simulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi Yenye Funzo la Maisha: "SINA CHAGUO"

    SINA CHAGUO Simulizi tamu ya maisha, iliyosheheni visa na mikasa ya kuzisisimua hisia chanya za msomaji. Ukafumbuka macho uone, yazibuke masikio usikize kwa usahihi kila kilichotamkwa na kuzungumzwa na mwandishi kupitia wahisika bora waliochorwa kwa taswira za kuvutia. Utavutiwa na mengi...
  2. kolokolo3d

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 nilipata bahati ya kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Sikujua kwamba safari ile ingeniachia simulizi ambalo mpaka leo silisahau

    Part 01 Nilipofika Congo, kila kitu kilikuwa kipya machoni mwangu. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kufika huko, hivyo kila nilichokiona kilinifanya nishangae. Kadiri siku zilivyokwenda, nilianza kuzoeana na watu wa huko na kuishi nao kama nilivyozoea kuishi na watu Tanzania. Ukaribu wangu na...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kuhuzunisha ya mhubiri mlevi (Deborah)

    Simulizi ya Deborah, mwanamke anayejulikana mkoani Mbeya kama "mlevi mhubiri," ni kisa cha kweli kinachoonyesha jinsi msongo wa mawazo na changamoto za kijamii zinavyoweza kumwangusha mtu, huku bado akibaki na karama yake ya kiroho. Kabla ya kukumbana na matatizo, Deborah alikuwa mshirika...
  4. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Sikugonga Kitu Chochote, Lakini Nilipata Ajali: Simulizi ya Tukio la Kushangaza Lililonibadilishia Eneo la Kazi

    AJALI NILIYOIPATA NJIANI: SOMO KWA MADEREVA WOTE Utangulizi Tarehe 15/06/2026 ni siku ambayo sitaisahau kwa urahisi katika maisha yangu. Nilipata ajali ya pikipiki katika eneo la Butinzya nikiwa safarini kuelekea Ushirombo kutoka Katoro. Kilichonishangaza zaidi siyo ajali yenyewe, bali mazingira...
  5. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nje ya siasa ntakuja na Simulizi ya Maisha ya waafrika nje ya Africa na wanavyopata pesa Asia, Ulaya na Marekani, wengi wanawake wanateseka episode 10

    Nje ya siasa Kidogo Uzi huu utawasaidia wale wanaojitosa hasa watoto wa kike mabinti Kwenda Ulaya (Hapa hawateseki sana) Asia(China, India, Nepal, Thailand ,Hongkon, Malaysia , Macau, Philippines , Singapore, Indonesia, Laos, Vietnam) haya maeneo yote nshayapitia na kuona wadada wanavyoteseka...
  6. UTPC

    JamiiForums Tanzania Sauti za vilio, hofu na taharuki ni simulizi za kawaida kwa wachimbaji wadogo maeneo ya Nyandolwa na Mwakitolyo - Shinyanga

    Sauti za vilio, hofu na taharuki zimekuwa sehemu ya simulizi za wachimbaji wadogo katika maeneo ya Nyandolwa na Mwakitolyo, mkoani Shinyanga. Ni maeneo ambayo chini ya ardhi yake kuna matumaini ya dhahabu, lakini juu yake kuna wingu la vifo vinavyojirudia mara kwa mara. Katika kipindi cha miaka...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Jinsi David Djumbe "alivyotekwa" na kuwakimbia "watekaji" akiwa na pingu

    Mei 20, 2026 kulitokea tukio linalodhaniwa kuwa la utekaji wa David Djumbe ambaye ni msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Hata hivyo, imeelezwa kuwa, Djumbe alifanikiwa kuwatoroka watekaji waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa polisi. Akisimulia tukio hilo, David Djumbe amesema...
  8. singanojr

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Nyayo za Shetani

    Damiani ni kijana wa miaka ishirini na mbili, mhitimu wa chuo kikuu cha Tanzania Institute of Accountancy (TIA) akiwa amechukua kozi ya Finance and Accounting in Public Sector (kozi inayohusu maswala ya uhasibu). Mara baada ya Damiani kumaliza masomo yake hakutaka kubaki ndani ya jiji la Dar es...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore anaendelea kudanganya umma kwa simulizi kwamba bado yuko madarakani ili kuilinda Burkina Faso dhidi ya ushawishi wa Magharibi

    Muafrika na demokrasia ni kama maji na mafuta. Hio ni kwa sababu mtu mweusi ni mbinafsi, mwenye dharau, amekosa utu na mwenye kulewa na madaraka. Niliwahi kuleta uzi kuww ipo siku mwamba atazingua ila watu wakaleta makasiriko kwamba namchafua boy wao. Sasa ndio inaanzaga hivi kitakachofata...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Jinsi Nilivyomtapeli Mganga wa Kienyeji: Simulizi ya "Mjanja Aliyekutana na Mwerevu"

    Watu wengi husema mganga wa kienyeji ni mtu wa kuogopwa. Wanasema ana macho yanayoona mbali na majini yanayompa taarifa za kila anayemtembelea. Lakini siku hiyo, niliamua kuthibitisha kuwa hata "nguvu za giza" hupigwa na giza la njaa na tamaa. Mtego wa Kisaikolojia Mganga huyu, ( jina kapuni")...
  11. Roisa group

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Maiti inayotembea

    RIWAYA: MAITI INAYOTEMBEA. MTUNZI: RONALD NAMBA YA SIMU: 0694840213. SEHEMU YA 1. Jina langu ni Masanja mabula, jina nililopewa na wazazi wangu wangu bwana na bibi mabula kwa kiligha jina langu lina maana ya " Akili zimo", huenda wazazi wangu walikuwa na nia njema ya kuniita hilo...
  12. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Simulizi za Mkatekumeni:Kikao Changu na Mh.Rais Pamoja na Baraza la Mawaziri

    Habari za wakati huu; Leo ninaendelea na sehemu ya pili ya Simulizi za Mkatekumeni Ni mwendelezo usio na mtiririko wa ndoto mbalimbali ninazoota hasa zinazohusisha viongozi na masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa.Ili niandike andiko hili lazima niote Ndoto so Usipoona Andiko ujue sijaota...
  13. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Simulizi za Mkatekumeni: Kikao changu na Waziri Mkuu Mwigulu

    Habari za Usiku huu; Kama Unavyoona sa hivi ni usiku wa manane. Nimeamka usingizini, nimechukua chombo changu cha kazi na nimeingi kazini. Hili ni andiko la kwanza katika Mtiririko wa Simulizi za Mkatekumeni ambapo nitakuwa nikiwaletea maandiko ya Ndoto mbalimbali ambazo nitakuwa ninaziota...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mchumba hasomeshwi? Simulizi ya kutisha na kuumiza

    Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 47 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni...
  15. kahawatime

    JamiiForums Tanzania Simulizi: A spy and assasin in love

    Hii ni hadithi inapatikana katika app yetu ya kahawa time A SPY AND ASSASSIN IN LOVE - Continue Reading on Kahawa Time ikiwa imeandikwa na mwandishi wako mkali EDDAZARIA G. MSULWA ntakua napost hapa ila tayari hii hadithi imefika mbali huko kwennye app A SPY AND ASSASSIN IN LOVE 01 MUANDISHI...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Operesheni ya Kukamatwa kwa Rais wa Venezuela: Simulizi la Uvamizi wa Kasi na Usahihi wa Hali ya Juu

    Operesheni ya Kukamatwa kwa Rais wa Venezuela: Simulizi Linalozua Mjadala Operesheni iliyodaiwa kusababisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, na majeshi ya Marekani imeelezwa kama operesheni ya kasi na usahihi wa hali ya juu. Simulizi hilo linaeleza kuwa shambulio la ardhini...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Serious note ya Godbless Lema juu ya mapungufu ya taaluma, utaalamu, uzembe, elimu ndogo, UONGO ndani ya mifumo ya VYOMBO vya Usalama wa Taifa

    Anaandika Godbless J Lema TAARIFA ZA UONGO NA MATESO NA MAUAJI YA RAIA. Mwaka 2011, jijini Arusha, kulitokea sakata zito la mauaji yaliyosababishwa na Polisi kufuatia maandamano ya wananchi waliopinga uchaguzi Meya feki wa Arusha Mjini. Tukio hilo liliacha majeraha makubwa katika mioyo ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya maisha: KABURI LA MSOMI

    KABURI LA MSOMI. Karibuni sana wapenzi wa simulizi. Leo naitambulisha kwenu simulizi hii tamu iendayo kwa jina la KABURI LA MSOMI. Ndani ya simulizi hii utakutana na visa, mikasa na matukio ya maisha kwa ujumla, vimbwenga, mapenzi, maumivu, wivu, usaliti, chuki, mauaji na mikasa mingi ya...
  19. kahawatime

    JamiiForums Tanzania RIwaya: Elise Wangu Kutoka Belgium

    Mwandishi: Murrah. Inapopatikana: Kahawa Time application ya simulizi inapatikana playstore kwa watumiaji wa android na app store kwa watumiaji wote wa (Iphone) Hii Hadithi imekamilika tayari katika application ya kahawa time.. kwa wale wanaopenda simulizi moto moto hii na nyingine zaidi kama...
  20. kahawatime

    JamiiForums Tanzania Application ya Simulizi

    Habari wakuu nawakaribisha katika application yetu ya kahawa time inayopatikana app srote kwa watumiaji wa iphone na Ipad na Play store kwa watumiaji wa Android… pata simulizi kali kutoka kwa waandishi maarufu kama Story za Eddy, Patrick Ck, na wengine wengi
Back
Top Bottom