Kwa aina ya viongozi wanaoteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaipeleka wapi Tanzania?Ndio kusema tutateua kwa nguvu ya kuumiza wengine?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,123
Kuna wakati tunasema tuna deep state, kuna wakati tunasema tunategemea Mungu na kuna wakati tunasema tunatengeneza kizazi za watu waadilifu.

Tumeona janga kubwa lililopo sasa kwamba nchi nzima vijana wenye nguvu ni wale waliotuhumiwa kutumia madaraka vibaya, waliojitolea kuwa chawa na watoto wa viongozi.

Tunaporuhusu Taifa likaongozwa na makundi tajwa hapo juu tunaruhusu kutawaliwa na wenye akili kutoka nje. Tunaweza tukadhani tunapambana na upinzani lakini tunapambana na watanzania wa CCM na wasio wana CCM.

Kila mtu anafahamu namna watu walivyopata matatizo kupitia vijana wanaorejeshwa ofisini. Yamkini wanaogopeka na mfumo ila hatuna mwisho mwema.

Ipo siku watawakwa tamaa na hapo ndipo watakapodhuru watetezi wao. Ogopa kumwaga damu ya mtu
 
Wew endelea kupanua domo tu dada angu.

Wenzako unaowapigania tayari washawekeza kwa mabeberu muda mrefu kwa faida yao, na familia zao.
 

Attachments

  • Screenshot_20231022-135457.png
    Screenshot_20231022-135457.png
    25.3 KB · Views: 1
Wew endelea kupanua domo tu dada angu.

Wenzako unaowapigania tayari washawekeza kwa mabeberu muda mrefu kwa faida yao, na familia zao.
Akili za, kichawi Sana, yani MTU kuwa na watoto wenye uraia wa, USA, ana kuwa, MTU mbaya kuliko viongozi, wako,wanaofuja Mali ya, umma,na, kuleta ufukara kwa wananchi,
 
Ccm imejaa majambazi. Kwahiyo wanaofaa kuwa viongozi kwenye chama na serikali ya kijambazi lazima wawe ni majambazi . Sabaya is loading..........!

Akina Lucas mwashambwa watasubiri sana.
 
Back
Top Bottom