wizara ya kilimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania NANE NANE ITIMIZE MALENGO YAKE, ISIISHIE KUWA GULIO — USHAURI KWA WIZARA YA KILIMO

    Wakuu, Nadhani umefika wakati Wizara ya Kilimo iangalie upya namna tunavyoendesha Maonesho ya Nane Nane nchini ili yawe na matokeo makubwa zaidi kwa mkulima na sekta ya kilimo kwa ujumla. Kwanza, Nane Nane isiishie kuwa gulio kubwa la kila aina ya bidhaa, vyakula na burudani. Hayo yana...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mifugo yaanza kampeni ya kunywa maziwa shuleni Wilayani Rungwe

    Dkt. Mackrina Nombo, Mtaalamu wa Lishe Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia Mradi wa Mageuzi ya Tasnia ya Maziwa na Mabadiliko ya Tabianchi ulio chini ya Wizara hiyo unaofadhiliwa na Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) imeanza kampeni ya unywaji wa maziwa shuleni ikiwa ni hatua...
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wizara ya Kilimo tuambieni wakulima kuwa Tanzania hakuna mbolea tujue moja ila sio kwa mateso haya

    Habari zenu wakuu!!! Naiomba wizara ya kilimo kupitia mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa Mbolea Tanzania, TFRA ijitokeze hadharani kuhabarisha zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania ambao shughuli zao kubwa ni kilimo kuwa mbolea haipatikani ndani ya mipaka ya Tanzania. Wakulima tunahangaika...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo na Wizara ya Viwanda na Biashara zaanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuhusu marufuku ya Lumbesa

    Wizara ya Kilimo na Wizara ya Viwanda na Biashara zaanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kuhusu marufuku ya Lumbesa 📍Nsimbo-Katavi 🗓️Machi 15, 2026
  5. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Kitengo Cha Uzalishaji mazao chini ya wizara ya Kilimo

    Training, Research, Regulations and PRODUCTION. 1). Utafiti wa kilimo(TARI) 2).Uthibitishaji wa mbegu(TOSCI) 3).Kudhibiti wa pembejeo(TPHPA & TFRA) 4).Uzalishaji na Usambazaji mbegu(ASA) 5). FIELD(condition) CROP PRODUCTION (FCP). Mashamba darasa yawe darasa kweli kweli sio kuzugazuga...
  6. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Hatari ya kutoweka kwa ndizi Bukoba (matoke) Mkoani Kagera, Je, Wizara ya Kilimo ina mikakati ipi?

    Kwa miongo kadhaa, ndizi Bukoba zimekuwa zaidi ya chakula kwa wakazi wa Mkoa wa Kagera; zimekuwa msingi wa maisha, utamaduni na uchumi wa jamii nzima. Hata hivyo, nyuma ya taswira ya zao hili lililodumu kizazi hadi kizazi, kuna mabadiliko hatarishi yanayoendelea mashambani na katika mifumo ya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Lini Wizara ya Kilimo itanunua Mahindi Mwaka wa 2025/26? NFRA hawajibu maswali yetu

    Nianze kwa kupongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kweli mnastahili pongezi kubwa. Mimi nina ombi moja, ninaomba nisaidieni kuuliza swali kwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe pamoja na Wizara yake kuwa ni lini Serikali itakuwa na mpango wa kununua Mahindi kwa huu Mwaka wa 25/26...
  8. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Je? Hali ya Wizara ya Kilimo kuhamasisha kilimo cha mazao mbadala katika maeneo waliyokuwa wanalima dawa za kulevya ipo je huko ulipo?

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kupiga vita kilimo cha dawa za kulevya kama bangi na mirungi. Rais Samia amesisitiza kuwa kilimo hicho si tu kinahatarisha afya ya wananchi bali pia kinadidimiza...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Condester Sichalwe Apongeza Ongezeko la Bajeti Wizara ya Kilimo

    CONDESTER SICHALWE APONGEZA ONGEZEKO LA BAJETI WIZARA YA KILIMO Mbunge wa jimbo la Momba Condester Michael Sichalwe ameitazama bajeti ya wizara ya kilimo kama mkombozi kwa wakulima wa mahindi na mpunga kwa kuwa itasaidia kupata Masoko ya nje ambapo pia imeitaka serikali kuhakikisha inatokomeza...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo

    LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameelezea umuhimu wa uanzishwaji wa Mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema la Jimboni mwao. Mbunge huyo ameeleza mengi, yakiwemo yafuatayo: (i) Mhe Rais Dkt Samia...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ndaisaba Ruhoro Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo Bungeni Jijini Dodoma

    NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI KUU YA SERIKALI YA WIZARA YA KILIMO, BUNGENI JIJINI DODOMA Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro tarehe 21 Mei, 20245 amechangia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya Wizara ya Kilimo ambapo amempongeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashe: Bila Rais Samia kuingilia kati 2021, Sekta ya kilimo iliporomoka na kufa. Tunampongeza na kumshukuru kwa kuokoa Kilimo nchini

    My Take Mojawapo ya sekta ambazo Serikali ya Samia imetoa msukimo mkubwa ni Kilimo.Soma Pre GE2025 - Rais Samia atimiza ahadi, amwaga Magari 20 ya kuchimbia Visima bure kwa Wakulima wadogo Hata Mimi nimerudi kuanza kulima tena awamu ya 6 baada ya kuacha 2016 Kwa sababu ya bei mbovu za Kilimo...
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ni Malawi na sio Tanzania itakayoathirika zaidi kwenye mgogoro wa kibiashara unaoendelea. Malawi isichelewe, ichukue hatua zifuatazo!

    Wakuu. Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgogoro mkubwa wa kibiashara kati ya Malawi na Tanzania, mgogoro ambao ukiuangalia kwa umakini, madhara yake yanaweza kuwa makubwa hasa kwa upande wa Malawi. Kama mnakumbuka siku chache nyuma, Malawi iliamua kupiga marufuku uingizaji wa baadhi ya...
  14. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Mpya kutoka wizara ya kilimo: muongozo kwa wanaoomba mkopo mfuko wa pembejeo

    WALENGWA WA MFUKO WA PEMBEJEO 1. Wakulima Binafsi 2. Vikundi 3. Kampuni zilizo sajiriwa 4. Vyama vya ushirika 5. Taasisi za fedha zinazotoa mikopo ya kilimo. AINA ZA MIKOPO A. MKULIMA NAFUU LOAN Huu ni mkopo unaowalenga wanawake na vijana wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 Kwa wanaume na 65 Kwa...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kama unataka mbegu za mazao bora ununue mbegu za Zambia na Kenya,Tanzania hii imejaa watu matapeli na Serikali haijali.

    Sijawahi elewa kiukweli Kwa nini hii Nchi imejaa watu Matapeli na Serikali Haijali kabisa.eg tunawapa wakulima mbegu za mahindi feki, Pamba feki harafu hakuna anaefidia hizo hasara Kwa mkulima. Unajiuliza hivi Kuna Serikali kweli ? Au kazi ya Serikali Huwa ni nini hasa kama haiwezi kujali watu...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Balozi Nchimbi: Wizara ya Kilimo ishughulikie changamoto zilizojitokeza msimu uliopita ili zisijirudie kwenye ugawaji wa pembejeo msimu ujao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 09 Oktoba 2024 akiwa Tinde Shinyanga Vijijini amezungumza na Wananchi na moja ya kero ilikuwa ni Changamoto ya Mfumo Katika ugawaji pembejeo kwani mkulima inamlazimu mtu kutoka asubuhi sana kuwahi lakini akakosa pia ...
  17. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kuna wapotoshaji wameanza kuzisagia ndizi kutoka Bara

    Muswano mdau. Pichani ni moja ya ndizi tamu sana ijulikanayo kama malindi, ndizi hii ambayo huwa inakuwa na vidoadoa vidogo hutofautisha ndizi hii tamu na zile nyingine pichani chini. Nchini Zanzibar, serikali ya mapinduzi Zanzibari iliwahi kupiga marufuku uagizaji na kuingiza mazao na miche...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Agricom yaikabidhi Serikali Trekta 500, Power Tillers 800 na vifaa vingine vya Kilimo

    Kampuni ya Kitanzania ya Agricom imekabidhi vifaa na zana mbalimbali za kisasa za kilimo kwa serikali kupitia Wizara ya Kilimo, wakati wa maonyesho ya Nane Nane yaliyofanyika Dodoma leo. Hafla hiyo imehudhuriwa na Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Dokta Samia Suluhu Hassan, ambaye alishuhudia...
  19. TODAYS

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu Jamaa Hicho Kitengo Kimemfaa, Yaani amekitendea haki

    Picha kwa msaada wa Wizara ya kilimo kitengo cha kuhifadhi nafaka.
  20. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuiuzia mahindi Serikali kupitia NFRA ni mgumu sana

    Wakuu habari za siku nyingi? Bila kupoteza muda ni kwamba tunaishukuru Serikali yetu kwa kutusaidia kupata soko la mahindi lakini tunalia na NFRA.Siku ya jumanne iliyopita,tarehe 24/07/2024; Nilipeleka mahindi yangu NFRA kituo cha Kakozi,mkoa wa Songwe. Nikaelekezwa kuwa niyachekeche...
Back
Top Bottom