Deni la taifa Afrika Kusini limefika dola za kimarekani billion 300

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,734
29,124
Mzuka Wanajamvi.

Deni la taifa linaloongoza kwa uchumi duniani imefika dola za kimarekani billion 300.

Inasikitisha sana Taifa hili kubwa Afrika kiuchumi kufikia hii hatua ambapo ajira zimeshuka, utawala mbovu, ufisadi, uchumi kudorora, uhalifu habari wa umeme etc.

Je wataweza kulipunguza deni hili?
 
Mzuka Wanajamvi.

Deni la taifa la taifa linaloongoza kwa uchumi duniani imefika dollars za kimarekani billion 300.

Inasikitisha sana taifi hili kubwa Africa kiuchumi kufikia hii hatua ambapo ajira zimeshuka, utawala mbovu, ufisadi, uchumi kudorora, uhalifu habari wa umeme etc.

Je wataweza kulipunguza deni hili?
Walikopeshwa nini?
 
Mwafrika bado hajaweza kujitawala. Kwaufupi SA ilikufa siku ilipoondoka Apartheid policy!
 
Mzuka Wanajamvi.

Deni la taifa la taifa linaloongoza kwa uchumi duniani imefika dollars za kimarekani billion 300.

Inasikitisha sana taifi hili kubwa Africa kiuchumi kufikia hii hatua ambapo ajira zimeshuka, utawala mbovu, ufisadi, uchumi kudorora, uhalifu habari wa umeme etc.

Je wataweza kulipunguza deni hili?
Watapeleka mashtaki THE HAGUE COURT kwamba deni sio la kweli lifutwe!
 
Mzuka Wanajamvi.

Deni la taifa la taifa linaloongoza kwa uchumi duniani imefika dollars za kimarekani billion 300.

Inasikitisha sana taifi hili kubwa Africa kiuchumi kufikia hii hatua ambapo ajira zimeshuka, utawala mbovu, ufisadi, uchumi kudorora, uhalifu habari wa umeme etc.

Je wataweza kulipunguza deni hili?
Mimi naumia sana jikiona mataifa yanamadeni makubwa hivi na yameendelea sana huku sisi tukijisifu tunamadeni madogo na hatujaendelea kabisa.

Kukopa ni njia ya kujiletea maendelea pia nchi yetu imezubaa sana inatakiwa ikope sana yaani mnakopa hadi wazungu nywele ziwasisimke huko walipo..
 
Economically South African is dying slowly and white minority are running away to invest somewhere else. It is just a matter of time that the country will be like Zimbabwe where you can not buy a loaf of bread. There some area in South Africa where residents live in shack houses (made by corrugated iron) with very poor sanitation infrastructure.
 
Waendelee na kesi yao dhidi ya Israel ili moto uendelee kuwawakia.......wameyatimba wenyewe kwa kujifanya kimbelembele, juzi hapa timu yao imepigwa 2 kavu na Mali.​
 
Economically South African is dying slowly and white minority are running away to invest somewhere else. It is just a matter of time that the country will be like Zimbabwe where you can not buy a loaf of bread. There some area in South Africa where residents live in shack houses (made by corrugated iron) with very poor sanitation infrastructure.
Na mimi niliviona hivyo vibanda vyao vya mabati, ni balaa......familia za watu weusi zimeshonana humo.
 
Mzuka Wanajamvi.

Deni la taifa linaloongoza kwa uchumi duniani imefika dola za kimarekani billion 300.

Inasikitisha sana Taifa hili kubwa Afrika kiuchumi kufikia hii hatua ambapo ajira zimeshuka, utawala mbovu, ufisadi, uchumi kudorora, uhalifu habari wa umeme etc.

Je wataweza kulipunguza deni hili?
Labda kwa Lugha rahisi kabisa
Madeni ya nchi hayapimwi kwa ukubwa/ kiasi Nchi ilichokopa BALI kwa Nguvu ya uchumi wa Nchi husika
Mfano:
Mama ntilie mwenye mauzo ya shs 450,000 kwa mwezi akiwa na deni la shilingi milioni tatu (3m) huonekana kubwa sana kwake (hakopesheki)
Ila mfanya Biashara mwenye mauzo ya shs milioni tisini(90m) kwa mwezi; akiwa na deni la shilingi milioni 100 ni deni dogo sana kwake (anakopesheka bila shida)
Kwa hiyo Usije kulinganisha deni la mama ntilie na deni la mfanya Biashara wa Kariakoo.
Namaanisha kwa nguvu ya Uchumi wa Africa kusini, hilo deni laweza kuwa bado na himilivu (Wanakopesheka bila shida) pamoja na kwamba ungelileta kwa nchi zetu zenye uchumi mdogo, hilo deni ni kubwa mno (hatungekopesheka)
 
Mzuka Wanajamvi.

Deni la taifa linaloongoza kwa uchumi duniani imefika dola za kimarekani billion 300.

Inasikitisha sana Taifa hili kubwa Afrika kiuchumi kufikia hii hatua ambapo ajira zimeshuka, utawala mbovu, ufisadi, uchumi kudorora, uhalifu habari wa umeme etc.

Je wataweza kulipunguza deni hili?
Kaka hizo ni zaidi ya Tsh.765 Trillions.(hivi bajeti ya Tanzania kwasasa ni Trillion ngapi Kwa Mwaka?!)Kwa taarifa ya msomaji bilionea Elon musk peke yake anautajiri wa Dollar billion 217(Bado billion 83 afikie sawa na deni la nchi ya south Africa 🤭😁
 
Back
Top Bottom