lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi Lissu kafanya kosa la uchochezi sio uhaini

    Aliwachochea watu wakaenda kutenda walichotenda. Tena sio yeye tu bali chadema yote; ifutwe. Vinginevyo akamatwe tena kwa ushahidi mwingine.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa: Lissu alitoa tu taarifa kuwa DCI amekataa kuwa shahidi wake, hivyo lilikuwa ni jukumu la mahakama kumtaka DCI afike mbele ya mahakama

    Baada ya kusoma maelezo ya wakili Matata, hiyo ndivyo nilivyoelewa. Kwahiyo, mpaka hapa, Lissu aliitega mahakama na mahakama ikaingia kingi ingawa nashindwa kuamini kuwa mahakama haikuona hii kasoro. Swali ambalo bado linaumiza kichwa changu, ni kuhusu CDF ns IGP kusemewa na DCI na...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CDF na IGP walimwambia DCI Ramadhani Kingai, "nenda kamalizane na Tundu Lissu mwenyewe kwanza wewe ndiye uliyelianzisha!!"

    Ili uelewe hiki ninachokiandika, kwanza elewa majukumu ya DCI (Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya jinai) ndani ya Jeshi la Polisi ambaye kwa sasa ni huyo hapo kwenye picha Ramadhani Kingai... MAJUKUMU YA DCI Kusimamia Upelelezi: Kuongoza, kuratibu na kusimamia shughuli zote za kiupelelezi...
  4. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Majaji wanaweza kuwa na hukumu yao na sisi JURY tukawa na hukumu yetu.

    Kwa nchi kama USA kesi huwa zinaendeshwa na Majaji lakini wanaotoa hukumu ni Wananchi wenyewe ambao wanajukana kama Jury. Sasa kwa kesi ya Lissu wananchi tumeifuatilia vizuri sana na ushahidi wa pande zote tumeuona. Kama ikitokea Majaji wakatoa hukumu yao tofauti na Jury nafikiri dunia nzima...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Majadiliano kati ya Lissu na shahidi wake hayawezi kuwa sehemu ya ushahidi mahakamani

    Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi. Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama" Koti ilivyoitwa ilitaka...
  6. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa Vs akiachiwa huru na mahakama?

    Watu wengi wanaongea kwa mihemuko, eti Lissu atafungwa ata miaka miwili then ataachiwa, sijui sheria wameisoma wapi. Hapa Kuna mawili akutwe na hatia , ahukumiwe kunyongwa hadi kufa au hasikutwe na hatia achiwe huru na mahakama. Kwa hizo scenarios kutatokea nini Lissu akikutwa na hatia na...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli Lissu amewatangulia Wanasheria wa CCM kwa miaka mia moja mbele

    Lissu Yuko mbele ya Muda dhidi ya CCM na wanasheria wote wa CCM. Kwa kifupi watu wengi hawakuelewa,hata Mimi sikumuelewa aliposema mashahidi wake ni RAIS Samia,CDF,IGP,DGTISS na Kingai. Kwa kifupi alipowataja Hawa kua ndio mashahidi wake alikua amelenga mitego miwili kwa ajili ya kupiga TKO...
  8. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hivi watanzania mnafikiri ni Lissu pekee atatufikisha nchi ya ahadi?

    Mimi sio mashabiki wa siasa Ninacho penda ni real changes sio kubwabwaja tu. Je, kwa kinacho endelea na vuguvugu hili la kisiasa kuna any possibilities ya any changes any soon? Au ndo tunajiburudisha tu kama miaka yote? Na CCM watarudi na kitu kipya? Na kutufunika macho kama kawaida yao? Je...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Kesi Ilivyokwenda Lissu na Mashahidi Zake Wameshindwa Kueleweka na kujenga Hoja

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa namna Kesi Ilivyoendeshwa na Kusikilizwa na namna ilivyokwenda na Utetezi uliotolewa ni Wazi Lissu Hawezi Kukwepa ama Kujinasua Kwenye Kupata Kifungo cha Maisha Gerezani. Ameshindwa kujitetea na Ameshindwa kutoa utetezi wa kueleweka na kushawishi . Ameonyesha wazi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wanasheria, tunaomba ufafanuzi wa kilichotokea mahakamani kuhusu kesi ya uhaini inayomkabili Lissu

    Japo teyari tuna mtazamo yetu kuhusu kilichotokea leo mahakamani hasa baada ya DCI KIngai kukataa kuwa shahidi wa kumteta Lissu na kitendo cha Kingai kuwasemea mashahidi wenzake (CDF na IGP), nadhani itakuwa jambo jema tukapata ufafanuzi wa kisheria ili tuweze kuonanisha na mtazamo yetu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kama Lissu akihukumiwa atakata rufaa na endapo kesi ikienda kwa jaji Mruma ataitupilia mbali

    Mashabiki wa Lissu pungueani midomo
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Kwa kilichotokea mahakamani leo, Lissu hatokutwa na hatia huku akiwa amelinda heshima yake. Kuwaita CDF, IGP na DCI, alicheza kama pele

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Lissu angekubali kirahisi hao mashahidii kutohijiwa kwa cross examination iwapo wangekataa kuwa upande wake.. Kingine kilichonishangaza, ni DCI Kingai kuwasemea mashahidi wenzake na Lissu kukubali kirahisi tu kwani ni hatari kwake iwapo cross examination ya hao...
  13. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Lissu akubali yaishe Afunga Ushahidi tarehe 23 Majumuisho ya mwisho Final Submission

    Tulichokua tumetabiri sisi wengine aina ya Mashahidi wa Lissu katika kujenga kesi yake ndiyo kilichotokea na Leo Tundu Lissu ameomba kufunga Ushahidi hivyo kesi pande zote ushahidi umefungwa na Jumatano tarehe 23/09/2026 ni Final Submission kwa pande zote Final Submission inaweza kuwa ya...
  14. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo mkuu wa Majeshi CDF atafurahi ikiwa Lissu atakutwa na hatia? Asee

    Ameongea Kingai na huu ni mfano wa watumishi wetu wa umma. Mahakama imedharauliwa na jeshi letu limechafuliwa na Kingai. Sifikirii kama maneno hayo ameyatoa kwa niaba ya CDF ama amejitungia. The only
  15. Kigongoi kwetu

    JamiiForums Tanzania Waliofanya jaribio dhidi ya yake hawatapendwezwa awe huru.

    Katika mazingira ya kawaida maadui wake waliotaka kumtoa uhai hawafurahishwi huyu bwana kuendelea kuishi. Walitegemea wangemaliza historia yake lakini wakashindwa. Ukiacha maeneo mbalimbali ya kisheria aliyopitia na kushinda lakini ukweli unabaki wazi kwamba hawawezi kukubali awe huru kwa sababu...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Adv. Alute Mughway Lissu (kaka wa Lissu) akanusha tuhuma za rushwa ya Abdul na Samia kulazwa Sea Cliff Hotel chini ya ushenga wa Godbless Lema

    https://youtu.be/mSwjE0vLsH4?si=3rPplPdtVQr3X7j- Anasema: 1. Mara ya mwisho yeye kuwa DSM kwenye kesi ya mdogo wake ni tarehe 10 - 15/8/2026, akarudi Arusha nyumbani kwake na toka wakati huo amekuwa anaumwa na kuhudhuria matibabu ikiwemo kulazwa kwa siku 6 hospitalini... 2. Amemtaka mtu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mteswaji Lissu ana furaha kuliko Mtesaji Samia! Maisha tenda wema

    Mteswaji Lissu ana furaha kuliko Mtesaji Samia! Maisha tenda wema. Utawafukuza na kuwafunga lakini Mungu hawezi kukupa furaha mpaka utende wema na haki. Hili ni somo pesa zote , wizi wote wa kura, na nguvu za kuiba lakini huna furaha maana maisha ni zaidi ya pesa na madaraka
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Lissu, alikuwa hajui kuwa anacheza na moto akili itakaa sawa

    Wanaukumbi. LISSU ALIKUWA HAJUI KUWA ANACHEZA NA MOTO📌 INAWEZEKANA KABISA Bwana Lissu alikuwa hajui kuwa anacheza na moto au alikuwa anacheza na watu wako siriazi na mambo haya mpaka alipojikuta ana kesi ya kujibu.. Lissu, alianza kuidogosha hii kesi yake na kujifanya ni kesi nyepesi na...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hivi Majaji Wa Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu Hawana Hukumu Tayari?

    Hakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri hukumu ya mahakama kulinganisha na za kwetu, kama tulivyoshangazwa na ruling of prima facie case...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Lissu ndiyo mtu anakimbiwa na IGP , CDF 🤦🏾‍♂️

    Kwenye historia hatujawahi kuwa na wakati kama huu. Raisi fake mwoga, IGP na CDF ambao ni machawa na wanankimbia mtu ambaye yupo Jela😂😳
Back
Top Bottom