Sitaiweka hapa kutokana na maadili ya JamiiForums ila sisi Waafrika yapaswa tubadilike hizi siasa za kuchafuana hasa kutegeana makamera ya siri kwenye hoteli ili kuharibu ushawishi ni ujinga.
Kuna watu wanasema wakenya wasomi ila kwa hili ni ujinga naona inatrend kila mkenya anafurahia...
WAZIRI ENG. MASAUNI
Naomba nikurudishe nyuma kidogo, miaka miwili nyuma ukiwa naibu waziri wa mambo ya ndani, ukiwa kama mwenyeketi wa usalama barabarani uliagiza kila mkoa ukusanye fedha za WIKI YA NENDA KWA USALAMA ambazo hutozwa kuanzia tsh 3,000 hadi 5,000
kwa kulingana na ukubwa wa gari...
Yaani Waziri Masauni umeshakiri Mwenyewe kuwa Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani kwa Makusudi wameondoa 'Spidi Gavana' katika Mabasi ya hali inayopelekea Madereva Wao kwenda Mwendo Kasi na Kusababisha Maafa (Ajali) zinazoua Watanzania na kuwapa Ulemavu wa kudumu halafu Wewe unawapa 'Ultimatum' ya...
Wakati GENTAMYCINE nikisubiri Jibu lako Waziri Simbachawene nitoe tu Ushauri wa bure kwa Viongozi na Watu maarufu nchini hebu ajirini Wasemaji wenu ili wawe wanawafichia Mapungufu yenu ya Kiuwasilishaji kwa kuna Kauli zingine huwa mnazitoa na kutupa hata Mashaka kama kweli mlipita Shuleni na...
Nashangaa sana, waziri simbachawene anafanya kazi zipi? Au hata majukumu yake baadhi hayajui.
Nitazungumzia swala la ajali za barabarani kwa sasa naona ndio janga lililopo.
Nadhani ndani ya mwezi wa tisa ni ajali zaidi ya ishirini zimetokea na kuondoa watu, mwezi huu tena wa kumi wembe ni ule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.