The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,137
Nawasalimu kwa jina la JMT, natumai Kazi zinaendelea.
Mkoa wa Mbeya umevunja rekodi ya Makusanyo yake ya mapato ya ndani Kwa Halmashauri zake 7 Kwa kukusanya bil.45 sawa na zaidi ya asilimia 105.6% ya malengo.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa was Mbeya Juma Homela kwa Waandishi wa Habari na kuzipongeza Halmashauri za Mkoa huo pamoja na Sektetatieti ya Mkoa ikiongizwa na RAS wa Mbeya.
Kila Halmashauri imevuka malengo waliyopangiwa na Serikali hivyo kuziwezesha kutoa huduma na kutekelezwa Kwa miradi iliyopangwa kwa asilimia 100.
My Take:
Hii ndio maana Halisi Sasa ya Kufungua Nchi na Sasa matunda yanaonekana baada ya biashara mpya kuzidi kufunguliwa.
Hongera sana kwa serikali ya Rais Samia.👇