The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,899
Huu mzozo wa Kodi Kariakoo ni sehemu ndogo Sana ya matatizo ya Kodi nchini.
Matokeo yake kuna wasiolipa Kodi wakiamini ni ujanja. Kuna wanaolipa Kodi zaidi ya kiwango wakikosa elimu husika. Kuna wasiolipa Kodi stahiki pia wakikosa elimu stahiki ya Kodi n.k..
Ushauri wangu Kwa serikali lazima hasa Kwa majiji makubwa kama Dar na mengine akawepo "afisa Kodi WA kata".. huyu kazi yake kubwa kuelimisha mwananchi Umuhimu WA Kodi na why alipe Kodi na Kodi stahiki Kwa Aina ya kipato chake ni ipi......akiwepo afisa Kodi WA kata atasaidia pia kuishauri serikali Kodi kero za kufutwa ....huyu afisa Kodi atahusika na Kodi zote .ziwe za TRA, za manisapaa... ushuru, tozo... kazi yake ni kuishauri serikali kupanga viwango husika na kutoa elimu Kwa mwananchi...
Kingine TRA sasa wawe na mawakala wa TRA... kazi Yao ni kuisaidia tra makusanyo Kwa ukaribu... mawakala since itawalipa hiyo kazi Kwa commission wanaweza kuwa Wengi mitaani... TRA ikawa train na kuwapa miiko ya kazi ...na wakawa wanafanya kazi chini ya afisa Kodi WA kata... cha muhimu ni system nzuri itakayokuwa transparent na itasaidia sana kuepusha migogoro na watu kukwepa kodi....
Mwisho kila Mtanzania sasa alipwe tax returns na aelimishwe faida za Kodi Kwa Taifa ...hii pia itasaidia sana watu kutokukwepa Kodi ..