Serikali ianzishe Kodi ya ukahaba itakusanya trilioni 12 kwa mwaka.

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Kodi ya ukahaba siyo jambo geni duniani, ipo katika baadhi ya mataifa yanayotupatia misaada..

Ni ujinga kutoikusanya fedha Kodi hii kwa kisingizio cha maadili, mila na tamaduni zetu huku tukiipata kwa njia ya msaada.

Kwa mujibu wa senza ya 2022, idadi ya wanawake ni milioni 56. Robo yake ni watoto, (milioni 14), hivyo wanabakia wanawake milioni 42.

Robo ya wnawake milioni 42 ni wazee, (milioni 10.5), wanabkia wanawake milioni 31.5 wenye uwezo wa kufanya ngono. Robo ya hawa wenye uwezo wa kufanya ngono wako kwenye ndoa (milioni 7.825), wanabki wanawake milioni 24 wasio na waume na wenye uwezo wa kufanya ngono.

Nusu hawa wasio na waume na wenye uwezo wa kufanya ngono wanafanya kazi nyingine za kuwaingizia kipato (milioni 12) hivyo wanabaki wanawake milioni 12 wanaoweza kuitegemea biashara ya ukahaba.

Kila mmoja akisajiliwa na kulpa Kodi ya shilingi laki moja tu kwa mwaka tutapata trilioni 12 kwa mwaka.

Tukusanye Kodi ya ukahaba ama tusikusanye ukahaba umeshamiri Tanzania. Tuamue sasa
 
We jamaa una akili sana,
Kama tunakusanya za kondomu,lodge unamofanyika uzinzi na za pombe na sigara sioni ajabu kukusannya za makahaba
 
Kwa hilo halitawezekana kwa bongo
Ila labda kila anaeshikwa awe dume au jike kahaba wote wapigwe faini ya 20,000
Nafikiri itapita hata hizo
 
Mtoa mada uko sahihi. Inaonekana ngumu kwa sasa tu, ila baada ya miaka 30 andiko lako litakuwa referenced bungeni na mtoa hoja kama hii.
 
Back
Top Bottom