Asnte sana Maxence Melo ubarikiwe.
Tunajitahidi kuandika sense na si vinginevyo.
Watawala wangelijua hilo, ingeliwasaidia sana kujua direction nzuri ni ipi.
Lakini wao wanasema direction ya nini, tuna polisi na Jeshi na Machawa. No need ya direction!
Wakuu, natumai mko vyema, na kama kuna mwenye madhila Mwenyezi Mungu ampe faraja.
To make a long story short, nilikua niko mkoa X for the long good six years nikiwa nimeajiriwa kwenye miradi lakini nikiwa nafanya ujasiriamali wa ufugaji (Tanga Region). Kufuga, kutotolesha, kuuza mayai, kuuza...
Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamepatiwa mafunzo maalum yanayolenga kuwajengea uwezo wa kutambua, kuepukana na kudhibiti msongo wa mawazo unaotokana na mazingira yao ya kazi pamoja na changamoto za kijamii wanazokutana nazo majumbani.
Mafunzo hayo yamenyika leo...
Hebu njoen
Dr dogoli kinyamkela ☠️ 💀 naomba nisaidie mawazo mm nna miaka 35 nimeolewa miaka 7 iliyopita mume wangu ana uwezo mkubwa sana
Ananipa kila kitu nnachotaka
Nakatazwa kutoka nje hata nikienda kwetu napelekwa na kurudi nna mama na pia baba yangu alikufa nna baba wa kambo nakatazwa...
Habar wana JF natumaini wote wazima poleni pia na majukumu yanayo wakeep busy .
Nilisha wahi kupewa nisimamie mradi wa misitu ya serikali mwaka fulani, lakin kwa bahati mbaya zilidaka moto kwenye heka 150, zilipona heka 40 ambazo ndo zilikua kwenye matazamio ya uzalishaji , na ndo ilikua kama...
Shalom shalom wana simba
Hii mechi yetu itakuwa ngumu sana kuliko wenzetu wa jana
Hivyo ombi langu kwa mungu tujiandae kisaikolojia na msingi wa mawazo tusipate afya ya akili ghafla..
Wakati naangalia jana mpira sehemu kubwa imejaa wenzetu wengi walijipanga na kuamini hawatoboi
Na hata...
Ni matumaini yangu mko salamaa!
Mimi niko salamaa sijui ninyi huko,
Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia.
Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa kutumia hii title “A Critical Analysis of Abortion Laws in Tanzania and Their Impact on Women’s...
Ni matumaini yangu mko salamaa!
Mimi niko salamaa sijui ninyi huko,
Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia.
Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa kutumia hii title “A Critical Analysis of Abortion Laws in Tanzania and Their Impact on Women’s...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema tulipofikia katika taifa hili kila aliye na mawazo tofauti anaitwa Mwanaharakati.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe (CHAUMMA) Sigrada Mligo ametoa wito kwa Serikali kuongeza watendaji wa Mahakama akiwemo Hakimu wa Mahakama ya ardhi, ili kupunguza vifo vya Wananchi kwa kukosa haki kutokana na kesi zao kukaa muda mrefu Mahakamani.
Sigrada ameeleza hayo jana, Desemba 11...
Walianza oohh katiba ya chama na nchi vimepuuzwa. Ukiwaambia tuwekee hapa vipengele vya katiba ya chama na nchi vilivyopuuzwa hawana jibu.
Waliposhindwa kushinikiza wajumbe wa CCM wafanye matakwa yao wakaamua kuungana na wapinzani kutaka kumpindua wakiwahamasisha wananchi kuwa polisi wako...
Binafsi sina chama ila ni muumini wa haki inayo leta amani, na si amani ya kubumba, inayowapa nguvu kikundi flani cha watu, kuwafanyia wengine chochote watakachoweza ikiwezekana hata kuua na wasiulizwe na mtu yeyote
Hivi? Wanao debate ( kuitetea serikali ) wanaitetea kwenye lipi tukiachilia...
Mzee wa Upako Anthony Lusekelo amewataka wanaosema kuwa Rais Samia anakosolewa sababu ni Muislam, wajibu hoja na siyo kuleta mambo mengine ya udini. Ameongeza kuwa Udini ni mbaya na haufai kwenye nchi yetu, huko tumeshavuka
Lusekelo amesema, katika kura 98% alizopata Samia kuna kura za...
Ndugu zangu,
Hakuna taifa kubwa duniani lililojengwa kwa kutegemea huruma ya mataifa mengine. Hakuna taifa lililotukuka kwa kuamini kuwa uchumi wake unaweza kuendeshwa na wachache wanaotafuta faida binafsi. Taifa hujengwa na watu wake, kwa jasho, kwa maarifa, na kwa nidhamu ya uzalendo.
Hapa...
Habari zenu wakuu, nimezamilia kufungua lounge mafia, muziki mzito, vinywaji vyote, chakula, na michezo mbalimbali, kwa njee bonge moja la car wash, hapo vipi wakuu au tutachezea za uso?
King La Jr
Kongole JF kwa bwana Max ila spana zilizomo hapa tambua wanafaidika kama darasa japo ni vilaza sana serikalini ila kuna mengi wanapata na kufanyia kazi.
Kwanini mada zinazotoka JF wanakuwa shapu kama sio shapu mbona walifungia mtandao wako,Ina maana waliona na kujua makaburi yao ndio maana...
Walahi nyumbu hamuishi! Akili zenyu fupi ndio maana mnawaona hero watu ambao ni wakawaida sana. Hamchoki kuumbuka sijui. Huyo Robert hata sijui anaandikaga nini. Lakini mnavyomshadadia. Muwage mwasoma simbilisi nye. Mwamlaumu bule tuu huyo kijana hakuwahi kuwa na uwezo wowote.
Na bado...
Wakuu leo sina mengi ila amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja wetu katika haki na usawa.
Rejea mada tajwa hapo juu,
Taifa hili letu wote na ndo sie wa kuliponya au kulipa majeraha, hivyo nimeona ni vyema shauri yafuatayo na sio lazima kukubaliana nayo.
1. Uchaguzi usitishwe Rais aliepo...
Sura kweli ni mwanajeshi,
Sare kweli ni za kijeshi,
Ila mawazo (Talking Points) ni ya ndugu Humphrey Polepole.
Wale wana-CCM ambao walidhani kwamba Polepole ana ushawishi mdogo hapa nchini, kwamba ni mtu wa kupuuzwa walifanya mahesabu yao vibaya mno. Malalmiko yote ya kuharibika kwa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.