kimaadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nkaburu

    Kuvuja kwa video ya vijana wanaotuhumiwa kujihusisha na uchawi ni kinyume na sheria

    Watanzania wenzangu poleni na mihangaiko na Shughuli zenu. Jana katika peruzi zangu nilikutana na Thread ya Mjanja M1 ikionyesha Video ya watoto/vijana wadogo wakihojiwa na Polisi. Nilishangaa, na nikahuzunika, awali ya yote issue hiyo ikaibua maswali. Sasa najua hapa ni kwa wabobezi wa masuala...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

    Kwema Wakuu! Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo. Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu...
  3. MchunguZI

    UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

    Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila. Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama...
  4. A

    Asilimia kubwa ya watoto kuanzia miaka 10+ wameharibika kimaadili

    Gwala kwa wana Jeifu, Niende kwenye mada, kwa siku za hivi karibuni nimeshuhudia vituko na vibweka vya watoto wa miaka 10 na kuendelea kwa jinsia zote mbili (kike na kiume). Watoto hawa wana tabia za ajabu na wanayoyaongea na kuyafanya mengi yamewapita umri kabisa. Shida imeanzia wapi? Ili...
  5. N

    NSSF ifanyiwe ukaguzi wa uhakika kimaadili na kiutendaji

    Habari wana JF! Ndugu zangu ninawaomba kila mmoja kwa wakati wake akiweza apite kwenye tawi lolote la NSSF nchini atake kupatiwa huduma yeyote ajionee jinsi pesa za walipa kodi zinavyotumika kulipa wapiga stori wanaojiita wafanyakazi. Nimewahi kufika tawi la Arusha mjini kwenye kitengo cha...
  6. Hotuba za Mnyonge

    SoC03 Hapa Kazi 2, App ya Kizalendo na Kimaadili maalum kujenga Uhuru wa Fikra kwa jamii

    Hayati John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi wa kipekee ambaye alitumika na Mungu kuchochea mabadiliko makubwa katika fikra za Waafrika. Uongozi wake ulithibitisha kuwa muundo wa utawala wa ujamaa na kujitegemea unawezekana kwa kuanza na kujitegemea kifikra. Tanzania imepata bahati nyingine ya...
  7. M

    Zanzibari kukataza wanaume kusuka sio jambo la kimaadili ila ni chanzo kipya cha uchumi

    Labda ningependa kuwatafakarisha watanzania wenzangu kwa jambo hili. Hivi tunaweza kutoza shilingi ngapi ili kuruhusu mtu kuzidisha mwendo kasi kwenye barabara za makazi ya watu? Au kumruhusu mtu kukata viungo vya albino? Au kufanya uwindaji haramu kwenye mbuga na bahari? Ninacho jaribu kusema...
  8. U

    Taifa lililokufa kimaadili, rushwa, uwizi, ubakaji, dhuluma kila mahali

    Nchii hii haina maadili hata sehemu Moja, nimejaribu kuchunguza juu juu ni kwamba hamna uaminifu hata sehemu Moja, uraiani, biasharani, Serikalini. 1. Serikali inaiba uchaguzi wazi wazi 2. Kupata tenda Serikalini mpaka uhonge au Kiongozi mkubwa awe nyuma yako 3. Kupata uteuzi , Kuna kikundi...
  9. The unpaid Seller

    Swali: Kimaadili ya dini je mtu alietoa mahari nusu humalizia kulipa iliyosalia kwa taratibu zipi ?

    Peace, Wakuu ningependa kujuzwa kwa misingi ya dini zetu Uislamu na Ukristu, je mahali iliyolipwa nusu humaliziwa kulipwa kwa utaratibu upi kimaadili ya dini zetu ?! Kwa majibu yatakayotolewa ningependa kupata rejea za maandiko najua jambo hili limeelezwa vyema katika vitabu vya dini hasa Uislamu.
  10. chiembe

    Hivi Jaji Biswalo ana mamlaka ya kimaadili kutoa hukumu? Yaani na yeye huko aliko anafunga wezi na wanaotumia mamlaka vibaya?

    Sipati majibu. Hivi kweli Sasa hivi ninapoandika hii post JF, Jaji Biswalo anaenda mahakamani, anapigiwa saluti, anasikiliza kesi za wezi, wanaotumia mamlaka vibaya, halafu anawafunga? Kweli kabisa? Mtu ambaye ametapakaa Kila aina ya tuhuma, anaenda kuwafunga watu ambao alitakiwa awe nao...
Back
Top Bottom