mtendaji wa kijiji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jamii Opportunities

    Mtendaji wa kijiji III halmashauri ya wilaya ya Itigi

    POST MTENDAJI WA KIJIJI III - 1 POST EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, APPLICATION TIMELINE: 2024-04-15 2024-04-28 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Afisa Masuuli na mtendaji mkuu wa serikali ya kijiji; Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, kuwa mlinzi...
  2. Lady Whistledown

    Njombe: Mtendaji wa Kijiji ashtakiwa kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 200,000

    Mery James Numbi, ameshtakiwa kwa kosa la kuomba na kupokea Rushwa kinyume na Kifungu cha 15(2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (cap 329 Re 2022) Mshtakiwa akiwa Mtendaji wa Kijiji cha Lupembe Wilayani Njombe aliomba na kupokea rushwa ya Tsh. 200,000 kutoka kwa Irine Justine ili...
  3. Lady Whistledown

    Njombe: Mtendaji wa Kijiji ashtakiwa kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 200,000

    Mery James Numbi, ameshtakiwa kwa kosa la kuomba na kupokea Rushwa kinyume na Kifungu cha 15(2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (cap 329 Re 2022) Mshtakiwa akiwa Mtendaji wa Kijiji cha Lupembe Wilayani Njombe aliomba na kupokea rushwa ya Tsh. 200,000 kutoka kwa Irine Justine ili...
  4. Miss Zomboko

    Misenyi: Mtendaji wa Kijiji ahukumiwa kifungo cha nje kwa kutowasilisha makusanyo ya Mapato

    Novemba 22, 2023 katika Mahakama hiyo mbele ya Mhe. W. YONA SRM, imeamriwa kesi ya CC. 40/2022 Jamhuri dhidi ya THEONEST RWELAMIRA CLEMENCE ambaye ni Mtendaji wa Kijiji cha Kasambya- Wilaya ya Misenyi. Imemtia hatiani kwa kosa la kutotii wajibu wa kisheria k/f 123 Penal Code kwa kushindwa...
  5. BARD AI

    Kagera: Mahakama yampa Mtendaji wa Kijiji miezi 6 kurejesha Tsh. 8,974,125 za Halmashauri

    Ni agizo la Hakimu wa Mahakama ya Wilaya Muleba mkoani Kagera dhidi ya Stephen Karugendo, ambaye alishtakiwa kwa kosa la kukusanya Tsh. 8,974,125 ambazo ni mapato ya Halmashauri na kutoziweka Benki kinyume na Sheria. Mshtakiwa amebainika kukiuka Kifungu cha 29()2(c) cha Sheria ya Fedha za...
  6. Wababa13

    Nani anapaswa kuwa na muhuri wa Serikali ya Kijiji kati ya Afisa Mtendaji na Mwenyekiti wa Kijiji?

    Naomba kufahamishwa kwa uchache tu. Je, ni nani anapaswa kuwa na muhuri wa Halmshauri ya kijiji kati ya Afisa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kijiji? Muhuri huu ni tofauti na Mihuri ya Afisa Mtendaji au ule wa Mwenyekiti. Kuna Mihuri special huwa inaitwa Mihuri ya Halmshauri ya Kijiji...
  7. Sildenafil Citrate

    Chunya, Mbeya: Mtendaji wa kijiji adakwa kwa tuhuma za mauaji

    Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani hapa linamshikilia Mtendaji wa Kijiji cha Sangambi Wilaya ya Chunya Joseph Nangale (45) kwa tuhuma za mauaji ya Aron Mbuba (18). Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema tukio hilo lilitokea Septemba 17 mwaka huu baada ya marehemu kupigwa...
Back
Top Bottom