maandamano ya amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kipeperushi kinachotangaza Maandamano Agosti 8, 2026 chaonekana mtandaoni

    Wananchi wanawatag Polisi kuwajulisha dhamira yao ya kuandamana kwa amani Agosti, 8, 2026 maarufu kama 8/8 Tangazo hili linaonesha sababu za maandano ni Kupinga Utekaji Kudai kuheshimiwa kwa haki za binadamu na utawala wa sheria Kutoa Wito wa mchakato wa katiba mpya Kudai Uchaguzi huru na Haki...
  2. M

    JamiiForums Tanzania TAARIFA RASMI: Maandamano ya Amani kwa Wasafirishaji wote Nchini, Sambaza ujumbe huu Kila Jukwaa na kila mtandao

    Ndugu Madereva wa Bodaboda, Bajaji, Daladala, Mabasi ya Mikoani, Wamiliki wa Magari, na Vijana wote wa Tanzania, Salamu za amani na mshikamano. 1. UTANGULIZI Hii ni taarifa rasmi kutoka kwa waandaaji UWADAR na vyama vyote vya wasafirishaji nchini kuhusu maandamano ya amani yatakayofanyika...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Hivi kuitisha maandamano ya amani ili Lissu aachiwe ni kosa? Mbona Nelson Mandela alipokuwa Gerezani watu walikuwa wanaandamana?

    Yaani kuandamana kwa amani kushinikiza mtu asiye na kosa aachiwe ni kosa? Dunian nzima ilipinga kufungwa kwa Nelson Mandela. Na maandamano yalikuwa yakifanyika hata hapa Tanzania. Leo kusema tu tutaandamana kwa amani kushinikiza Lissu aachiwe imekuwa ni kosa?
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Kilichotokea siku ya uchaguzi mkuu hayakuwa maandamano ya amani yalikuwa ni ghasia

    Jaji Chande akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa matukio ya uchaguzi mkuu 2025 anasema hayakuwa maandamano ya amani bali ni ya ghasia. Anasema "Kilichotokea siku ya uchaguzi mkuu, Oktoba 25, hayakuwa maandamano ya amani bali yalikuwa ghasia yaliyoambatana na matokeo ya uvunjifu wa amani...
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya amani kupinga bei kubwa ya mafuta na mfumko wa bei, tarehe 7 April, 2026(Karume day)

    Maandamano ni haki ya kikatiba Tuna mpango wa kufanya maandamano Tanzania nzima kupinga ongezeko la bei ya mafuta ya petrol na diesel Kwa 26% Bei ya mafuta ilipanda Kwa 6% soko la Dunia ila hapa kwetu tumeshangaa EWURA imetangaza ongezeko la zaidi ya 26% Yaani mafuta kutoka tsh 3000 hadi 4000+...
  6. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Amani (Kinondoni Muslim hadi ubalozi wao Msasani) kupinga uvamizi nchini Iran

    Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
  7. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Point to Note: Watanzania wengi hawawezi maandamano ya Amani wanaona mabango ni mazito kuliko mitungi ya gesi

    Hata kama polisi wakitoa kibali, ukweli ni kwamba Watanzania wengi hawapendi kuandamana kwa sababu wanaona maandamano yamekuwa fursa ya wizi na uporaji. cocastic Ndiyo maana niliwahi kusema kuwa waliokuwa wakiandamana wengi wao walikuwa vibaka na wezi, hasa hapa mjini Dar es Salaam, wakati...
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Tunapoteza muda, maandamano ya amani ni kwa ajili ya makongamano

    Hamna amani kwenye kumtoa mtu madarakani, mtakuwa mnatembea barabarani kama machizi tu na lazima mfeli yaani mtu atoke nyumbani akakae barabarani maandamano yasio na kikomo bila kula eti kisingizio Samia atoke, wazee huyo hawezi kutoka kwa amani mnapoteza muda Kama mmekosa kazi za kufanya...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mtego wa maandamano ya amani leo D9

    Maandalizi muhimu yote yameshakamilika.. Na muda huu ninapoandika huu uzi watu wanaendelea kujongea maeneo ya makutanio Zimetumika kila aina ya mbinu, elimu, maarifa na kuhamasishana ili maandamano haya yawe ya amani na kusiwepo uharibifu wa mali na miundombinu.. Vibaka na wezi wameshapewa onyo...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 09.12.2025 wasipozima intaneti itakuwa ni kwasababu hii hapa

    Ulimuswano Mwanaweswe!. Moja kwa moja kwa mada. Najua vijana na baadhi ya wananchi kwa ujumla wa Taifa hili Tanganyika kama siyo Tanzania. Walio wengi wanatakani sana mabadiriko kisiasa, kijamii na kimaendeleo. Ila kuna fungu la walio wachache wanakaza. Kufuatia hilo 29.11 ilikuwa siku yao...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Agents Provocateur: askari kanzu wanaojipenyeza kwenye maandamano ya amani kufanya vurugu ili kuyachafua na kuhalalisha nguvu kubwa ya vyombo vya dola

    1. Wanachofanya Hujipenyeza kwenye mikusanyiko ya watu wanaokusudia amani. Huanza kuhimiza vurugu, uharibifu wa mali, au vitendo vya wizi. Hubadilisha taswira ya maandamano kutoka amani kwenda fujo. Hutoa mazingira ya kuhalalisha matumizi ya nguvu kali. Kukusanya taarifa za viongozi wa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maandamano ya Amani dhidi ya Uongozi mbovu na kukosakana uwajibikaji pale Open University (Chuo Kikuu Huria) yatakuwa tarehe 18 December 2025

    Kama tulivyojadiliana maandamano ya kupinga udhembe na kukosekana uwajibika miongoni ya walimu wetu na viongozi wa chuo pia yatafanyika 18 December 2025 kama tulivyokubaliana. Kero kwa miaka na miaka zimekuwa zikilalamikiwa na kupelekwa kwa viongozi husika ila kumekuwa hakuna mabadiliko imekuwa...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa ratiba ya maandamano ya amani #D9 kwa mkoa wa Dar es salaam

    Mwongozo Muda wa kukutana ni saa moja kamili asubui, Vitu vya msingi 1, Vaa mavazi mepesi ya mazoezi na uwe na maji ya kutosha, 2, Beba bendera ya nchi na bango kama hauna sio lazima, 3, Kuwa na pesa ya akiba kwaajili ya usafiri au chakula, 5, Zingatia namba nne.
  14. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa akili yenu mnafikiri rais wa Tanzania atatoka madarakani Kwa maandamano ya amani

    Yaani unajua Kuna watu wanataka kuponza wenzao huku wao wakiwa chumbani wamejificha huko ulaya. ivHi mtu kama mange alietuaminisha jeshi uchwara lipo na sisi anatuambia tutoke Kwa amani yeye akiwa kajificha chumbani ulaya Yaani kabisa jitu linasema andikeni mabango muandamano ni ya amani...
  15. safuher

    JamiiForums Tanzania Hayawezi kuwa maandamao ya Amani, kama Polisi hawatotoa Ulinzi

    Maandamano yoyote ambayo polisi hawakutoa Ulinzi hayawi ya amani kwa sababu kuna watu wenye akili tofauti wanaoweza kufanya uhalifu. Ili hawa watu wahalifu wanaojificha kwenye kivuli cha maandamano wasifanye uhalifu ndio maana sasa POLISI HUTAKIWA KUTOA ULINZI KWA WAANDAMANAJI. Kusisitiza peke...
  16. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Huwezi kukomboa nchi Afrika wa mabango

    Nadhani mmeona kilichotokea tarehe 29 mpaka tarehe 3 Sasa nimeona watu wanasema eti tarehe 9 wanaenda kuchukua nchi yao my friend tanzania jeshi lipo na mtawala polisi wapo na matawala usalama wa taifa wako na mtawala. Hawa wote wanapenda wananchi wanavyouliwa na wao pia wanashiriki Kwa...
  17. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania Kuandamana kwa amani na mabango yenye ujumbe bila uharibifu wowote, si haki ya wananachi?

    Asalaam Aleykhum Warahmatullah Ndugu zangu naomba kuuliza, Hivi katika nchi inayojulikana kuwa ya Kidemokrasia na kitovu cha Amani, yaani TANZANIA, Je hakuna haki ya Wananchi wake kuandamana hata kama wana hoja za msingi za kuaddress? Nimeuliza hilo swali kwasababu kuna baadhi ya Watu...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati mngehamasisha maandamano ya amani bila kufanya uhalifu kusingekuwa na madhara yoyote

    Lengo la maandamano ni watu kutoa maoni yao kwa kile wachoona wanastahili kukisemea. Ni namna moja ya wapo ya watu kuelezea hisia zao kwa mujibu wa katiba. Kuna maandamano kwa ajili ya kupinga au kupongeza jambo fulani. Maandamano hayahusishi uhalifu wowote. Kwenye maandamano ya wiki iliyopita...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Idara za polisi Marekani zapongeza na kuridhika na maandamano ya amani ya "Hakuna Mfalme Marekani" dhidi ya Trump

    Idara mbalimbali za polisi Marekani zimepongeza na kuridhika na jinsi ,aandamano makubwa yaliyopewa jina la Hakuna Mfalme Marekani mahususi kupinga ukiukwaji wa katiba unaofanywa na rais nchi hiyo Trump yalivyofanyika kwa amani bila vurugu au ukamataji wowote. Polisi wamewasifu waandamanaji...
  20. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maandamano ya Amani ya Watanzania Wanaoishi Marekani kufanyika Leo Oktoba 17, 2025

    Mapema leo nchini Marekani kunatarajiwa kuwa na maandamano ya amani ambayo yatafanywa na watanzania waishio Marekani wakihitaji mambo kadhaa ambayo pia yanaendana na mahitaji ya ya maandamano ya Oktoba 29, 2025. Kesho tutafanya maandamano ya amani mjini Washington DC kwa ajili ya: Demokrasia...
Back
Top Bottom