deni la taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa Kupaa, Kunyimwa Mikopo na Ulaya, ilikua ni ngumu sana Kuacha Watanzania Waishi kama Manyani 2026-2030

    Deni lake almaarufu Deni la Mama , baada ya Sauti za Watanzania kua nyingi dhidi yake ,ameshtuka. Ukandamizaji wa Demokrasia, huku Taifa likishuhudia Utekaji, na Mauaji Kwa Idadi ambayo haijawahi shuhudia tangu Uhuru wa Tanganyika . Akaenda Mbali sana Kukandamiza Chama Kikuu Cha Upinzani na...
  2. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa: Nini kimepelekea uongozi wa Rais Samia kukopa kiasi hiki?

    Sikiliza hii video:
  3. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea itafikia hatua ya Watanzania watembea kwa miguu barabara ya lami kulipa kodi ili tulipe deni la taifa

    Naam wana JF hali inavoelekea sasa ni mbaya kuliko mda wowote. Serekali ya ccm kupitia mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kua wanaofanya biashara online, wanaoishi Airbnb, na wanaochapisha matangazo katika mitandao ya kijamii kama Instagram wanawapa siku 30 ili kuweza kujisajili na...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Alipoona Wananchi wanaponda Deni la Taifa 107 T, akaja na janja za Marekani na Ulaya hawafanyi vizuri Uchumi, Mara Mashariti huko nje yameongezeka!!

    Huyu Mama alikua anatuandaa kisaikolojia kuanzia mwaka 2026 tungeanza Kuishi kama Watumwa nchini kwetu. Kavuruga Mahusiano yote na Ulaya , Marekan , Safari za Ulaya Zimekata ghafla. Kwakujua alokua kaupanga kupitia Uchaguzi 2025 , alijua MIKOPO n MISAADA inaenda kusimama. Njia Pekee ikawa ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kenya, Uganda zimezidiwa na Tanzania kwa uwezo wa kuhudumia deni la Taifa

    Mwaka 2024, kampuni maarufu na inayoheshimika kimataifa katika tathmini za kiuchumi na uwezo wa kulipa madeni — Moody’s wameitaja Tanzania katika nafasi ya juu zaidi ukilinganisha na majirani zake wa Afrika Mashariki. Kwa mara ya kwanza katika historia ya karibuni, Tanzania imepewa daraja la B1...
  6. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa Hadi US ni Pasua Kichwa

    Wakati hapa bongo tukiwaza Deni letu tulitaje kwa usd au fedha za madafu. Huko US pia , Elon Musk, analalamika na deni lao.
  7. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Njia nitakazotumia kupunguza deni la taifa

    Deni la Taifa limekua sana na kila mtu analalamika kivyake lengo la uzi sio kutupia lawama sehemu yeyote ile bali kuja na siluhisho Mimi nina mpango wa kuwa Rais wa Tanzania zifuatazo ni njia ntakazotumia Kupunguza ukuaji wa deni la Taifa Kupunguza kodi (mfano VAT asilimia, corporate tax...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania John Heche: Sisi CHADEMA tunaitaka serikali iwaeleze Watanzania zaidi ya Trilioni 46 zimetumika kufanya nini isiwe ndizo zinanua baiskeli

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema wao CHADEMA wanaitaka serikali iwaeleze Watanzania zaidi ya Trilioni 46 zimetumika kufanya nini au miradi gani imefanyiwa kazi kupitia fedha hizo, lakini isiwe ndizo zinanua baiskeli na kuwagiwa watu bure na mwisho wa siku Watanzania wanapata...
  9. B M F ICONIC

    JamiiForums Tanzania Kwanini TSH inashuka dhidi ya Dollar/KSH, Exchange rate, Deni la Taifa?

    Wachumi mnakaribishwa kwa michango......... Tutatumia shiling ya kenya KSH, Dollar na TSh ili kupata uelewa wa jambo ili Tujue kwanini shilling ya nchi fulani ina nguvu kuliko nyingine, Exchange rate ya pesa nani uamuapia Deni la Taifa. Moja kwa moja kwenye Point. Tuanze kwa kujua mchakato...
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa Dollar kunavyoongeza Deni la Taifa

    Hivi unafahamu kuongezeka kwa thamanI ya Dolllar ya Marekani kivyovyote kuna athari kubwa katika deni la taifa? Hili jambo wengi hawalifahamu na hata wakilifahamu wanaona kama halina athari lakini ukweli nikwamba deni linakopwa kwa USD , na malipo yake hufanyika kwa fedha hiyo hiyo . Sasa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kukua kwa deni la taifa kunatokana pia na mikopo ya marais wa awamu zilizopita, sio yeye peke yake

    Katika vitu ambavyo vimeniacha mdomo wazi ni taarifa ya Rais Samia akihutubia bunge, kwamba kukua kwa deni la taifa hakutokani tu na mikopo anayoomba yeye peke yake, bali fedha madeni mengine ni mikopo iliyoombwa na maraisi wa awamu zilizopita. Kwa maneno mengine ni kwamba, katika kipindi...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ufafanuzi wa Dkt. Mwigulu, bado kuna shida kwenye deni la Taifa

    Akihitimisha mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2025/26 Juni 24 bungeni jijini Dodoma, Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba alifafanunua kuhusu deni la Taifa akisema wanakosoa deni hilo kupanda wasijikite kwenye wingi wa fedha, bali waangalie matumizi. Dk Maigulu...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu afafanua utofauti wa deni la Serikali na deni la Taifa

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu kubwa inayoenda kwenye upande wa kampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa. Dkt. Nchemba amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nini suluhisho la kudhibiti Deni la Taifa?

    Wakati deni la Taifa lizidi kupaa, baadhi ya wataalamu wa uchumi wameonya kuhusu matumizi ya fedha za mikopo, wakitaka Serikali iwekeze nguvu kudhibiti upotevu wa mapato kabla ya kufikiria kuongeza wigo wa mapato. Soma> Serikali: Deni la taifa lafikia Tsh. Trilioni 107 ikiwa ni ongezeko la...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa deni la Taifa lilipofikia, CCM Wakilazimisha kufanya Uchaguzi bila Reforms, Kati ya 2026-2029 Tanzania inaanguka kiuchumi rasmi

    Kwa sasa nchi yetu inakusanya takribani Trilioni 2.0- 2.7 kwenye makusanyo yake ya kila mwezi kwa mujibu wa takwimu za TRA. Wakati huo huo deni la Taifa limefikia Trilioni 107 plus interest hivyo kupelekea kila mwezi nchi yetu kutakiwa kulipa kiasi cha Trilioni 1.4 mpaka 1.7 kulipia deni la...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Angalia jinsi CCM wanavyochezea hela zetu hapa lazima deni la taifa lifike trilion 107

    GT Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa linalipwa na nani

    Nimemskia rais samia akisema kuwa ufaransa wapo tayari kuendelea kutupa mikopo zaidi kwa maendeleo ya nchi yetu. Mpaka sasa deni la taifa limeshavuka trillion 107 na bado tunaambiwa nchi yetu itaendelea kukopa kwa sababu deni la nchi bado ni stahimilivu. Najiulizaga maswali mengi sana juu ya...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mchinjita: Kasi ya ongezeko deni la taifa chini ya Rais Samia haijawahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru

    "Hadi kufikia Aprili 2025 deni la Serikali limefikia shilingi trilioni 107.70 ikilinganishwa na shilingi trilioni 91.7Machi mwaka 2024. Hili ni ongezeko la shilingi trilioni 16. sawa na 17.23% kutoka mwaka wa Fedha uliopita. Ambapo Deni la Nje ni Trilioni 72.94 na Deni la Ndani ni Trilioni 34.76...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kukopa na kuombaomba ziwe sera za taifa ili tuzidi kupaa kuliko hata Marekani

    Kuna malalamiko juu ya ufumkaji wa deni la taifa ambalo kimsingi si la taifa bali la CCM. Napendekeza tutangaze kukopa na kubomu kuwa sera za taifa kwa sababu tunakopesheka na tunatumia tunavyotaka. Hata hivyo, tukumbuke. Kukopa harusi na kulipa matanga. Najisemea tu.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Unajua kwa nini Mobutu wa Zaire (DRC) alipoondoshwa madarakani Nyerere alimshauri Laurent Kabila akatae kulipa deni la taifa la Zaire?

    Mojawapo wa wageni wa kwanza kabisa kualikwa nchini Zaire (DRC ya sasa) na Laurent Kabila, baada ya kumwondosha Mobutu Seseseko kama raisi, alikuwa mwalimu Julius Nyerere. Alikubali mwaliko huo. Kipindi hicho wala hakuwa Raisi wa Tanzania, alikuwa ameshang'atuka. Sasa katika moja ya hotuba...
Back
Top Bottom