magonjwa ya akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Afisa mkubwa kabisa wa jeshi la polisi anagalagazwa mahakamani mpaka anaulizwa kama ana akili timamu anajibu ndio

    Ikulu ijibu SWALI langu, Mnasubilia hizi aibu zinazoendelea mahakamani zifike ikulu? Afisa mkubwa kabisa wa jeshi la polisi anagalagazwa mahakamani mpaka anaulizwa kama ana akili timamu anajibu ndio, Lakini unashangaaa anaulizwa maswali madogo.sana anajibu utumbo mtupu hii aibu mnataka ifike...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Uchawa ni ugonjwa wa akili? Wataalamu wa afya tusaidieni

    Wakuu naomba msaada. Inakuwaje binadamu mzima akakubali ima kwa kutaka, kujituma, au kulazimika kuwa chawa? Inakuwaje kiongozi mzima akakosa busara, falsafa na. hekima hata akaja na sera ya uchawa? Je, wanaofanya yote haya wana akili timamu au kuna magonjwa yawe ya akili au tabia yanawasumbua...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tatizo la magonjwa ya akili duniani limekuwa kubwa sana. Dalili moja ya ugonjwa wa akili ni kutaka kusikia shari kila muda.

    Mtu mwenye matatizo ya akili akisikia mahali kuna ajari anapata furaha moyoni. Akisikia wamekufa wachache au hakuna maiti kwenye ajari hiyo basi moyo wake hupoteza furaha. Akisikia Iran kuna vita anapata raha sana. Mostly ya watu ambao wanajifanya kuchukizwa na mauaji ya October 29 -31 moyoni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Magonjwa ya akili: Vijana wanaonunua Simu za Milioni na zaidi huku wakiwa na hali duni za Uchumi

    Utamkuta kijana ana hali ya kawaida sana kiuchumi lakini anamiliki: Google Pixel 8 – milioni 1 Samsung S22 – milioni 1.2 Google Pixel 10 – milioni 2.3 Samsung S25 – milioni 2.7 iPhone 16 – milioni 3
  5. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kwann vichaa hawadhuriki na magonjwa?

    Unaweza kumkuta mtu kichaa anaoga, anapiga mswaki, anakula majalalani, analala popote nje kwenye mazingira machafu, lakini yupo fresh tu na hapati magonjwa. Jibu ni kwamba hajui kama kuna magonjwa, hivyo hana hofu. Kiroho, kichaa ni mtu ambaye nafsi yake imechukuliwa. Nafsi ni mwili wa ndani...
  6. ankol

    JamiiForums Tanzania Jinsi mitandao ya kijamii inavyoongeza wagonjwa wa akili

    Leo tuachane na mambo ya kubeti na kamala nyinginezo za mtandaoni zinavyopoteza nguvu kazi kubwa ya taifa na kuifanya iwe tegemezi. Tuuangalie mtandao wa tiktok nao pia unachangia pakubwa kuongeza idadi ya vijana wanaopatwa ulemavu wa akili haswa dada zetu. Wadada wengi wanashindwa kufanya...
  7. Room 28

    JamiiForums Tanzania Jinsi hewa chafu inavyosababisha magonjwa yaa Afya ya Akili

    Watalam wamebaini kua hewa chafu inachangia matatizo ya akili hii imebainika kwa tafiti iliyofanyika India --- Hewa yenye Sumu Inaweza Kuathiri Afya Yako ya Akili. Hivi ndivyo Jinsi inavyo athiri Kwa muda mrefu, tumezungumzia jinsi uchafuzi wa hewa unavyoathiri afya yetu ya kimwili. Lakini...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Magonjwa ya akili ni nini na husababishwa na nini?

    Magonjwa ya akili ni matatizo ya ubongo ambayo humfanya mtu kuwa na hisia, fikira na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii na kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha. Magonjwa ya akili yanaweza kusababishwa na sababu za kibaiologia au kisaikolojia; Sababu za kibiologia •...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kwenda kwenye ATM kutoa pesa yako halafu uisahau hapo hapo?

    Sitaki kupoteza muda wenu ni hivi! Jana majira ya saa mbili za usiku nilifika kwenye ofisi za NMB maeneo ya Himo pale kwenye ATM Kwa lengo kutoa kapesa kidogo Kwa lengo la kununua KITOCHI cha Konyagi pale Mombasa Highway. Nilishangaa kuingiza kadi kwenye ATM na kutoa pesa Ile napapasa macho...
  10. aliyetegwa

    JamiiForums Tanzania Sijui alipatwa na nini kilichopelekea kujiua!

    Habari wakuu, Iko hivi alikuwa ni kijana nadhifu, mchangamfu na kikubwa mwenye uwezo mkubwa darasani. Baada ya harakati za masomo alimaliza shahada yake ya kwanza 2014. Kwa kipindi cha karibia miaka nane hakupata kazi ila alichakarika haswa kwa kufungua genge na kuhudumia familia kwa kazi hiyo...
  11. Joseverest

    JamiiForums Tanzania Fahamu magonjwa ya akili madogo madogo ambayo sio rahisi kujitambua

    Magonjwa ya Akili ni Nini na husababishwa na Nini? • Magonjwa ya akili ni matatizo ya ubongo ambayo humfanya mtu kuwa na hisia, fikira na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii na kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha. Magonjwa ya akili yanaweza kusababishwa na sababu za...
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Harufu mbaya ya ushuzi inazuia Kansa, magonjwa ya akili

    Pale unapohisi hali ya tumbo kujaa “gesi”, suluhu pekee huwa ni kujamba ili kupunguza gesi hiyo. Habari njema kwa mujibu wa wanayansi toka Chuo Kikuu cha Exeter, nchini Uingereza, kitendo cha kujamba japo kinachukiza na kukera lakini kina manufaa makubwa kwa afya ya binadamu. Wanasayansi hao...
  13. M

    JamiiForums Tanzania WHO: Kwa sasa dunia ina Watu wenye Ukichaa Milioni 55, mwaka 2030 watafikia Milioni 78 na mwaka 2050 watakuwa Milioni 139

    Kwa Ripoti / Taarifa hii ya Shirika la Afya Duniani ( WHO ) Mightier Mimi wala siwakatalii, kwani nina uhakika kuna Mtanzania Mmoja kwa Kujichanganya Kwake kuhusu Yesu Kristo badala ya Nabii Yusuph nae piga ua katika hawa Milioni 55 ya Watu wenye Ukichaa ( Dementia ) nae yumo. Na...
Back
Top Bottom