Washirika wa Nyerere Cycling Tour, wakiongozwa na Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC, Zuweina Farah (wa nne kulia), ambaye aliwakilisha Vodacom Tanzania PLC kama mdhamini mkuu wa msafara huo, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa habari na...
Habar,
Kwa Mwaka huu kumeshuhudiwa ufunguzi wa shule nyingi katika sehemu mbalimbali ya Tanzani,
Shule ambazo zinamuundo tofauti na shule hizi zingine za sekondari, shule hizi mtaala wake unasema Mwanafunzi atafundishwa elimu ya vitendo zaid kumpa ujuzi wa shughuli mbalimbali ambazo baada ya...
Mpaka sasa nikiyaangalia mahusiano ya Lissu na Mbowe napata utata kama ni washirika wa kisiasa ama ni mahasimu.
Lissu mara kadhaa alikuwa anasema cheo chochote atakachogombea Mbowe yeye hatogombea... Ilikuwaje mwaka 2025 akachuana na Mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa?
Mbowe...
German industry bleeding jobs – business lobby
The country’s industrial sector is losing around 15,000 jobs every month, according to manufacturing association BDI
Mtanange unaendelea, nani ataibuka kidedea!!?
Sisi wamatumbi tupo upande gani!?tujifiche upande wa Mungu na maombi kama kina sisi!!?
Kule Zanzibar naona wameanza kuchochea kuni ili kuvunja muungano,ubaguzi wa wazi kabisa kuhusu huduma za umma kwa watanganyika kana kwamba Zanzibar sio sehemu ya...
Siku zote tunasema kuwa China haiwezi kukubali kuingia uhasama na USA, jambo ambalo linaweza kuathiri uchumi wa China kwa kiasi kikubwa sana. Kwa nchi ya China, kipaumbele chake kikubwa ni uchumi wa China. Nchi ikiwekewa vikwazo, China inawahi haraka ili kujipatia bidhaa kwa bei nafuu isiyo na...
Nchi za Mashariki ya Kati na Ghuba, pamoja na Marekani, zimeiomba Ukraine iwauzie vifaa vya kuzuia ndege zisizo na rubani ili kukabiliana na ndege zisizo na rubani za "Shahed" za Iran. Lakini Kiev bado haijakubaliana na mauzo hayo. lakini kwa nini?
"Mahitaji ya ndege zisizo na rubani...
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer wiki iliyopita alikuja China ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi huyo wa Uingereza ndani ya kipindi cha miaka minane. Kupitia ziara hii Starmer anafanya juhudi za kurekebisha uhusiano wa Uingereza na China, nchi yenye uchumi wa pili kwa ukubwa duniani...
Wakati Rais Vladimir Putin akikazia mapenzi yake kwenye vita vya Urusi nchini Ukraine, washirika wake wa kimkakati kote duniani wamebaki wakiishi kwa hisia ya kupuuzwa — au hata zaidi.
Nchini Venezuela, maafisa sasa wanaona kuwa uhusiano wao wa usalama wa miaka mingi na Moscow ulikuwa “paper...
Najua hii ndio sifa tuliompa mtu mweupe ili kuficha asili yetu wenyewe ila ukweli ni kuwa sisi waafrika kwa kiasi kikubwa ni moja ya jamii katili na ya ovyo kuwahi kutokea katika uso wa sayari hii ya bluu.
Najitahidi nisiandike chochote ila naona nakua na fundo moyoni.
Nilidhamiria kutoka Oct 29 hata nikiwa pekeyangu, bahati nzuri nilikutana na wengine. Jana nilitoka na bahati mbaya hakukua na wengine, lakini cha muhimu dhamira yangu ni iua, NIMETOKA.
1. Sijatoka kwakua sina ajira, ajira ninayo...
Vikundi vinavyojifanya washirika wa CCM na kushiriki katika vitendo vya uhalifu dhidi ya jamii visipodhibitiwa na polisi, wasilaumu jamii itakapochukua hatua za kujilinda. Kila jambo lina kikomo chake.
Baada ya Harambee ya Dr, Mwigulu Nchemba kanisani kwa WaLutheri Singida Jumapili ya juzi tarehe 29 Juni, 2025, mama akichangia TZS 50,000,000/- kati ya zaidi ya TZS one billion iliyopatikana, waumini wengi waliloloma wakionesha Kanisa la KKKT ni kibaraka wa Serikali hii.
Wengi wanajisikia...
Baada ya China, Mexico na Canada kushughulikiwa sasa ni zamu ya umoja wa Ulaya kuongezewa tarrifs na utawala wa Trump.
https://x.com/spectatorindex/status/1886132546020458812?t=lSz05YZkp1XveIK9-MGxVQ&s=19
Niaje waungwana
Chini ya miamba hii, nchi yetu ilikuwa salama, imara na tishio zaidi kuliko kipindi chochote kile kilichopita, kilichopo na pengine kinachokuja.
Joyce Banda alitest mitambo, kuona kikosi tu na vifaa vichache kwenye taarifa ya habari, huku boss mkuu Kikwete akizungumzia swala la...
Rais mteule wa Marekani Donald Trump akiwa sasa yupo kwenye maandilizi ya kurejea tena kushika usukani na kuliongoza taifa la Marekani Januari mwaka 2025, ameanza kujenga uhasama na nchi washirika wake wa kibiashara kwa kutoa vitisho kwa nchi mbalimbali duniani, huku akitilia mkazo sera ya...
Wakuu,
Ni dhahiri shahiri kuwa hakuna kitu Sisiemu wanaogopa kama Marekani na nchi za Ulaya.
Kwa haya yanayoendelea ikiwemo wizi wa kura na kuua wapinzani ni wazi kuwa ingekuwa ni amri yao CCM ingekuwa imeshafuta upinzani.
The only reason they are not doing it (kufuta upinzani) it's because...
Wakuu Habari
Nilikuwa huko Twitter (X) na katika kupita pita kwangu nikakutana na hii habari ya Iran kuungana rasmi na umoja wa mataifa yaliyopo katika muungano wa Brics , kubwa zaidi lilo nivutia sio Iran Tu kuwa mwanachama wa Brics kumbe kuna mataifa kibao ambayo na yenyewe yapo katika...
China na nchi za Afrika zinaendelea kufurahia ushirikiano na urafiki wao wa kudumu ambao uliwekewa jiwe la msingi na mwasisi wa China Mwenyekiti Mao Zedong na viongozi wengine waasisi wa Afrika.
Katika kipindi chote cha zaidi ya miongo sita China na Afrika siku zote zimekuwa zikiheshimiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.