ianzishe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Serikali ianzishe Kodi ya ukahaba itakusanya trilioni 12 kwa mwaka.

    Kodi ya ukahaba siyo jambo geni duniani, ipo katika baadhi ya mataifa yanayotupatia misaada.. Ni ujinga kutoikusanya fedha Kodi hii kwa kisingizio cha maadili, mila na tamaduni zetu huku tukiipata kwa njia ya msaada. Kwa mujibu wa senza ya 2022, idadi ya wanawake ni milioni 56. Robo yake ni...
  2. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Kilimo Ianzishe Dawati la Kusikiliza Kero za Wafanya Biashara

    MHE. EDWIN SWALLE - WIZARA YA KILIMO IANZISHE DAWATI LA KUSIKILIZA KERO ZA WAFANYABIASHARA MAGETINI Mbunge wa Jimbo la Lupembe Mkoa wa Njombe, Mhe. Edwin Enosy Swalle ameshauri Wizara ya Kilimo kuanzisha dawati maalum la kusikiliza na kushughulikia kero za wafanyabiashara kutokana na changamoto...
  3. S

    SoC03 Serikali ianzishe utaratibu wa kuwashughulikia viongozi wa dini wanaohatarisha maisha ya watu

    Kutokana na madhara yanayoendelea kuwapata watu kutokana na mafundisho au maelekezo ya baadhi ya Viongozi wa Dini kwa ajili ya kutimiza haja zao au kutimiza mahitaji yao na matamanio ya mioyo yao, imepelekea kuathiri maisha ya watu kwa namna moja au nyingine. Kutokana na athari hizo zinazo...
  4. The Boss

    Serikali ianzishe "Maafisa Kodi wa Kata" na TRA ianzishe "mawakala" wa TRA

    Huu mzozo wa Kodi Kariakoo ni sehemu ndogo Sana ya matatizo ya Kodi nchini. Matokeo yake kuna wasiolipa Kodi wakiamini ni ujanja. Kuna wanaolipa Kodi zaidi ya kiwango wakikosa elimu husika. Kuna wasiolipa Kodi stahiki pia wakikosa elimu stahiki ya Kodi n.k.. Ushauri wangu Kwa serikali lazima...
  5. Hismastersvoice

    Ushauri: Serikali ianzishe kikosi cha Jeshi la Polisi Mazingira

    Kama Serikali ina nia ya dhati kufaulu kwenye usimamizi wa mazingira, Serikali haina budi kuanzisha kikosi cha jeshi la polisi mazingira. Suala la uchafuzi wa mazingira ni la saa 24 hivyo haliwezi likasimamiwa na watumishi wa wizara ambao hawana nyenzo za kuwadhibiti wahalifu.
  6. Erythrocyte

    Dodoma: Mbunge aomba uanzishwe mtaala wa Utajiri mashuleni

    Mbunge wa Ngara ameiomba serikali kuanzisha mtaala mpya wa Utajiri mashuleni ili kuwezesha Wahitimu kuwa na ari ya uwekezaji wanapomaliza masomo yao , amesema jambo hilo ni muhimu likafanyika ili kuleta akili mpya vichwani mwa watu na kuondoa ile dhana kwamba kila Tajiri ni fisadi . Ameshangaa...
  7. Mwl Athumani Ramadhani

    Kutokomeza Panya road na Watoto wa mitaani, serikali ianzishe operation ya "Kamata jiunge JKT"!

    Hao vijana Wana nguvu za kutosha zilizokosa mpenyo ndio maana wanatusumbua mtaani! Nchi yetu ina ardhi ya kutosha sana ya kuendesha kilimo na ufugaji,kamata vijana Hawa peleka jkt wakalijenge Taifa letu kuliko kuwa wakabaji! Operation "Kamata jiunge jkt tumikia Taifa lako"inawafaa Sana Hawa...
  8. Kiboko ya Jiwe

    Serikali ianzishe kodi ya kichwa haraka, Watanzania wanapenda ujanjaujanja

    Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba na serikali kwa ujumla msiwaonee huruma Watanzania. Wengi wamezoea kuishi kwa madili na wizi. Serikali inapoteza kiasi kikubwa cha fedha kwakuwa watu wanaikwepa. Kuna rafiki yangu ana biashara kwa siku faida ni 200,000 lakini kwa mwaka alikuwa...
  9. S

    Wazo: Serikali ianzishe kura ya maoni wananchi wafichue Ofisi, Idara, Vitengo na Taasisi za Serikali zilizokithiri kwa urasimu nchini

    Moja ya vitu vinavyokera sana nchi hii ni urasimu ulioko katika maofisi, idara, vitengo na taasisi mbalimbali za serikali.,urasimu unaopaswa kuwekewa mkakati maalumu kudhibiti. Urasimu huu sio kero tu watanzania, bali hata kwa wageni wakiwemo wawekezaji wanaotafuta vibali au huduma nyingine...
  10. Bushmaster

    SoC02 Serikali ianzishe Shirika la Umma la Usafirishaji wa abiria kwa njia ya barabara mikoani

    Usafirishaji ni kitendo cha kutoa bidhaa au kupeleka watu kutoka sehemu moja hadi nyingine, kitendo hicho kinaweza kufanywa kwa kutumia njia mbalimbali za usafiri( mode of transport) kama kwa njia ya maji,barabara,reli, na anga Usafirishaji ndio tendo pekee ambalo humaliza machakato mzima wa...
  11. T

    Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

    Nimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija. Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
  12. chiembe

    Wizara inayohusika na teknokojia ya habari na mawasiliano/ya fedha ianzishe kurugenzi ya uchumi wa kidijitali (digital economy)

    Nashauri wizara ya fedha, wizara ya teknokojia ya habari na mawasiliano zijikite katika kupenyeza na kueneza masuala ya uchumi ya kijiditali(digital economy). Waitwe wataalamu kutoka nyanja zote wafanye presentation na michakato ya jinsi watanzania wanaweza kufaidika na kuutumia uchumi wa...
  13. chiembe

    Baada ya kauli ya Dk Slaa: Serikali ianzishe uchunguzi dhidi ya Chadema kabla hawajamalizana wao kwa wao

    Serikali ianze kufuatilia hawa Chadema kabla hawajamalizana wait kwa wao, kama wanatekana na kuuwana, serikali ichunguze, vyama vya hivi havustahili hata kuwa na usajili
  14. jiwe angavu

    Serikali anzisheni kampeni maalum ya kilimo cha mazao ya Mafuta

    Wasalaam, Naomba kutoa wito kwa serikali hususani wizara ya kilimo chini ya Mheshimiwa Bashe kuanza mkakati kabambe wa kuwekeza kwenye kilimo cha mazao ya mafuta kama alizeti, karanga, ufuta, michikichi n.k Kwa hali iliyopo ambapo nchi uzalishaji wa mafuta ya kula ni 45% na tunaagiza 55% bado...
Back
Top Bottom