Wadau wa Siasa toeni elimu juu ya maumivu tarajiwa ya bajeti 2022-2023

Jun 13, 2022
8
9
Ukifuatilia mitandaoni na kwenye vyombo mbali mbali vya habari utaona watu/waandishi wa habari wengi (wenye weredi mdogo wa uchambuzi wa masuala ya bajeti) wakiandika na kusifia yale mema tu waliyoyaona kwenye bajeti ya mwaka huu (2022) vitu kama kuondoa/kusitisha ada za wanafunzi wa kidato cha sita na kuongeza kodi ya nywele bandia….

Lakini sijaona mtu au chombo chochote cha habari kikuzungumzia ugumu au changamoto za bajeti hii pengine tusubiri labda wanajipanga. Kukosekana kwa wabunge wa upinzani bungeni kutafunika maovu mengi yaliyomo kwenye bajeti ya 2022..

Kwa machache niliyoyasikia jana wakati Waziri anasoma bajeti, ile kwa kifupi alikuwa anajaribu kuuma na kupuliza wakati anasoma bajeti ya jana kwa kutumia maneno kama Mh.Rais Ametutuma/Mh Rais ameagiza..Mama anaupiga mwing…tuna jambo letu…tusimuangushe Mama… achilia mbali kejeli nyingine ndogo ndogo za kuwataja ""utopolo" kwa ufupi ile bajeti ni one man show kwa jinsi nilivyoona Mama hapa anasingiziwa.. hii yote ikiwa ni kujikomba kwa Mama ambaye nina uhakika ushiriki wake katika kuchangia mawazo kwenye bajeti hii hauzidi hata 20%. Haya ni machache ni nimeona japo najua yapo mengi yasiyofaa kwenye bajeti hii..

1. Waziri anataka apewe mamlaka ya kutao misamaha ya kodi kwa wawekezaji wakubwa ...hapa ndipo sehemu kubwa ya kupiga pesa kwa ajili ya kampeni (lile jambo lake) na yupo makini saana akishapewa hii nafasi..

2. Ameongeza wigo wa kodi sehemu kibao hata sisizo stahili kwa kumvika Mama kilemba cha ukoka kwamba anaupiga mwingi na huko ndiko atapata pesa zaidi.

3. Amewavika wabunge wenzake kilemba cha ukoka kwa kuwaongeza pesa za mfuko wa jimbo kusudi wazidi kujiimarisha majimboni kwa kutumia pesa za jimbo...huku akifidia pesa hizo kwenye kuongeza kodi kwenye sekta ya muhimu ya mawasiliano (ving’amuzi). Wakati dunia ya sasa inaondoa kodi kwenye mawasiliano kwa ajili ya kuimarisha digitalization yeye anaongeza kodi…

4. Ameliongezea bunge /na Spika bajeti zaidi eti maswala ya kuwajengea uwezo.Hivi kuna watu wanaoongoza hapa nchini kwa kuhudhuria semina za kuwajengea uwezo kama wabunge wetu?

5. Na Mengine mengi zaidi

Tuna wasubiri kwa hamu wale viongozi wa siasa na vikundi mbali mbali vya maendeleo ambao siku zote wamekuwa wakijitokeza kutoa maoni yao baada ya bajeti ya serikali kusomwa huku wengi wao wakipinga na kukosoa pale inapobidi.

Yuko wapi ZITO....amekuwa siku zote mtu wa kwanza kutoa maoni yake ili hali wakati mwingine yeye alikuwa mbunge aliyeshirikia kupitisha bajeti hiyo...mara hii sio mbunge atoke aeleze mazuri na mabaya ya bajeti hii..Yuko wapi Mbowe...wapi Msigwa, vipi mzee Bbatia? Prof Lipumba tunawasubir kwa dhati...tokeni mafichoni...

Tuliambiwa na chama kikuu cha upinzani kuwa wao sasa ni wabunge wa wananchi...mko wapi sasa jitokezeni fanyeni makongamano kuwaelimisha wantanzani juu ya nia ovu ya aziri wa fedha ....kwa kifupi ana jambo lake…
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
10,588
11,113

Ipo michoro haijafutika bado ,amkeni🤔
 
mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
3,158
6,794

Bunge kuwa kama la chama kimoja linakosa msisimko kabisa. Mathalani, Bunge lililopita lilikuwa na uwasilishaji wa bajeti mbadala ya kambi rasmi ya upinzani.

Hii ilikuwa ni fursa nzuri ya kuonyesha mapungu yaliyopo katika bajeti iliyowasilishwa na serikali. Labda kwa kuwa ni siku ya jana tu ndipo ambapo ilisomwa na waziri mwenye dhamana, pengine tutegemee kupitia mijadala na michango ya wabunge wachache makini na wenye kujitambua tunaweza kupata mapungufu hayo.
 
The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
17,754
12,367
Ukifuatilia mitandaoni na kwenye vyombo mbali mbali vya habari utaona watu/waandishi wa habari wengi (wenye weredi mdogo wa uchambuzi wa masuala ya bajeti) wakiandika na kusifia yale mema tu waliyoyaona kwenye bajeti ya mwaka huu (2022) vitu kama kuondoa/kusitisha ada za wanafunzi wa kidato cha sita na kuongeza kodi ya nywele bandia….

Lakini sijaona mtu au chombo chochote cha habari kikuzungumzia ugumu au changamoto za bajeti hii pengine tusubiri labda wanajipanga. Kukosekana kwa wabunge wa upinzani bungeni kutafunika maovu mengi yaliyomo kwenye bajeti ya 2022..

Kwa machache niliyoyasikia jana wakati Waziri anasoma bajeti, ile kwa kifupi alikuwa anajaribu kuuma na kupuliza wakati anasoma bajeti ya jana kwa kutumia maneno kama Mh.Rais Ametutuma/Mh Rais ameagiza..Mama anaupiga mwing…tuna jambo letu…tusimuangushe Mama… achilia mbali kejeli nyingine ndogo ndogo za kuwataja ""utopolo" kwa ufupi ile bajeti ni one man show kwa jinsi nilivyoona Mama hapa anasingiziwa.. hii yote ikiwa ni kujikomba kwa Mama ambaye nina uhakika ushiriki wake katika kuchangia mawazo kwenye bajeti hii hauzidi hata 20%. Haya ni machache ni nimeona japo najua yapo mengi yasiyofaa kwenye bajeti hii..

1. Waziri anataka apewe mamlaka ya kutao misamaha ya kodi kwa wawekezaji wakubwa ...hapa ndipo sehemu kubwa ya kupiga pesa kwa ajili ya kampeni (lile jambo lake) na yupo makini saana akishapewa hii nafasi..

2. Ameongeza wigo wa kodi sehemu kibao hata sisizo stahili kwa kumvika Mama kilemba cha ukoka kwamba anaupiga mwingi na huko ndiko atapata pesa zaidi.

3. Amewavika wabunge wenzake kilemba cha ukoka kwa kuwaongeza pesa za mfuko wa jimbo kusudi wazidi kujiimarisha majimboni kwa kutumia pesa za jimbo...huku akifidia pesa hizo kwenye kuongeza kodi kwenye sekta ya muhimu ya mawasiliano (ving’amuzi). Wakati dunia ya sasa inaondoa kodi kwenye mawasiliano kwa ajili ya kuimarisha digitalization yeye anaongeza kodi…

4. Ameliongezea bunge /na Spika bajeti zaidi eti maswala ya kuwajengea uwezo.Hivi kuna watu wanaoongoza hapa nchini kwa kuhudhuria semina za kuwajengea uwezo kama wabunge wetu?

5. Na Mengine mengi zaidi

Tuna wasubiri kwa hamu wale viongozi wa siasa na vikundi mbali mbali vya maendeleo ambao siku zote wamekuwa wakijitokeza kutoa maoni yao baada ya bajeti ya serikali kusomwa huku wengi wao wakipinga na kukosoa pale inapobidi.

Yuko wapi ZITO....amekuwa siku zote mtu wa kwanza kutoa maoni yake ili hali wakati mwingine yeye alikuwa mbunge aliyeshirikia kupitisha bajeti hiyo...mara hii sio mbunge atoke aeleze mazuri na mabaya ya bajeti hii..Yuko wapi Mbowe...wapi Msigwa, vipi mzee Bbatia? Prof Lipumba tunawasubir kwa dhati...tokeni mafichoni...

Tuliambiwa na chama kikuu cha upinzani kuwa wao sasa ni wabunge wa wananchi...mko wapi sasa jitokezeni fanyeni makongamano kuwaelimisha wantanzani juu ya nia ovu ya aziri wa fedha ....kwa kifupi ana jambo lake…
Sasa Kwa hayo aliyopendekeza wewe unaona yana shida gani?

Hutaki kulipa Kodi na unataka Wigo wa walipakodi uwe kidogo au?

Waziri kutoa misamaha haijaanza leo wala Jana .
 
Others

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
1,108
2,298
Hata wawe na Bajeti nzuri kiasi gani, bado Mapungufu yapo hasa ya kitaalamu na kwaajili ya kujinufaisha wenyewe au Wafanyabishara wachache.

Wajuvi wa Kuchambua Mapungufu watatoka nje ya Bunge na sio ndani. Weka mbali walamba Asali.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

2 Reactions
Reply
Top Bottom