kubadilishana

  1. abdallah sadiki mohamedi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji marafiki wa kubadilishana nao mawazo

    Nimekubali mimi ni mgeni maana kila post napewa lawama mgeni mgeni 🤔🤔 lengo ni kuondoa stress na kupotezea vitu nipo humu kukutana na watu tofauti Nahitaji marafiki zaidi karibuni sana 😘😘
  2. N

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kubadilishana vituo vya kazi

    Wakuu uzi huu ni kwa wale ambao wanatamani kubadilisha kituo cha kazi.hivyo kama unataka kwenda dodoma au mkoa mwingine na upo mkoa mwingine labda iringa na kuna mtu yuko dodoma anataka kwenda iringa basi uzi huu utawakutanisha. Mfano utasema. Mimi ni technician mkoa wa dodoma natafuta mtu wa...
  3. UTPC

    JamiiForums Tanzania KIGOMA: Wazazi Kasulu washauri kubadilishana zamu kupunguza Utoro Shuleni

    Sehemu ya pili ya makala hii iliweka wazi chanzo kikuu cha tatizo la utoro wa wanafunzi zaidi ya 2000 kuacha masomo kila mwaka, ifikapo msimu wa kilimo katika halmashauri ya wilaya ya Kasulu kuwa ni mitazamo hasi ya jamii juu ya elimu, ikichanganywa na changamoto za kiuchumi, miundombinu na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kubadilishana kituo kwa mfumo ni changamoto kwa Watumishi wa Umma

    Mimi ni Mtumishi wa Serikali Kada ya Afya nipo Uyui Mkoani Tabora, nina maoni ambayo pia ni kama kero kwangu na kwa Watu wengi kuhusu mchakato wa Uhamisho wa Njia ya Online kwa Watumishi wa Serikalini. Serikali ilitambulisha mfumo wa Digitali kwa nia nzuri lakini ukweli ni kuwa umekuwa mgumu...
  5. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hivi wachezaji hawaogopi kulogwa kubadilishana badilishana jezi ambazo tayari mtu umeshazivaa?

    Miongoni mwa vitu ninavyovishangaa ni hiki kitendo cha kukubali mchezaji kugawa jezi yako yenye jasho lako kwa mchezaji mwenzako kwa kigezo tu cha kukubali uwezo wako. Kiuhalisia miongoni mwa silaha kubwa mtu akitaka akumalize kabisa (akuroge) kiurahisi basi akipata nguo ambazo umeshazivaa...
  6. Adiya5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Marafiki wa kubadilishana nao mawazo

    Hello watanzania, Nimetokea Facebook, Insta na Tiktok nimekuja Jamiiforums kujifunza mambo mbalimbali na kutengeneza marafiki pia, Nahitaji marafiki makini, wenye akili timamu, wacheshi, wakarimu, wenye uelewa wa mambo ya duniani, wenye fikra pevu, jinsia yoyote, Mimi ni Mwanamke, elimu darasa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza kuanza majadiliano na Congo kuhusu mpango wa uchimbaji madini ili kubadilishana na ulinzi.

    Wakuu, Marekani hivi karibuni imetangaza kwamba iko tayari kw mazungumzo kufuatia ofa ya Rais wa Congo Felix Tshekedi la kuipa Marekani madini mbalimbli ili Marekani iweze kuisadia Congo kupambana na kundi la M23 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, nchi yenye utajiri wa madini kama cobalt...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ESS: ujumbe huu una maana gani kwenye mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi

    Napata ujumbe huu "error initializing transfer request " Niliomba maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi , mwenzangu aka accept ombi then maombi yakatumwa kwa mkurugenzi na kuwa approved, baada ya hapo mfumo unataka nisubmit maombi nikiwa nimeambatanisha docs Nimefanya hivyo lakini...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa kubadilishana naye eneo la kazi

    NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA AJE KONDOA DC MKOA WA DODOMA MIMI NIENDE MOROGORO-Dumila,mvumero au manispaa Namba ni 0692311611
  10. T

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

    Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake. Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake...
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo, baadae awe mke

    Habari wana JF, mimi ni mwanaume, umri miaka 27, dini mkristo, natafuta rafiki wa kike ambae baadae anaweza kuwa mke, kama umevutiwa karibu inbox.
  12. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike umri chini ya miaka 22 wa kubadilishana nae mawazo

    Wakuu Hamjambo?
  13. Batchelor Mpole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Mschana au mwanamk3
  14. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Mahusiano mengi hayafiki mbali kwa sababu watu wana haraka ya kubadilishana tabia

    Sababu kubwa ya mahusiano mengi kutokufika mbali watu Wana force kubadilishana tabia kwa haraka Jambo kubwa na la muhimu watu wanalopaswa walitambue . Katika mahusiano unakutana na mtu ukubwani haujui Maisha aliyopitia au matukio aliyokutananayo mpaka kufikia umri huo . Hauwezi kwa haraka...
  15. VINICIOUS JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Nini kinakujia akilini kuombwa vocha na mdada baada ya kubadilishana namba za simu?

    Habarini wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Hivi nini kinakujia akilini baada ya kubadilishana namba za simu na mdada ukimcheki anaanza kukuambia nitumie vocha sms zangu zinakata sina meseji ukizingatia bado hamjefahamiana vizuri hii inaashiria nini. Je? Hii ni sawa...
  16. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Vita ya NATO na URUSI itakuwa ni ya kubadilishana nuclear na sio vita ya risasi

    Urusi na Marekani zote zinamilija ASAT hizi ni siraha za kuweza kushusha aridhini Satelite zilizoko kwenye Obiti. Hii ni moja ya jambo ambali hakuna mtu anataka litokee. Vira itakuwa nu ya kubadilishana Vichwa vya nuclea and this time vichwa viatatua New York,Moscow,London, Washington, Berini...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue mila ya kubadilishana wake ili kuukwepa uchawi

    JE UNAJUA?? Mashariki mwa nchi ya Siberia wanaume wanabadilishana wake zao ili kuepuka mambo ya imani ya kishirikina?? Kwa imani yao wanaamini Ukifanya hivyo una mchanganya mtu mwenye nia ya uchawi au kufanyiwa vitendo vya kishirikina Je wewe unaweza kubadilishana mke na mwanaume mwenzio kwa...
  18. Hamis Zmc

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana. Kituo cha kazi

    Wakuu mimi ni Afisa muuguzi msaidizi. Niko Tarime Mara. Kama kuna mtu wa kada yangu Yuko Mwanza anahitaji kuhamia Tarime tuwasiliane.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Eneo la biashara Morombo Arusha kubadilishana na shamba Arusha, Manyara au Kilimanjaro

    Habari wakuu, Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta. Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro karibu tufanye mabadilishano. Ukubwa wa shamba utakaokubalika kwa mabadilishano utategemea na mahali...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas wasema hakuna kusitisha vita kwa kubadilishana mateka. Wanachotaka ni vita visimame kuwaachia mateka

    Hamas pamoja na kuendelea na vita kwa mwezi wa tatu bado wako makini vichwani mwao kuhusiana na hadaa zozote dhidi yao. Rais Isaac Hezrog wa Israel akizungumza na mabalozi wa nchi 85 jana aliwaahidi kwamba nchi yake inaendelea na mazungumzo ili kuongeza kiwango cha misaada inayoingia Gaza na...
Back
Top Bottom