba mwanadamu, pale anapokutana na matatizo, au taabu, au dhiki au shida Fulani. Hivyo inapotokea mtu huyu anashindwa kuzitatua changamoto hizo, ndipo msongo huo huja. Kwamfano labda mtu amegundulika, ana ugonjwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kutaka kila mtu akuongelee vizuri ni kutafuta msongo wa mawazo kuwa mwema ila usijali watakavyokuongelea

    KUTAKA KILA MTU AKUONGELEE VIZURI NI KUTAFUTA MSONGO WA MAWAZO KUWA MWEMA ILA USIJALI WATAVYOKUONGELEA Zama zinaenda kasi na vifo vitokanavyo na matokeo ya msongo wa mawazo vikiongezeka ikiwemo kujiua au shinikizo la juu la damu hata magonjwa ya moyo. Msongo wa mawazo hautoki mbinguni bali ni...
  9. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Msongo wa mawazo nilionao unaweza kunipeleka kubaya, msaada wenu wananzengo

    Wakuu Hapa nina msongo mkubwa wa mawazo,kichwa kinawaka moto,nipo dukani ila naona ni bure tu nifunge duka niende nyumbani Sijielewi kabisa. Wakuu msaada wenu jamani nishauri chochote nipate uponyaji Ila wale kataa ndoa wanahoja,nimepigwa tukio hapa hata sielewi.
  10. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 2000 na Kuendelea Kinateseka: Manung’uniko kutoka Kitaa

    Nimeamka saa kumi alfajiri. Nimeenda kazini kwa miguu. Nimefanya kazi hadi jua kuzama. Na bado, sina chochote. Ninarudi nyumbani kwa bibi yangu,iîu nyumba ya bati zilizochoka, chakula ni ugali na maharage, umeme unakatika kila siku. Na bado watu wanasema, “Pambana kijana, mafanikio yanakuja.”...
  11. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi mnawezaje kukabiliana na mawazo? Maana naona kwangu ni kama nimeshindwa!

    Habari wanaJF. Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza. Mimi ni kijana wa lately 20s, lakini nimekua nikisumbuliwa na changamoto ya mawazo kiasi kwamba naona kama Sina thamani hapa Duniani, nimekua ni mtu kujuta na kujilaumu mda wote. Haya mawazo yemenifanya Kuwa mtu kusahau na...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Picha: Nimepata msongo wa mawazo baada kuona katuni ya leo ya Masoud Kipanya akizungumzia sakata la Wachina

    Wakuu, Tunaposema Wachina ni existentia threat kwenye nchi hii, basi tunamaanisha mambo kama haya. Mimi nilivyoelewa hii katuni ya Masoud Kipanya ni kwamba: Pamoja na kwamba mchele unaouzwa na Mtanzania ni gharama lakini Mtanzania akinunua mchele, muuzaji ataenda kununua vitumbua baadae so...
  13. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Viboko ni ishara ya Umasikini na Msongo wa mawazo.

    Nionyeshe wapi mtoto wa tajiri akipigwa viboko kufeli kwa wazazi hasira zao na umasikini wao unapelekea kumaliza au kupunguza stress kwa watoto akikosea kidogo kupiga atakacho pata cha kuacha maumivu au ukilema kwa watoto. Wazazi jitaidi kuandaa kesho bora ya mwanao kuepuka kumfanya punda ...
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ajiua kusa mume, madeni na msongo wa mawazo

    Nchini Kenya, Mwanamke aliyetambulika kama Mercy Nyasaka amejiua baada ya kuacha ujumbe mzito kwa ndugu wa karibu kupitia Whatsapp akimuaga na kueleza anayoyapitia, Mercy alifiwa na bintiye miaka miwili iliyopita mnamo Machi 1, 2023, kifo ambacho kilimsababishia huzuni kwa kiasi kikubwa...
  15. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mitego ya Kisaikolojia: Kwanini Wanawake Wanajazana Kwa Waganga na Wachungaji? Je, Hizi sio Pande Mbili za Sarafu Moja?

    Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti? 👇👇👇👇👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/waganga-wa-kienyeji-na-wachungaji-wa-maombi-binafsi-wajanja-wanaocheza-na-akili-za-wanawake.2314695/
  16. AmKATRINA

    JamiiForums Tanzania Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

    Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri. Sina kazi, Sina pesa, Sina anipendaye. Sasa Duniani nafanya nini? Leo tarehe 10/02/2025 Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki. Napambana naona nimefika tamati. Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu. Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️ Wenu...
  17. bulajunior

    JamiiForums Tanzania Msongo wa mawazo kwa wanawake upo hata kwa walimu

    Nimekuwa nikijiuliza muda mwingi mbona kama ni ajira kuna wengine wameajiriwa, wanawake wanahamishia stress zao kwenye kazi zao. Leo nimeshuhudia walimu wa kike wanamshambulia binti (mwanafunzi) kwa maneno makali tena wote walikuwa kama wanne ivi akijibu huku anaulizwa huku au anaulizwa maswali...
  18. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hata kama una gheto kama hili! Lakini msongo wa mawazo lazima ukuue!

    Mfumo wa maisha ulitengenezwa husiishi peke yako! Ukiona unaishi peke yako ama umelaaniwa, mchawi, au kichaa/chizi. Kama una akili timamu basi jua fika unapigwa matukio na upweke na msongo wa mawazo! Haijalishi utajitahidi kivipi kuwa na gadgets za electronics kukuliwaza! Ebu angalia huyu mdada...
  19. Joanah

    JamiiForums Tanzania Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

    Mimi nafanya hivi 1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda 2. Natoka kwenda kutembea 3. Nalala 4. Nalia sanaaaaaaa 5. Naenda kununua nguo mpya 6. Nafanya usafi Na mengine mengi Wewe je? Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu Uzi tayari Pia soma...
  20. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hatua za kukabiliana na msongo wa mawazo unaotokana na migogoro ya kifamilia

    Msongo wa mawazo ni hali ya mfadhaiko wa kiakili ambao hujitokeza ghafla pale ambapo mtu anapokuwa na shida, tatizo,au kikwazo chochote ambacho hana uwezo wa kukabiliana nacho.Uwezo wa kukabiliana na kikwazo hicho unaweza kuwa uwezo wa kifedha, kiafya, kielimu,nguvu ya mwili katika kukabiliana...
Back
Top Bottom