Ni jambo gani linalo kuumiza maishani mwako kwa kipindi kirefu hadi sasa na litaendelea kukuumiza?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,031
12,356
Uzi huu maalumu kwa ajili ya kushare hard feelings tunazo kumbana nazo maishani.

Mimi jambo linalo niumiza maishani mwangu mpaka sasa na litaendelea kuniumiza hata nikijaribu kulikwepa ni mimi kuwa Mwafrika.

Mazee hili jambo mimi linanichoma sana na nafahamu ni kwa nini linaniumiza.

Kama kungekuwa na machaguzi ya kuchagua uzaliwe vipi au wapi hakika bila kusita nisingeweza kuchagua kuzaliwa Afrika au kuwa mwafrika.

Mbaya zaidi nimezaliwa Afrika tena Afrika yenyewe Tanzania hili jambo linaniuma sana naona ni makosa makubwa sana mimi kuzaliwa hapa hili jambo lina niuma sana.

Sijivunii kwa chochote kuwa Muafrika na Mtanzania naomba niweke wazi hili kwa maumivu nayo pitia hayana mfano kabisa.

Wewe ni jambo gani lina kuumiza sana maisha mwako mpaka sasa hata ukijaribu kulikwepa maumivu haya ondoki njoo tu share maumivu?
 
Uzi huu maalumu kwa ajili ya kushare hard feelings tunazo kumbana nazo maishani.

Mimi jambo linalo niumiza maishani mwangu mpaka sasa na litaendelea kuniumiza hata nikijaribu kulikwepa ni mimi kuwa Muafrika

Mazee hili jambo mimi linanichoma sana na nafahamu ni kwa nini linaniumiza.

Kama kungekuwa na machaguzi ya kuchagua uzaliwe vipi au wapi hakika bila kusita nisingeweza kuchagua kuzaliwa Afrika au kuwa mwafrika.

Mbaya zaidi nimezaliwa Afrika tena Afrika yenyewe Tanzania hili jambo linaniuma sana naona ni makosa makubwa sana mimi kuzaliwa hapa hili jambo lina niuma sana.

Sijivunii kwa chochote kuwa Muafrika na Mtanzania naomba niweke wazi hili kwa maumivu nayo pitia hayana mfano kabisa.

Wewe ni jambo gani lina kuumiza sana maisha mwako mpaka sasa hata ukijaribu kulikwepa maumivu haya ondoki njoo tu share maumivu ?
Bandari
 
Back
Top Bottom