UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

Xi Jinping

JF-Expert Member
Jun 14, 2023
525
1,816
Najua wengi wenu mlikuwa mna ndoto za kuolewa na wanaume wenye mali, matajiri na handsome men.

Lakini sasa huenda mmeishia kuwa single maza na umri umesonga mmekuwa wasimbe (27+) au mishangazi

Kumekuwa na ongezeko la single maza wenye 30+ humu jf wanaotafuta waume kwenye love connect huu ni ushahidi tosha.

Mnatamani sana ndoa na mwanamume yeyote ili mradi awasitiri. Bahati mbaya ambayo wengi mnakutana nayo mnaahidiwa ndoa mnaishiwa kupigwa mashine hamuolewi, poleni najua jinsi inawaumuza hiyo hali.

Soko lenu la kuolewa limekuwa gumu sana. Kwanza niwape pole, nimeamua kuandaa huu uzi ili mkutane na kufarijiana na kupeana mbinu za kuolewa au jinsi ya kuishi bila ndoa.

Na sisi wanaume tutakuwa bega kwa bega nanyi kuona tunawasaidiaje.

Mwaka huu tumewaongeza wanawake waliozaliwa 1997 kwenye kundi la wasimbe.

Kwa wale ambao ndoa imeshindikana au itashindikana kabisa nitawaletea uzi wenu maalumu utakaokuwa na heading single women association leo tuanze na walio frustrated kwa kutoolewa kwanza.

Asanteni sana, nawasilisha.
 
Wanakalibishwa
Kuna huyu Bi mariam5 yuko love connect anatafuta mume CV yake ana miaka 33 na single maza wa mtoto mmoja tu

 
Back
Top Bottom