UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,009
2,173
Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.

Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama ilivyopangwa, wanafunzi 40,000. Kinakadiriwa kuwa na wanafunzi 25,000 tu. Ina maana miundombinu iliyopo, bado inatumiwa chini ya kiwango. Kwa nini chuo cha aina hiyo kianzishe kampasi nyingine mkoani Njombe?

Njombe ni mkoa mdogo sana ulio karibu na Iringa, na Mbeya na tayari Iringa kuna tawi la Chuo kikuu cha Dar es Salaam na Mbeya kuna chuo kikuu cha MUST! Huu uamuzi ulio na ukabila ndani yake.

VC wa UDOM anatoka mkoa wa Njombe. Ukiilinganisha na mikoa mikongwe isiyokuwa na matawi ya vyuo vikuu vya serikali huu siyo uamuzi wenye sababu. Kwa upande wa bara njombe ndo mkoa wenye idadi ndogo kabisa ya watu, kiasi cha laki 9 tu! Je, kwa idadi hiyo na ukiwa karibu na tawi la UDSM na MUST ya Mbeya, kuna dsababu ya kuwa na tawi la chuo ambacho hakijatimiza malengo ya kampasi kuu yake?

Maoni yangu tawi hilo lingepelekwa Mkoani Lindi au Mtwara ili kupunguza usafiri wa wanafunzi watakaopenda kubaki mikoa ya Kusini. Au lipelekwe KIgoma. Tuache ukabila wa kiasi hiki!
 
Yaani ka-mkoa kenye watu laki 8! Kamkoa kasikokuwa na wasomi! Mwanafunzi atakayekwenda kusoma huko anatafuta kulogwa tu!

Mikoa ya Kigoma, Shinyanga, Lindi na Mtwara inastahili heshima hiyo kwa wingi wa watu. Hope Njombe ni bonge ya ukabila.
VC Kusiluka anatoka Njombe
Katibu mkuu kionmgozi anatoka Njombe
Hapo kuna shida!

btw. Nimedokezwa huo haukuwahi kuwa mpango wa UDOM. Umezushwa na Kusiluika alipohamishiwa hapo, na mradi wa HEET ulianza akiwa ahajahamishiwa hapo. Ina maana amegeuza uelekeo wa pesa za chuo.
 
Yaani ka-mkoa kenye watu laki 8! Kamkoa kasikokuwa na wasomi! Mwanafunzi atakayekwenda kusoma huko anatafuta kulogwa tu!

Mikoa ya Kigoma, Shinyanga, Lindi na Mtwala inastahili heshima hiyo kwa wingi wa watu. Hope Njombe ni bonge ya ukabila.
VC Kusiluka anatoka Njombe
Katibu mkuu kionmgozi anatoka Njombe
Hapo kuna shida!

btw. Nimedokezwa huo haukuwahi kuwa mpango wa UDOM. Umezushwa na Kusiluika alipohamishiwa hapo, na mradi wa HEET ulianza akiwa ahajahamishiwa hapo. Ina maana amegeuza uelekeo wa pesa za chuo.
Mtwala ni wapi wewee??
 
Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.

Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama ilivyopangwa, wanafunzi 40,000. Kinakadiriwa kuwa na wanafunzi 25,000 tu. Ina maana miundombinu iliyopo, bado inatumiwa chini ya kiwango. Kwa nini chuo cha aina hiyo kianzishe kampasi nyingine mkoani Njombe?

Njombe ni mkoa mdogo sana ulio karibu na Iringa, na Mbeya na tayari Iringa kuna tawi la Chuo kikuu cha Dar es Salaam na Mbeya kuna chuo kikuu cha MUST! Huu uamuzi ulio na ukabila ndani yake.

VC wa UDOM anatoka mkoa wa Njombe. Ukiilinganisha na mikoa mikongwe isiyokuwa na matawi ya vyuo vikuu vya serikali huu siyo uamuzi wenye sababu. Kwa upande wa bara njombe ndo mkoa wenye idadi ndogo kabisa ya watu, kiasi cha laki 9 tu! Je, kwa idadi hiyo na ukiwa karibu na tawi la UDSM na MUST ya Mbeya, kuna dsababu ya kuwa na tawi la chuo ambacho hakijatimiza malengo ya kampasi kuu yake?

Maoni yangu tawi hilo lingepelekwa Mkoani Lindi au Mtwara ili kupunguza usafiri wa wanafunzi watakaopenda kubaki mikoa ya Kusini. Au lipelekwe KIgoma. Tuache ukabila wa kiasi hiki!
Acha roho mbaya wewe 😠😠, nenda kajinyonge kama unaumia.
 
Licha ya Hilo mkuu njombe kuna ukimwi San watoto wetu wataambukizwa magonjwa ya zianaa ikiwa watarundikana njombe mji

Udom inatosha kwa hapa dodoma
 
Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.

Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama ilivyopangwa, wanafunzi 40,000. Kinakadiriwa kuwa na wanafunzi 25,000 tu. Ina maana miundombinu iliyopo, bado inatumiwa chini ya kiwango. Kwa nini chuo cha aina hiyo kianzishe kampasi nyingine mkoani Njombe?

Njombe ni mkoa mdogo sana ulio karibu na Iringa, na Mbeya na tayari Iringa kuna tawi la Chuo kikuu cha Dar es Salaam na Mbeya kuna chuo kikuu cha MUST! Huu uamuzi ulio na ukabila ndani yake.

VC wa UDOM anatoka mkoa wa Njombe. Ukiilinganisha na mikoa mikongwe isiyokuwa na matawi ya vyuo vikuu vya serikali huu siyo uamuzi wenye sababu. Kwa upande wa bara njombe ndo mkoa wenye idadi ndogo kabisa ya watu, kiasi cha laki 9 tu! Je, kwa idadi hiyo na ukiwa karibu na tawi la UDSM na MUST ya Mbeya, kuna dsababu ya kuwa na tawi la chuo ambacho hakijatimiza malengo ya kampasi kuu yake?

Maoni yangu tawi hilo lingepelekwa Mkoani Lindi au Mtwara ili kupunguza usafiri wa wanafunzi watakaopenda kubaki mikoa ya Kusini. Au lipelekwe KIgoma. Tuache ukabila wa kiasi hiki!
Tupeleke Kilimanjaro au Arusha.
 
Siupingi ushauri wako ila nataka nikusahihishe kidogo.

Idadi ya watu waliohesabiwa wakati wa sensa, kiuhalisia hakuna uhusiano na idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa vyuo vikuu. Miaka ya 1990, wakati wa utawala wa Mwinyi, chuo kikuu kilifungwa kwa sababu ya mgomo wa wanachuo. Wanachuo wote waliamriwa kila mmoja kuripoti mkoani kwake, akianzia kwenye Serikali ya kijiji na kisha wilayani.

Mwisho wa zoezi lile zilitolewa takwimu za wanachuo wote kwa kadiri walivyoripoti vijijini, wilayani na mikoani kwao.

Matokeo yake yalikuwa:

1) Mkoa uliokuwa na wanachuo wengi UDSM kuliko mkoa wowote, ni Kagera.

2) Wa pili ulikuwa ni mkoa wa Kilimanjaro

3) Wa tatu ulikuwa Mbeya.

4) Wa nne ulikuwa mkoa wa Iringa

Dar es Salaam yenye idadi kubwa maradufu kuliko mikoa yote, haukuwemo hata katika ile mikoa 5 yenye wanachuo wengi UDSM.

Njombe inaweza kuwa na idadi ndogo ya wakazi waliohesabiwa wakiwa Njombe. Lakini wakawepo wengi waliohesabiwa wakiwa maeneo mbalimbali ya nchi. Huo mkoa, wakazi wake ni watafutaji sana wa fursa. Popote penye fursa watakuwepo. Hiyo ni kuanzia kwenye fursa za Elimu mpaka fursa za kiuchumi.

Ukienda israel ukawahesabie Wayahudi, hawafiki hata 6m. Lakini Waisrael wanaoishi nje ya Israel, ni zaidi ya 19m. Ukiwatazama waisrael waliopo Israel tu, utasema Israel ni nchi yenye watu wachache sana.

Njombe kuna tawi pia la chuo kikuu cha Tumaini. Sijui kama na wao wamefuata ukabila!

Mimi nadhani, vyuo, ni kama mabenki, utashangaa mabenki karibia yote yapo Kahama na siyo Shinyanga au Tabora. Mabenki hufanya utafiti wake wa ndani ili kujua mahali penye pesa. Kuna maeneo watu wana mwamko zaidi wa elimu, kuna maeneo watu wana mwamko zaidi wa biashara, uvuvi, ufugaji kuliko masuala ya Elimu. Ukipeleka huko shule yako utaishia kukaa na majengo yako bila wanafunzi.

Kabla ya shule za kata, mkoa wa Iringa ndio uliokuwa unaongoza kwa idadi ya sekondari za Serikali kuliko mkoa mwingine wowote. Je, ilikuwa ni ukabila? Niliwahi kuambiwa na afisa mmoja wa Serikali kuwa kilichosaidia Iringa kuwa na shule nyingi ilikuwa ni pamoja na hali nzuri ya hewa inayotengeneza mazingira mazuri ya kusoma. Akidai kuwa miongoni mwa maeneo mabaya ya kusomea ni Dar ambayo ina joto kali na humidity kubwa inayosababisha wanafunzi kuwa wachovu wakati wote.

Nadhani ni vema kujenga hoja ya kupinga au kukubali bila ya kujenga fikra za ukabila, ambazo kimsingi haupo. Ukiacha kabila la wasukuma ambalo ni kubwa, Tanzania ina vikabila vidogo vidogo sana kiasi cha kuwa na mchango mdogo katika kufanikisha takwa la mtu anayetaka kutumia ukabila.
 
Back
Top Bottom